Tanzania

1201. ILIKUJO SABHO INDEZU B’UB’ELEJI.

Imbuki ya kahayile kenako ilolile munhu ntale uyo alinikujo ukubhanhu. Umunhu ng’wunuyo, agamanyikaga kulwa miito gakwe ayo gali gawiza ukubhiye.

Giko lulu, umunhu uyo ali ntale na ndezu jakwe, aliyo amiito gakwe gali gabhubhi, adabhizaga adinikujo lyose lyose ukubhanhu. Hunagwene abhanhu bhagayombaga giki, “ilikujo sabho indezu b’ub’eleji.”

Akahayile kenako, kagalenganijiyagwa kuli munhu uyo alina bhutale bho gujilanija nikujo lyakwe ukubhanhu, umukikalile kakwe. Umunhu ng’wunuyo, agahoyagaga na kutumama milimo yakwe kihamo na bhanhu bhakwe bho witegeleja bhutale, kunguno ya likujo lyakwe linilo ukubhoyi. Uweyi agabhalelaga chiza abhanhu bha ha kaya yakwe yiniyo, kunguno ya likujo lyakwe linilo ikubhoyi, umuwikaji bhokwe.

Umunhu ng’wunuyo, agikolaga nuyo oli nikujo lya gwita miito gawiza ukubhiye, kunguno nuweyi alinikujo ya gubhalela chiza abhanhu bhakwe, umukikalile kakwe. Hunagwene agayombaga giki, “ilikujo sabho ndezu b’ub’eleji.”

Akahayile kenako, kalanga bhanhu higulya ya gwikala nikujo lya gwita miito gawiza ukubhichabho, kugiki bhadule gujilela chiza ikaya jabho, umuwikaji bhobho.

Yoshua Bin Sira 6:18.

Hekima ya Sulemani 1:1.

KISWAHILI: HESHIMA MALI, NDEVU MAPAMBO.

Chanzo cha msemo huo, huangalia mtu mkubwa ambaye ana heshima kwa watu. Mtu huyo, hujulikana kwa kuwatendea matendo mema wenzake, katika maisha yake.

Hivyo basi, mtu ambaye ni mkubwa na nzevu zake, lakini matendo yake ni maovu hawi na heshima yoyote kwa watu. Ndiyo maana watu husema kwamba, “heshima mali, ndevu mapambo.”

Msemo huyo, hulinganishwa kwa mtu yule ambaye ana ukubwa unaoendana na heshima yake kwa watu, katika maisha yake. Mtu huyo, huongea na kufanya kazi pamoja na watu wake kwa umakini mkubwa, kwa sababu ya heshima yake hiyo kwa watu hao. Yeye huwalea vizuri watu walioko kwenye familia yake, kwa sababu ya heshima yake hiyo kubwa kwao, maishani mwake.

Mtu huyo hufanana na yule aliyekuwa na heshima ya kuwatendea matendo mema wenzake, kwa sababu naye huwalea vizuri watu wake, katika maisha yake. Ndiyo maana yeye huwaambia watu kwamba, “heshima mali, ndevu mapambo.”

Msemo huo, hufundisha watu juu ya kuwa na heshima ya kuwatendea matendo mema wenzao, ili waweze kuzilea vizuri familia zao, maishani mwao.

Yoshua Bin Sira 6:18.

Hekima ya Sulemani 1:1.

ENGLISH: RESPECT WEALTH, BEARD DECORATIONS.

The source of this saying looks at a great person who has respect for people. Such person is known for doing good deeds to his fellows in his life.

So then, a mature person who has beard, but his actions are evil, does not have any respect to people. That is why people say that, “respect wealth, beard decorations.”

This saying is related to a person who has a size that matches his respect for people, in his life. This person speaks and works with his people very carefully, because of his respect for those people. He takes good care of the people in his family, because of his great respect for them, in life.

This person is similar to the one who had the honor of doing good deeds to his colleagues, because he also nurtures his people well, in his life. That is why he tells people that, “respect wealth, beard decorations.”

