1034. KALAGU –  KIZE. ULU NAGUSIMIZAGA JILINIKOMELEJA UKO NUMA – MABADA.

Ikalagu yiniyo yiholelile jilatu ja mabada. Amabada genayo jili jilatu ijo jigamanaga julila ukumashigina ulu munhu alisiminza uyo ajizwalile umumagulu gakwe. Umugulila chiniko jigabhizaga guti jilimkomeleja umunhu uyo ajizwalile ng’wunuyo. Hunagwene abhanhu bhaganilaga giki, “ulu nagusimizaga jilinikomeleja uko numa – mabada.”

Ikalagu yiniyo, igalenganijiyagwa kuli munhu uyo agazwalaga jizwalo jikujo ijo jigankomelejaga gutumama milimo yakwe chiza. Umunhu ng’wunuyo, adebhile ugutumama imilimo yakwe chiza bho gubhakomeleja abhanhu bhakwe gwikala na jitumamilo ja wiza umumilimo yabho. Uweyi agapandikaga sabho ningi kunguno ya gutumamila jitumamilo ijo jigabhakomeleja abhanhu gutumama milimo yabho chiza.

Umunhu ng’wunuyo, agikolaga na mabada ayo gankomeleja ugusiminza uyo aliagazwalie, kunguno nuweyi agatumamilaga jitumamila ijo jigang’winhaga bhukamu bho gutumama milimo yakwe chiza. Hunagwene agayombaga giki, “ulu nagumimizaga jilinikomeleja uko numa.”

Ikalagu yiniyo, yalanga bhanhu higulya ya gutumamila milimo yabho na jitumamilo jiikujo ija gubhinha bhukamu bho gutumama milimo yabho chiza, kugiki bhadule gupandika sabho ja gubhambilija chiza, umuwikaji bhobho.

1Thimotheo 2:9-10.

2Wakorintho 5:2-4.

 

KISWAHILI: KITENDAWILI – TEGA.

NINAPOTEMBEA HUNIHIMIZA KWA NYUMBA – KANDA MBILI.

Kitendawili hicho, huongelea kanda mbili. Kanda mbili hizo ni viatu ambavyo huwa vinatoa mlio kwenye visigino vya mtu aliyevivaa miguuni mwake. Mlimo huo huwa kama vina mhimiza mtu huyo aliyevivaa. Ndiyo maana watu husema kwamba, “ninapotembea hunihimiza kwa nyuma – kanda mbili.”

Kitendawili hicho, hulinganishwa kwa mtu yule ambaye huvaa mavazi ya heshima yamhimizayo kufanya kazi zake vizuri, katika maisha yake. Mtu huyo, afahamu kutekeleza vizuri kazi zake kwa kuwahimiza watu wake kuwa na vitendea kazi vizuri. Yeye hupata mali nyingi katika kazi na familia yake kwa sababu ya kutumia vitendea kazi vinavyowahimiza watu kufanya kazi zao vizuri.

Mtu huyo, hufanana na kanda mbili zilizomhimiza mtu aliyekuwa amezivaa, kwa sababu naye hutumia vitendea kazi viwahimizao watu wake kufanya kazi vizuri. Ndiyo maana husema kwamba, “ninapotembea hunihimiza kwa nyuma – kanda mbili.”

Kitendawili hicho, hufundisha watu juu ya kutumia vitendea kazi vizuri viwahimizavyo kufanya kazi zao vizuri ili waweze kupata mali za kuwasaidia vizuri maishani mwao.

1Thimotheo 2:9-10.

2Wakorintho 5:2-4.

 

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

Connecting to %s

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.