1115. NALI HAB’I LYEHAGA NIME HASOGA.

Akahayile kenako kingilile kubhanhu abho bhilomelaga bho gutumila simu. Umumahayo gabho genayo igamanyika giki bhadiyelelagwa chiza kunguno ya lipande ilo bhalibhimila. Umo obho wiyangula guchola ipande lisoga ilyagudula gwiyigwa chiza umumahoya gabho genayo. Hunagwene agang’wila ung’wiye giki, “nali hab’i lyehaga nime hasoga.”

Akahayile kenako kagalenganijiyagwa kuli munhu uyo agahoyaga chiza na bhanhu bhakwe umukikalile kakwe. Umunhu ng’wunuyo, agatumilaga ilaka lyawiza ilo ligang’wambilija ugubhalela chiza abhanhu bhakwe, kunguno ya bhutungilija bhokwe bhunubho. Uweyi agikalaga widebhile na bhanhu bhingi abho agabhalangaga nhungwa ja gwikala chiza na bhichabho, kunguno ya witegeleja bhokwe bhunubho, umuwikaji bhokwe.

Umunhu ng’wunuyo agikolaga nuyo agachola ipande lya wiza ilyaguhoya chiza nu ng’wiye, kunguno nuweyi agahoyaga bho gutumila ilaka lya gwiyiigwa chiza nabhiye umumahoya gakwe. Hunagwene agayombaga giki, “nali hab’i lyehaga nime hasoga.”

Akahayile kenako kalanga bhanhu higulya ya guchola wasa wiza bho guhoya na bhichabho, kugiki bhadule kujilela chiza ikaya jabho umuwikaji bhobho.

Marko 6:30-33.

KISWAHILI: NIKO PABAYA SUBIRI NISIMAME PAZURI.

Msemo huo ulianzia kwa watu waliokuwa wakiongea kwa kutumia simu. Watu hao walibaini kwamba, hawaelewani vizuri katika maongezi yao hayo. Ndipo mmoja wao aliamua kutafuta sehemu nzuri ya kumwezesha kuelewana vizuri na mwenzake katika maongezi yao hao. Ndiyo maana alisema kwamba, “niko pabaya subiri nisimame pazuri.”

Msemo huo, hulinganishwa kwa mtu yule ambaye huongea vizuri na watu wake katika maisha yake. Mtu huyo, hutumia sauti na kauli nzuri ambayo humsaidia katika kuwalea vizuri watu wake hao, kwa sababu ya uaminifu wake huo. Yeye hufahamiana na watu wengi ambao huwafundisha tabia njema za kuishi vizuri na wenzao, kwa sababu ya unyofu wake huo wa moyo, maishani mwake.

Mtu huyo, hufanana na yule aliyetafuta sehemu nzuri ya kuongea vizuri na mwenzake, kwa sababu naye hutumia lugha na kauli nzuri ya kumwezesha kuelewana vizuri na wenzake, katika maongezi yake. Ndiyo maana husema kwamba, “niko pabaya subiri nisimame pazuri.”

Msemo huo, hufundisha watu juu ya kutafuta nafasi nzuri ya kuwawezesha kuelewana vizuri na wenzao katika maongezi yao, ili waweze kuzilea vizuri familia zao, maishani mwao.

Marko 6:30-33.

seeing-2359566__480

man-1868730__480

man-2359561__480

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

Connecting to %s

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.