This saying teaches people about having respect of doing good deeds to their fellows, so that they can raise well their families, in their lives.

Joshua Bin Sirach 6:18.

Wisdom of Solomon 1:1.

massai-278422__480

1200. LYAKONDA LYAKOLOSEKA.

Yalihoyi Nzobhe ya ha kaya imo iyo yatumamaga milimo ya henaho. Inzob’e yiniyo, yaliyakonda noyi mpaga guyipela amaguha ga mumili goyo, kunguno ya gugayiwa jiliwa. Hunagwene abhanhu bhayibhonaga bhayomba giki, “lyakonda lyakoloseka.”

Akahayile kenako gagalenganijiyagwa kuli munhu uyo adajilanhanaga chiza imitugo jakwe, umukikalile kakwe. Umunhu ng’wunuyo, adajidimaga chiza umitugo jakwe jinijo, kunguno ya bhujidalilila bhokwe bhunubho. Uweyi agajilekanijaga mpaga jakonda imitugo jakwe jinijo kunguno ya guleka gujidima chiza chiniko, umuwikaji bhokwe.

Umunhu ng’wunuyo, agikolaga nuyo agayilekanija inzob’e yakwe mpaga yukonda, kunguno nuweyi agajilenijaga imitugo jakwe mpaga jakonda jinijo, umukikalile kakwe. Hunagwene abhanhu ulu bhagubhona bhuli ntogugo gokwe bhagayombaga giki, “lyakonda lyakoloseka.”

Akahayile kenako, kalanga bhanhu higulya ya kujidilila chiza imitujo jabho bho gujilisha jiliwa mpaga jikuta, kugiki judule gubhambilija chiza, umuwikaji bhobho.

Mwanzo 41:19.

Zaburi 86:1-2.

KISWAHILI: LIMEKONDA KUZIDI.

Alikuwepo punda kwenye familia moja aliyekuwa akifanya kazi za hapo. Punda huyo, alikonda sana mpaka mifupa ya mwili wake ikaanza kuonekana, kwa sababu ya kukosa chakula. Ndiyo maana watu waliomuona punda huyo walisema kwamba, “limekonda kuzidi.”

Msemo huo, hulinganishwa kwa mtu yule ambaye huwa hawatunzi vizuri mifugo alio nayo kwenye familia yake, katika maisha yake. Mtu huyo, huwa hawachungi vizuri mifugo wake hao kwa sababu ya kutokuwajali kwake. Yeye huwatelekeza wanyama wake hao mpaka wanakonda, kwa sababu ya kuacha kuwachunga vizuri, maishani mwake.

Mtu huyo, hufanana na yule aliyemtelekeza punda wake mpaka akakonda, kwa sababu naye huwatelekeza wanyama wake hao, mpaka wanakonda katika maisha yake. Ndiyo maana watu wanaomuona kila mmoja wake husema kwamba, “limekonda kuzidi.”

Msemo huo, hufundisha watu juu ya kuwatunza vizuri wanyama wao kwa kuwalisha chakula mpaka wanashiba, ili migugo hao waweze kuwasaidia vizuri, maishani mwao.

Mwanzo 41:19.

Zaburi 86:1-2.

ENGLISH: IT HAD BECOME TOO THIN.

There was a donkey in a family that was doing a lot of works there. Such donkey became very thin until its bones began to be seen, due to lack of food. That is why the people who saw it said that, “it had become too thin.”

This saying is compared to a person who does not take good care of his livestock in his family life. Such person does not take good care of his livestock because of his indifference. He abandons his animals until they become thin, because he stopped taking good care of them, in his life.

This person is like the one who abandoned his donkey until it became thin, because he also abandons his animals until they become thin in his life. That is why people who see each one of them say that, “it had become too thin.”

This saying imparts in people an idea of taking good care of their animals by feeding them food until they are full, so that the animals can help them well in their lives.

Genesis 41:19.

