1190. UNG’WENUYO OBHIZA NYANGOGO.

Unyangogo ali munhu uyo alinkumuku umuchalo jakwe. Olihoyi munhu uyo oli ningi on mbina umuchalo ja Sanjo. Umunhu ng’wunuyo oli nkumuku gete, kunguno ya bhuduja bhokwe umumbina. Hunagwene abhanhu bha muchalo jinijo, bhagayomba giki, “ung’wenuyo obhiza nyangogo.”

Akahayile kenako kagalenganijiyagwa kuli munhu uyo agajitumilaga chiza ijinhilwa jakwe, umuthumatumi bho milimo yakwe. Umunhu ng’wunuyo agikomejaga gujidebha chiza ijinhilwa ijo winhiwa nu Mulungu, mpaga ojidebha na gujitumila chiza umumilimo yakwe, kunguno ya witegeleja bhokwe bhunubho. Uweyi agaibhejaga chiza ikaya yakwe, kunguno ya gubhutumila chiza ubhudula ubho winhiwa nu Mulungu, umuwikaji bhokwe.

Umunhu ng’wunuyo, agikolaga nu ningi uyo olinduja o mbina, kunguno nuweyi agabhutumamilaga chiza ubhuduma bhokwe, umukikalile kakwe kenako. Hunagwene abhanhu bhagang’wilaga giki, “ung’wenuyo obhiza nyangogo.”

Akahayile kenako kalanga bhanhu higulya ya gubhudebha na gubhutumamila chiza ubhudula bhobho, kugiki bhadule gupandika matwajo mingi, umuwikaji bhobho.

Luka 17: 11-19.

Luka 8:40-56.

Mathayo 14:22-33.

KISWAHILI: HUYO AMEKUWA MAARUFU.

Mtu maarufu ni yule aliyesifika kwenye kijiji chake. Alikuwepo mtu aliyekuwa manju katika kijiji cha Sanjo. Mtu huyo, alisifika sana kwa sababu ya uwezo wake huo wa kucheza ngoma za jadi. Ndiyo maana watu wa kijijini mwake walisema kwamba, “huyo amekuwa maarufu.”

Msemo huo, hulinganishwa kwa mtu yule ambaye huvitumia vizuri vipaji vyake, katika utekelezaji wa kazi zake. Mtu huyo, hujitahidi kuvielewa vizuri vipaji aliyopewa na Mungu mpaga anavifahamu na kuvitumia vizuri katika kazi zake, kwa sababu ya umakini wake huo. Yeye huiendeleza vizuri familia yake kwa sababu ya kuvitumia vizuri vipaji alivyopewa na Mungu, maishani mwake.

Mtu huyo, hufanana na yule manju aliyekuwa maarufu kwenye ngoma, kwa sababu naye huvitumia vizuri vipaji vyake katika maisha yake. Ndiyo maana watu humwambia kwamba, “huyo amekuwa maarufu.”

Msemo huo, hufundisha watu juu ya kuvieleva na kuvitumia vizuri vipaji vyao, ili waweze kupata maendeleo mengi, maishani mwao.

Luka 17: 11-19.

Luka 8:40-56.

Mathayo 14:22-33.

dancing-953291__480

dance-5935800__480

drums-5935804__480

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

Connecting to %s

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.