sayings

1393. AGANENHELAGA IGAYO GUMILI.

Aho kale olihoyi munhu uyo wikalaga mubhutemi bho bhusiya. Umunhu ng’wunuyo olina ng’wiye uyo ondalahijaga kunguno ya libhengwe lwakwe umukikalile kakwe. Hunagwene agayomba giki “aganenhelaga igayo gumili.”

Akahayike kenako kagalenganijiyagwa kuli munhu ndoshi uyo agabhadalahijaga abhiye umukikalile kakwe. Umunhu ng’wunuyo, adabhadegelekaga abhiye umumahoya gakwe bho gubhabhona guti bhadina masala ga guyomba mihayo ya solobho, kunguno ya bhudoshi bhokwe ubho gubhibhengwa chiniko abhiye, umuwikaji bhokwe. Uweyi agadumaga ugwikala chiza na bhanhu bha ha kaya yakwe kunguno ya bhudoshi bhokwe bhunubho ubho gubhadalahija abhiye umumahoya gakwe genayo.

Umunhu ng’wunuyo agikolaga nuyo ondalahijaga ung’wiye uyo bhikalaga nanghwe, kunguno nuweyi agabhadalahijaga abhiye umumahoya gakwe genayo, umuwikaji bhokwe. Hunagwene agayombaga giki, “aganenhelaga igayo gumili.”

Akahayile kenako kalanga bhanhu higulya ya guleka bhudoshi bho gubhadalahija abhichabho umumahoya gabho, kugiki bhadule gujilela chiza ikaya jabho, umuwikaji bhobho.

Mithali 13:1-2.

1 Samweli 17:42.

Nehemia 1:19.

Ayubu 19:18.

Zaburi 74:18.

Mithali 14:21.

Mathayo 18:10.

KISWAHILI: ANANILETEA DHARAU MWILINI.

Hapo zamani alikuwepo mtu aliyekuwa akiishi kwenye utawala wa Busiya. Mtu huyo alikuwa akiishi na mwenzake ambaye alikuwa akimdharau kwa sababu ya majivuno yake hayo katika maisha yake. Ndiyo maana alisema kwamba, “ananiletea dharau mwilini.”

Msemo huo, hulinganishwa kwa mtu yule aliye na majivuno ya kuwadharau wenzake, katika maisha yake. Mtu huyo, huwa hawasikilizi wenzake katika maongezi yake kwa kuwaona kama hawana akili za kuwawezesha kuongea maneno ya maana, kwa sababu ya majivuno yake ya kuwadharau wenzake hao, maishani mwake. Yeye hushindwa kuishi vizuri na watu wa kwenye familia yake hiyo kwa sababu ya majivuno yake hayo ya kuwadharau wenzake katika maongezi yake hayo.

Mtu huyo, hufanana na yule aliyemdharau mwenzake aliyekuwa akiishi naye, kwa sababu naye huwadharau wenzake katika maongezi yake, maishani mwake. Ndiyo maana yeye husema kwamba, “ananiletea dharau mwilini.”

Msemo huo hufundisha watu juu ya kuacha majivuno ya kuwadharau wenzao katika maongezi yao, ili waweze kuzilea vizuri famila zao, maishani mwao.

Mithali 13:1-2.

1 Samweli 17:42.

Nehemia 1:19.

Ayubu 19:18.

Zaburi 74:18.

Mithali 14:21.

Mathayo 18:10.

ENGLISH: HE BRINGS ME DISGRACE IN THE BODY.

Once upon a time, there was a man who lived in Busiya kingdom. Such man lived with a neighbor who despised him because of his arrogance in his life. That is why he said that, “he brings me disgrace in the body.”

This saying is paralleled to a person who is arrogant enough to despise his neighbors in his life. Such person does not listen to his neighbors in his conversation as he sees them as not smart enough to speak meaningful words because of his arrogance of despising his neighbors in his life. He fails to live well with people in his family because of his arrogance of scorning his neighbors in his conversation.

This person relates to the one who despised his neighbor who lived with him, because he also despises his neighbors in his conversation, in his life. That is why he says that, “he brings me disgrace in the body.”

This saying teaches people to about doing away with pride of belittling others in their speech, so that they can nicely raise their families, in their lives.

Proverbs 13:1-2.

1 Samuel 17:42.

Nehemiah 1:19.

Job 19:18.

Psalm 74:18.

Proverbs 14:21.