Psalm 86:1-2.

morocco-2750042__480

1199. LIKI LIGUMOKAGA UMUNYASAMBA.

Igigela ndimu umunyasamba iyo yamokoka guti mbwa. Indimu yiniyo, abhanhu abhangi bhali bhadayimanile kunguno yalingeni ukumiso gabho. Hunagwene abhanhu bhenabho bhagabhuja giki, “liki ligumokaga umunyasamba?”

Akahayile kenako, kagalenganijiyagwa kuli munhu uyo agitaka bhukengeji bho gujibhebha ijigeni ukuli weyi, umukikalile kakwe. Umunhu ng’wunuyo, agawitaga ubhukengeji bhunubho bho gubhugilija kubhanhu ijikolo ijo adajimanile, kunguno ya guchobha gujimana chiza. Uweyi agamanaga mihayo mingi noyi ubhutumami bho milimo yakwe yiniyo, kunguno ya gwita bhukengeji bhokwe bhunubho, umuwikaji bhokwe.

Umunhu ng’wunuyo agikolaga nuyo agabhuja libhujo lya guidema indimu iyo yamokaga umunyasamba, kunguno nuweyi agitaga bhukengeji bho guchola gujidebha ijo adajimanile, umukikalile kakwe kenako. Hunagwene agabhujaga giki, “liki lugumokaga umunyasamba?”

Akahayile kenako, kalanga bhanhu higulya gwita bhukengeji bho gujidebha ijo bhadajimanile, umubhutumami bhobho, kugiki bhadule kupandika matwajo mingi, umuwikaji bhobho.

Zaburi 49:4-5.

KISWAHILI: NINI KINABWEKA HUMU NYASAMBA?

Alionekana myama poli mule Nyasamba aliyekuwa akibweka kama mbwa. Mnyama huyo, hakufahamika kwa watu wengi kwa sababu ya ugeni wake kwao. Ndiyo maana watu waliuliza kwamba, “nini kinabweka humu nyasamba?”

Msemo huo, hulinganishwa kwa mtu yule ambaye hufanya utafiti wa kuvifahamu vitu vile ambavyo yeye havifahamu, katika maisha yake. Mtu huyo, hufanya utafiti wa kumwezesha kuvielewa vile ambavyo havifahamu, kwa sababu ya kutaka kuongeza ufahamu wake. Yeye hufanikiwa kuvielewa vitu vingi katika utekelezaji wa majukumu yake, kwa sababu ya kufanya utafiti huo, maishani mwake.

Mtu huyo, hufanana na yule aliyeluliza swali la kutaka kukifahamu kilichokuwa kinabheka mule Nyasamba, kwa sababu naye hufanya utafiti wa kuvifahamu vitu vile ambavyo havielewi, katika maisha yake. Ndiyo maana yeye huuliza kwamba, “nini kinabweka humu nyasamba.”

Msemo huo, hufundisha watu juu ya kufanya utafiti wa kutosha kuvielewa vile ambavyo ahawavielewi, katika maisha yao, ili waweze kupata mali za kutosha kuyaendesha vizuri maisha yao.

Zaburi 49:4-5.

ENGLISH: WHAT IS BARKING HERE IN NYASAMBA?

There was a wild animal in Nyasamba which was barking like a dog. This animal was not known to many people because of its strangeness to them. That is why people asked that, “What is barking here in Nyasamba?”

This saying is equated to a person who does good research enough to understand things which he does not know, in his life. Such person does good research enough to enable him be aware of what he does not know, because he wants to increase his knowledge. He manages to know a good number of things in carrying out his duties, because of doing researches in his life.

This person resembles to the one who asked the question for knowing what was happening in Nyasamba, because he also does good research enough to understand things which he does not know, in his life. That is why he asks, “What is barking here in Nyasamba?”

This saying teaches people about doing good research enough to understand what they are not aware of, in their lives, so that they can get enough assets to run their lives well.

