1059. OCHAGA NYAKOLO.

Imbuki ya kahayile kenako yilolile kachile ka ng’holo. Ing’holo guli ntugo uyo gugasugagwa mubhanhu na hangi ili nyama iyo igaliyagwa. Giko lulu, ing’holo yiniyo, nulu igading’wa na ng’wanishi oyo igiyumilijaga duhu mpaga gucha goyo kunguno ya bhulendelezu bhoyo bhunubho. Hunagwene nu munhu uyo apandikaga makoye ohumula mpaka ganhabhula agabhilagwa giki, “ochaga nyakolo.”

Akahayile kenako, kagalenganijiyagwa kuli munhu uyo agabhisaga makoye gakwe mpaga ganhabhula, umukikalile kakwe. Umunhu ng’wunuyo, agapandika makoye guti ga sata wiyumilija duhu bho nduhu uguja ukusitali, nulu ugubhawila abhiye, kunguno ya gogoha gusekwa na bhanhu. Uweyi agamikikaga mpaga obhitila chiniko kunguno ya gubhisa makoye gakwe genayo, umukikalile kakwe.

Umunhu ng’wunuyo, agikolaga ni ng’holo iyo igading’wa na ng’wanishi oyo yiyumilija duhu mpaga yubhulagwa, kunguno nuweyi apandikaga makoye obhabhisa abhiye bho gwiyumilija duhu mpaga gamhabhula amakoye genayo. Hunagwene abhanhu bhagang’wilaga giki, “ochaga nyakolo.”

Akahayile kenako, kalanga bhanhu higulya ya guleka gubhisa makoye ayo bhalinago bho gubhawila abhichabho na gugacholela nzila ja guginjija, kugiki bhadule gubhulanhana chiza ubhupanga bhobho, umuwikaji bhobho bhunubho.

Mathayo 10:26 – 27.

Mathayo 11:20.

KISWAHILI: AMEKUFA KIKONDOO.

Chanzo cha msemo huo, chotokea kwenye namna kondoo anavyokufa. Kondoo huyo, ni mfugo unayofugwa na watu pia ni nyama inayoliwa. Hivyo basi, kondoo huyo, hata akikamatwa na adui yake hufumilia tu mpaga kufa kwake kwa sababu ya uzubaifu wake huo. Ndiyo maana hata mtu anayepata tatizo na kukaa kimya mpaga anaumia huambiwa kwamba, “amekufa kikondoo.”

Msemo huo, hulinganishwa kwa mtu yule ambaye huficha matatizo yake mpaka yanamuumiza, katika maisha yake. Mtu huyo, hupata matatizo kama vile ugonjwa akavumilia tu bila kwenda kupata matibabu hospitalini wala kuwambia wenzake, kwa sababu ya kuogopa kuchekwa na watu, maishani mwake. Yeye huumizwa na matatizo hayo hata kufikia hatua ya kupoteza maisha, kwa sababu ya kuwaficha wenzake, matatizo yake hayo.

Mtu huyo, hufanana na kondoo yule aliyekamatwa na adui yake akavumilia mpaka kufa kwake, kwa sababu naye huwaficha wenzake matatizo yake mpaka yanamuumiza, katika maisha yake. Ndiyo maana watu humwambia kwamba, “amekufa kikondoo.”

Msemo huo, hufundisha watu juu ya kuacha kuyaficha matatizo waliyo nayo kwa kuwashirikisha wenzao, na kutafuta njia za kuyatatua, ili waweze kuulinda vizuri uhai wao, maishani mwao.

Mathayo 10:26 – 27.

Mathayo 11:20.

sheep-4471443__480

ENGLISH: HE/SHE HAS DIED LIKE A LAMB.

The cradle of this saying occurred in the way which a sheep died. The sheep is a livestock that is raised by people and it is a meat that can be eaten by them. Therefore, even if the sheep is caught by the enemy, only endures the suffering to the point of dying because of its cowardice. That is why even to a person who has a problem and stays silent when he is hurt is told that, “he/she has died like a lamb.”

This saying is compared to the person who hides his problems until they hurt him, in his life. Such person gets problems such as illness which he just endures it without going to get treatment at the hospital or telling his colleagues, because he is afraid of being laughed at by people, in his life. He is hurt by these problems to the point of losing his life, because of hiding his problems from being known his colleagues.

This person is like the sheep that was caught by its enemy that endured until its death, because he also hides his problems from his colleagues until they hurt him, in his life. That is why people tell him that, “he/she has died like a lamb.”

This saying teaches people to stop hiding the problems which they have by sharing with their peers, enough to find ways that can solve them, so that they can protect their lives well, in their lives.

Matthew 10:26 – 27.

Matthew 11:20.

ENGLISH: THAT IS MY FATE/ THAT IS MY DESTINY.

This saying speaks about a person who had some power in his life. Such man lived in the village of Ngeme who had an ability to do great work for surpassing his colleagues. His colleagues asked his to tell them the secret of what enables him to work in such way. That is why he responded to them by saying that, “that is my fate/ that is my destiny.”

This saying is compared to the person who knows his ability and uses it well in his life. Such person uses his creativity by striving to do all the works which he sees because he likes to bring development to his people. He also encourages his people to discover the talents given to them by God enough to use them well, in their lives.

This person is similar to the one who had the ability to do more work than his nobles, because he also uses his creativity by using all his talents given to him by God, he gets a lot of success in his life. That is why he tells people that, “that is my fate/ that is my destiny.”

This saying teaches people about trying to make good use of their talents by committing themselves to work well, so that they can get assets that can support them well, in their lives.

Isaiah 9:5-6.

Jeremiah 1:4-10.

Luke 4:18.

Luke 7:8.

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

Connecting to %s

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.