Olihoyi munhu uyo wikalaga muchalo ja Masanga. Umunhu ng’wunuyo agaja gujusuma jiliwa makule ahikanza lya nzala. Uweyi agajipandika ijiliwa ujenha mpaga aha kaya yakwe kugiki abhanhu walye na kuchilula mitugo kunguno yalidijinogu uguchilula mitugo ukunu bhatubhile. Abhadimi bhenabho aho bhamala ugulya bhagajichilula imitugo jabho. Hunagwene abhanhu bhenabho bhagang’witana umunhu ng’wunuyo giki “jisungila b’adimi.”
Akahayile kenako kagalenganijiyagwa kuli munhu uyo agayidililaga chiza ikaya yakwe bho guyicholela jiliwa umukikalile kakwe. Umunhu ng’wunuyo agigulambijaga gutumama milimo yakwe iyagubhapandikila jiliwa abhanhu bha ha kaya yakwe kunguno ya bhutogwa bhokwe ubhanhu bhakwe bhenabho. Uweyi aponaja jiliwa jingi aha kaya yakwe kunguno ya wigulambija bhokwe bhunubho umubhutumami bho milimo yakwe.
Umunhu ng’wunuyo agikolaga nuyo agaja gujuyisumila jiliwa ikaya yakwe na guyenhela aho ojipandika, kunguno nuweyi agigulambijaga gutumama milimo chiza mpaga opandika jiliwa ja gubhalisha abhanhu bhakwe. Hunagwene abhanhu bhagang’witanaga giki, “jisungila b’adimi.”
Akahayile kenako kalanga bhanhu higulya ya kujilanhana chiza ikaya jabho bho gutumama milimo ya gubhapandikila jiliwa abhanhu bhabho, kugiki bhadule gwikala bho bhuyegi, umuwikaji bhobho.
Mathayo 13:44 – 45.
Mathayo 7:7.
KISWAHILI: MTAFUTIA WACHUNGAJI.
Alikuwepo mtu aliyeishi kwenye kijiji cha Masanga. Mtu huyo alienda kutafuta chakula sehemu za mbali wakati wa kipindi cha njaa. Yeye alipata chakula akakileta nyumbani kwake ili watu wake wapate kula na kuwafunguliwa mifuga kwenda kuwachunga kwa sababu ilikuwa vigumu kwenda kuchunga bila kula chakula. Hao wachungaji walipokula walienda kuwachunga hao mifugo. Ndiyo maana watu hao walimuita jila la “Mtafutia wachungaji.”
Msemo huo hulinganishwa kwa mtu yule ambaye huijali vizuri familia yake kwa kuitafutia chakula katika maisha yake. Mtu huyo, hujibidisha kufanya kazi ambazo humpatia chakula cha kutosha kuwalisha watu wake kwa sababu ya upendo alionao kwa watu wake hao. Yeye hupata mazao mengi kwenye familia yake kwa sababu ya kujibidisha kwake kufanya kazi zake.
Mtu huyo hufanana na yule aliyeenda kuitafutia chakula familia yake na kuiletea alipokipata, kwa sababu naye hujibidisha kufanya kazi vizuri mpaka anapata chakula cha kutosha kuwalisha watu wake. Ndiyo maana watu walimuita jila la “mtafutia wachungaji.”
Msemo huo, hufundisha watu juu ya kuzitunza vizuri familia zao kwa kufanya kwa bidii na kuwapatia chakula watu wao, ili waweze kuishi kwa furaha maishani mwao.
Mathayo 13:44 – 45.
Mathayo 7:7.

ENGLISH: SEEKER OF SHEPHERDS.
There was a man who lived in the village of Masanga. He went to look for food in distant places during the period of famine. He found and brought it to his house so that his people could eat and let the herdsmen go to herd their livestock because it was difficult to do so without eating food. When the shepherds ate they went to take care of their livestock. That is why those people named him as a “Seeker of shepherds.”
This saying is compared to the person who takes good care of his family by finding food for them in his life. Such person, tries to work so as to get enough food to feed his people because he loved them. He got a lot of produce for his family because of his hard working activities.
This person is like the one who went to find food for his family and brought it when he found it, because he also has to work hard until he gets enough food to feed his people. That is why people named him as the “Seeker of shepherds.”
This saying teaches people on how take good care of their families by working hard enough to provide them with food for their people, so that they can live happily in their lives.
Matthew 13:44 – 45.
Matthew 7:7.