Psalm 49:4-5.

dog-199214__480

puppy-742628__480

dog-4252274__480

1198. NG’WA HENWA MHALI.

Bhalihoyi bhakima abho bhali bhatoililwe na ngosha umo. Aliyo lulu, ungosha ng’wunuyo, agaikala kuli nkima umo duhu, kunguno agantogwa weyi gukila abhangi. Hunagwene abhanhu aho bhadebha chene bhagabhawila abhakima bhangi bhenabho giki, “ng’wa henwa mhali.”

Akahayile kenako kagalenganijiyagwa kuli munhu uyo agabhuchaga milimo mingi mpaga aduma uguimala chiza, umukikalile kakwe. Umunhu ng’wunuyo, agandyaga gutumama milimo mingi iyo agadumama uguishisha chiza, kunguno agadumaga ugwigabhanhya umubhutumami bhokwe. Uweyi agayilekanijaga duhu imilimo yakwe yiniyo, kunguno ya guyandya mingi bho likanza limo, umuwikaji bhokwe.

Umunhu ng’wunuyo, agikolaga nuyo oliotola bhakima bhingi abho agaduma ugwikala nabho chiza, kunguno nuweyi agabhuchaga milimo mingi, mpaga oduma uguyishisha chiza, umubhutumami bhokwe. Hunagwene abhanhu bhagayiwilaga imilimo yakwe yiniyo giki, “ng’wa henwa mhali.”

Akahayile kenako, kalanga bhanhu higulya ya gubhiza na ng’witoji umo, na gutumama nimo gumo bhulikanza, kugiki bhadule gujilanhala chiza, ikaya jabho, umuwikaji bhobho.

Luka 16:13.

Marko 10: 1-12.

KISWAHILI: MUMETELEKEZWA MITALA.

Walikuwepo wanawake walioolewa kwenye mitala na mwanamume mmoja. Lakini mwanamume huyo, aliishi kwa mwanamke mmoja tu, kwa sababu alimpenda zaidi kuliko wale wengine. Ndiyo maana watu walipogundua hivyo, waliwaambia wale wengine kwamba, “mumetelekezwa mitala.”

Msemo huo, hulinganishwa kwa mtu yule ambaye huanzisha kazi nyingi mpaka anashindwa kuzimaliza, katika maisha yake. Mtu huyo, huanzisha kazi nyingi kwa wakati mmoja ambazo hushindwa kuzikamilisha kwa sababu ya kushindwa kujigawa, katika utumishi wake. Yeye huzitelekeza kazi zake hizo, kwa sababu ya kuzianzisha nyingi kwa wakati mmoja, maishani mwake.

Mtu huyo, hufanana na yule aliyeoa wanawake wengi akashindwa kuishi nao vizuri, kwa sababu naye huanzisha kazi nyingi kwa wakati mmoja mpaka anashindwa kuzimaliza vizuri, katika utumishi wake. Ndiyo maana watu huziambia kazi zake hizo kwamba, “mumetelekezwa mitala.”

Msemo huo, hufundisha watu juu ya kuwa na ndoa ya mke mmoja na kutekeleza kazi moja kwa wakati mmoja, ili waweze kuzitunza vizuri familia zao, maishani mwao.

Luka 16:13.

Marko 10: 1-12.

ENGLISH: YOU HAVE BEEN ABANDONED BY POLYGAMY.

There were women whom were married in polygamy to one man. But such man lived only with one woman, because he loved her more than the others. That is why when people found out, they told the others that, “You have been abandoned by polygamy.”

This saying is compared to a person who starts many tasks until he fails to finish them, in his life. Such person starts many tasks at the same time which he fails to complete because of not being able to divide himself, in his service. He neglects his works, because of starting a number of them at the same time, in his life.

This person is similar to the one who married many women and failed to live well with them, because he also starts many tasks at the same time until he fails to finish them well, in his service. That is why people say to his works that, “you have been abandoned by polygamy.”

This saying imparts in people an idea of having a monogamous marriage and doing one job at a time, so that they can take care of their families well, in their societies.

Luke 16:13.

