1149. KALAGU – KIZE. GAB’IWA NA NG’WINIKILI GAGAZWAGA – MINO.

Umunhu ulu ubyalwa agikilaga na b’uyu kunguno atina lino nulu limo. Aliyo lulu ulu agukulaga ligushiga likanza gaguzwa amino genayo, kunguno agoyi gagenhagwa na Mulungu ng’winikili. Hunagwene abhanhu bhagiganilaga giki, “gab’iwa na mwinikili – mino.”

Akahayile kenako kagalenganijiyagwa kuli nimi uyo agab’ib’aga mbiyu jakwe jazwa ulu yatula imbula, umukikalile kakwe. Unimi ng’wunuyo agab’ib’aga mbiyu olindilila mpaga yatula imbula ya gujizwisha imbuyi jinijo, kunguno ya wisagiji bhokwe bhutale ukuli Mulungu. Uweyi agalimaga migunda mitale iyo agaponaga majiliwe mingi, kunguno ya wisagiji bhokwe bhutale ukuli Mulungu, umubhutumami bho milimo yakwe yiniyo, umuwikaji bhokwe.

Imbiyu ja nimi ng’wunuyo, jigikolaga na mino ayo gagazwagwa ulu lyashiga ilikanza lyago, kunguno ni joyi jigazwaga ulu yatula imbula. Hunagwene abhanhu bhagiganilaga giki, “gab’iwa na ng’winikili – mino.”

Ikalagu yiniyo yalanga bhanhu higulya ya gwigulambija gutumama milimo yabho bho gung’wisanya Mulungu uyo agab’inhaga bhupandiki, kugiki bhadule kupandika sabho ningi umubhutumami bho milimo yabho, umuwikaji bhobho.

Mathayo 13:1-9.

Mathayo 11:31 – 32.

 

KISWAHILI: KITENDAWILI – TEGA.

YAMEMWAGWA NA MWENYEWE HUWA YANAOTA – MENO.

Mtu akizaliwa huwa kibogoyo kwa sababu ya kutokuwa hata na jino moja. Lakini basi, ukifika wakati wake meno hayo huota kwa sababu huwa yanaletwa na Mungu mwenyewe. Ndiyo maana watu huhadithiana kwamba, “yamemwagwa na mwenyewe huwa yanaota – meno.”

Msemo huo hulinganishwa kwa mkulima yule ambaye humwaga mbegi ambazo huota inaponyesha mvua, katika maisha yake. Mkulima huyo, humwaga mbegu zake na kusubiri mpaka mvua inanyesha ya kutosha kuziotesha, kwa sababu ya kuweka matumaini yakwe kwa Mungu. Yeye hulima mashamba makubwa ambayo humpatia mavuno mengi kwa sababu ya kumtegemea Mungu katika utekelezaji wa kazi zake hizo, maishani mwake.

Mbegu hizo, hufanana na yale meno yaliyoota baada ya kufika wakati wake, kwa sababu nazo huota baada ya mvua kunyesha. Ndiyo maana watu huhadithiana kwamba, “yamemwagwa na mwenyewe huwa yanaota – meno.”

Kitendawili hicho, hufundisha watu juu ya kujibidisha kufanya kazi kwa kumtegemea Mungu awajaliaye mafanikio, ili waweze kupata mali nyingi katika kazi zao, maishani mwao.

Mathayo 13:1-9.

Mathayo 11:31 – 32.

woman-5878348__480

 

 

 

 

 

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

Connecting to %s

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.