Matthew 18:10.

1392.  LWINZI LONE LOKAMA

Alihoyi munhu uyo olina lwinzi umuchalo ja Jishapu. Umunhu ng’wunuyo, olialutogilwe noyi ulwinzi lokwe lunulo kunguno lo ng’wambilijaga noyi. Aliyo lulu, ulwinzi lunulo lugakama kunguno gagashila aminzi genayo. Hunagwene agayomba giki, “lwinzi lone lokama.”

Akahayile kenako kagalenganijiyagwa kuli munhu uyo olimsab’i omajikolo mingi uyo oliadakoyaga, ijo jigashila mpaga wandya guyukoya, umukikalile kakwe. Umunhu ng’wunuyo, olinsab’i o majikolo mingi ayo ogatumamilaga bho gugisanya nyadoshi mpaga nose gushila, kunguno ya gugisanya goyi bhuli nimo, umuwikaji bhokwe. Uweyi agahabhika mpaka wandya guyukoya aha kaya yakwe kunguno ya bhudoshi bhokwe ubho gujisanya isabho jinijo na kujitumilaga sagala, umukikalile kakwe.

Umunhu ng’wunuyo, agikolaga nuyo lugakama ulwinzi ulo olialutogilwe, kunguno nuweyi jigashila isabho jakwe ijo oliajisanije noyi mpaga uyukoyakoya, umuwikaji bhokwe. Hunagwene agayomba giki, “lwinzi lone lokama.”

Akahayile kenako kalanga bhanhu higulya ya guleka gudosela jikolo ulu bhajipandikaga, kugiki bhadule gujilanija jisoga na bhichabho abhahab’i, umuwikaji bhobho.

Kutoka 22:25.

Kutoka 23:6.

Mathayo 5:40.

Mithali 19:17.

Mithali 22:2.

Mithali 22:9.

KISWAHILI: KISIMA CHANGU KIMEKAUKA.

Alikuwepo mtu aliyekuwa na kisima kwenye kijiji cha Kishapu. Mtu huyo, alikuwa anakipenda sana kisima chake hicho kwa sababu kilikuwa kinamsaidia sana maishani mwake. Lakini basi, kisima hicho kilikauka akaanza kuhangaika. Ndiyo maana alisema kwamba, “kisima changu kimekauka.”

Msemo huo, hulinganishwa kwa mtu yule aliyekuwa tajiri ambaye alifirisika mpaka akaanza kuhangaika, katika maisha yake. Mtu huyo, alipokuwa tajiri wa mali nyingi, alikuwa akizitumia mali zake hizo kwa majivuno mpaka mwishowe zikaisha, kwa sababu ya kuzitegemea sana mali hizo kwenye kutatua kila tatizo, maishani mwake. Yeye alifirisika mpaka akanza kuhangaika kwenye familia yake, kwa sababu ya majivuno yake ya kutegemea mali zake na kuzitumia vizuri, katika maisha yake.

Mtu huyo, hufanana na yule ambaye kisima alichokuwa anakipenda kilikauka, kwa sababu naye aliishiwa mali zake alizokuwa anazitegemea sana mpaka akaanza kuhangaika, maishani mwake. Ndiyo maana alisema kwamba, “kisima changu kimekauka.”

Msemo huo, hufundisha watu juu ya kuacha majivuno wanapotajirika, ili waweze kuendana vizuri na wenzao ambao ni maskini, maishani mwao.

Kutoka 22:25.

Kutoka 23:6.

Mathayo 5:40.

Mithali 19:17.

Mithali 22:2.

Mithali 22:9.

 

ENGLISH: MY WELL HAS DRIED UP.

There was a man who had a well in the village of Kishapu. Such man liked his well so much because it supported him a lot in his life. But then, the well dried up until he began to worry. That is why he said that, “my well has dried up.”

This saying is matched to a rich man who lost his wealth until he started to worry, in his life. When this man was rich with a lot of wealth, he used his wealth arrogantly until it finally ran out, because he relied too much on it in solving every difficult in his life. He was broke until he started to worry about his family, because of his pride of relying too much on his wealth in using it.

This man is similar to the one whose well which he liked dried up, because he also ran out of the wealth which he had relied on so much until he started to worry, in his life. That is why he said that, “my well has dried up.”

This saying imparts in people an idea of abandoning pride when they become rich, so that they can fit in well with their poor nobles in their lives.

Exodus 22:25.

Exodus 23:6.