Mark 10: 1-12.

partner-7286910__480

couple-7619283__480

couple-6811122__480

1197. OGIMA GUSULA NG’WIFUMA LYANE.

Olihoyi munhu uyo agageniha ha bhukwiye. Umunhu ng’wunuyo, agimaga gusula bhuli hene mpaga nose agasula ng’wibhelele lya ng’wa nina bhukwi okwe, kunguno ya bhugimu bhokwe bhunubho. Hunagwene unina bhukwi okwe ng’winuyo, agang’wila giki, “ogima gusula ng’wifuma lyane.”

Akahayile kenako, kagalenganijiyagwa kuli munhu uyo adina soni umukikalile kakwe kenako. Umunhu ng’wunuyo, agagimaga gwita mihayo ya soni ha bhutongi ya bhanhu bhakwe, kunguno ya bhugimu bhokwe bhunubho. Uweyi agipondaga soni aha kaya yakwe yiniyo, kunguno ya gwita mihayo ya soni ha bhutongi ya bhanhu bhakwe bhenabho, umuwikaji bhokwe.

Umunhu ng’wunuyo agikolaga nu nkwilima uyo agagima gusula ng’wib’eleb’ele lya nina bhukwi okwe, kunguno agagimaga gwita mihayo ya soni habhutongi ya bhanhu bhakwe, umukikalile kakwe kenako. Hunagwene umo obhanhu bhakwe bhenabho agang’wila giki, “ogima gusula ng’wifuma lyane.”

Akahayile kenako, kalanga bhanhu higulya ya guleka bhugimu bho gwita mihayo ya soni ha bhutongi bho bhanhu bhabho, kugiki bhadule gujilela chiza ikaya jabho, umuwikaji bhobho.

Yoshua Bin Sira 33:14.

Waefeso 6:1-3.

KISWAHILI: UMETHUBUTU KUCHUNGULIA KWENYE GHALA LANGU.

Alikuwepo mtu aliyeenda ugenini ukweni kwake. Mtu huyo, alithubutu kuchungulia kwenye ghala la mama mkwe wake, kwa sababu ya kutokuwa na mipaka kwake huko. Ndiyo maana mama mkwe wake alimwambia kwamba, “umethubutu kuchungulia kwenye ghala langu.”

Msemo huo, hulinganishwa kwa mtu asiyekuwa na adabu katika maisha yake. Mtu huyo, huthubutu kufanya mambo ya aibu mbele ya watu wake, kwa sababu ya kukosa adabu kwake huko. Yeye hujiaibisha mwenyewe kweye familia yake kwa sababu ya kutenda kwake mambo ya aibu mbele ya watu wake hao, maishani mwake.

Mtu huyo, hufanana na yule aliyethubutu kuchungulia kwenye ghala la mama mkwe wake huyo, kwa sababu naye hudiliki hutenda mambo ya aibu mbele ya watu wake hao, katika maisha yake. Ndiyo maana mmoja wa watu wake hao, humwambia kwamba, “umethubutu kuchungulia kwenye ghala langu.”

Msemo huo, hufundisha watu juu ya kuwa na adabu ya kuacha kutenda mambo ya aibu mbele ya watu wao, ili waweze kuzilea vizuri familia zao, maishani mwao.

Yoshua Bin Sira 33:14.

Waefeso 6:1-3.

ENGLISH: YOU DARED TO LOOK INTO MY STOCKROOM.

There was a man who went abroad to the house of his wife’s mother. Such man dared to look into his mother-in-law’s warehouse, because of his not having limitations in life. That is why his mother-in-law told him that, “you dared to look into my stockroom.”

This saying is paralleled to a person who has no manners in his life. Such person dares to do shameful things in front of his people, because of his lack of good manners. He embarrasses himself front of his family members because of his shameful actions in front of them, in his life.

This person resembles the one who dared to look into his mother-in-law’s barn, because he also does shameful things in front of his people in life. That is why one of them, tells him that, “you dared to look into my stockroom.”

This saying teaches people about having good manners enough to stop doing shameful things in front of their people, so that they can raise their families well, in their societies.

Joshua Bin Sirach 33:14.

Ephesians 6:1-3.

madagascar-6027006__480