1188. WINYULULU BHONENHELEJA.

Olihoyi munhu uyo usiminzaga hikanza lya imbula ilitula. Umunhu ng’wunuyo, usiminzaga bho gukoyakoya kunguno igatula mbula nhale mpaga ilisi lyulobha gete. Uweyi aganyululuka mpaga ugwa kunguno ya winyululu bho mabhulolo ga mbula yiniyo. Hunagwene agayomba giki, “winyululu bhonenheleja.”

Akahayile kenako kagalenganijiyagwa kuli munhu uyo agasiminzaga bho nduhu ugwitegeleja chiza ahikanza lya mbula, umukikalile kakwe. Umunhu ng’wunuyo, agagangilaga nulu yatulaga mbula nhale umubhusiminzi bhokwe bhunubho kunguno ya guduma gwitegeleja chiza. Uweyi agabhipaga bhulolo umili gokwe kunguno ya gunyululuka na gugwa bhuli makanza, umulugendo lokwe lunulo.

Umunhu ng’wunuyo, agikolaga nuyo agagwishiwa na winyululu aho osiminzaga na mbula igutulaga, kunguno nuweyi aganyululukaga mpaga ogwa ulu yatulaga mbula umubhusiminzi bhokwe. Hunagwene agayombaga giki, “winyululu bhonenheleja.”

Akahayile kenako kalanga bhanhu higulya ya gusiminza na witegeleja bhutale ulu yatulaga mbula, kugiki bhakije ugugwa, umulugendo lobho.

Zaburi 73:2.

Zaburi 73:18.

KISWAHILI: UTELEZI UMENILETELEZA.

Alikuwepo mtu aliyekuwa akitembea wakati mvua inanyesha. Mtu huyo, alitembea kwa kuhangaika kwa sababu ya ukubwa wa mvua hiyo iliyonyesha mpaga aridhi ikalowa. Yeye aliteleza mpaka akaanguka kwa sababu ya utelezi wa mvua hiyo. Ndiyo maana alisema kwamba, “utelezi umenileteleza.”

Msemo huo, hulinganishwa kwa mtu yule ambaye hutembea wakati wa mvua bila kuwa na uangalifu mkubwa, katika maisha yake. Mtu huyo, hutembea kwa haraka wakati mvua imenyesha kubwa kwa sababu ya kutokuwa na umakini huo katika safari zake. Yeye huchafuka mwili wake kwa matope kwa sababu ya kuanguka mara kwa mara, katika safari zake hizo.

Mtu huyo, hufanana na yule aliyeteleza na kuanguka alipokuwa akitembea wakati wa mvua, kwa sababu naye huteleza na kuanguka anapotembea wakati wa mvua, katika safari zake hizo. Ndiyo maana yeye husema kwamba, “utelezi umenileteleza.”

Msemo huo, hufundisha watu juu ya kutembea kwa umakini mkubwa wakati wa mvua, ili wasije wakaanguka katika safari zao hizo.

Zaburi 73:2.

Zaburi 73:18.

young-woman-2268348__480

umbrellas-7868179__480

umbrellas-7868179__480

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

Connecting to %s

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.