Matthew 5:40.

Proverbs 19:17.

Proverbs 22:2.

Proverbs 22:9.

 

1391. AGALILAGA ULU WIZA HA WELELO.

Akahayile kenako kingilile kuli ng’wana uyo obyalagwa. Ung’wana ng’wunuyo agalilaga ulu obyalwa kunguno wingilaga muweja umo adamanilile. Uweyi agalombaga wambilijiwa kuli msumbi okwe kunguno wandyaga wikaji bhupya kugiki adule gwikala mhola. Hunagwene abhanhu bhagahaga giki, “agalilaga ulu wiza ha welelo.”

Akahayile kenako kagalenganijiyagwa kuli munhu uyo agalombaga wambilija kuli Mulungu ulu wandyaga nimo gupya umukikalile kakwe. Umunhu ng’wunuyo agandyaga imilimo yakwe imipya bho gunomba Mulungu kunguno ya guzunya gokwe gutale ukubhudula bho Nsumbi okwe, umuwikaji bhokwe. Uweyi apandikaga matwajo mingi umumilimo yakwe imipya yiniyo, kunguno ya kunomba Mulungu aho alandya uguitumama, umukikalile kakwe.

Umunhu ng’wunuyo agikolaga nu ng’wana uyo agalombaga wambilijiwa kuli nsumbi okwe bho gulila ulu obyalwa, kunguno nuweyi agalombaga wambilijiwa kuli Mulungu ulu alandya uguitumama imilimo yakwe imipya yiniyo, umuwikaji bhokwe. Hunagwene abhanhu bhagang’wilaga giki, “agalilaga ulu wiza ha welelo.”

Akahayile kenako kalanga bhanhu higulya ya kulomba wambilijiwa kuli Mulungu ulu bhalandya uguitumama imilimo yabho, kugiki bhadule gupandika matwajo mingi umutumami bho milimo yabho yiniyo, umuwikaji bhobho.

1 Wakorintho 13:11.

KISWAHILI: HULIA ANAPOKUJA DUNIANI.

Msemo huo ulianzia kwa mtoto aliyezaliwa. Mtoto huyo hulia baada ya kuzaliwa kwa sababu ameingia ulimwengu ambamo hajazoea. Yeye huomba msaada kwa muumba wake kwa sababu ameanza maisha mpya kwake ili aweze kuyamudu vizuri. Ndiyo maana watu husema kwamba, “hulia anapokuja duniani.”

Msema huo hulinganishwa kwa mtu yule ambaye huomba msaada kwa Mungu anapoanza kazi mpya, katika maisha yake. Mtu huyo, huanza kazi mpya kwa kumuomba Mungu kwa sababu ya imani yake kubwa kwenye uwezo wa Muumba wake maishani mwake. Yeye hupata mafanikio mengi katika kazi zake hizo mpya, kwa sababu ya kumuomba Mungu anapoanza kuzifanya kazi zake hizo, katika maisha yake.

Mtu huyo hufanana na yule mtoto ambaye huomba msaada kwa Muumba wake kwa kulia baada ya kuzaliwa, kwa sababu naye huomba msaada kwa Muumba wake anapoanza kufanya kazi zake hizo mpya, maishani mwake. Ndiyo maana watu humwambia kwamba, “hulia anapokuja duniani.”

Msemo huo, hufundisha watu juu ya kuomba msaada kwa Mungu wanapoanza kuyatekeleza majukumu yao, ili waweze kupata mafanikio mengi katika utendaji wao wa kazi, maishani mwao.

1 Wakorintho 13:11.

 

ENGLISH: HE CRIES WHEN HE COMES INTO THE WORLD.

This saying is originated from a newborn baby. The newborn baby cries after birth because of entering into new world which it is not used to. It asks for help from the creator because of starting a new independent life so that it can nicely cope with it. That is why people say that, “he cries when he comes into the world.”

This saying is associated to a person who asks for help from God when he starts a new job, in his life. Such person, starts a new job by asking God because of his great faith in the power of his Creator in his life. He achieves great success in his new jobs, because of depending on God when he starts doing them, in his life.

This person resembles the child who asks for help from his Creator by crying after birth, because he also asks for help from his Creator when he starts doing new jobs, in his life. That is why people say to him that, “he cries when he comes into the world.”

This proverb teaches people about asking God for help when they begin to carry out their duties, so that they can achieve great success in their lives.

1 Corinthians 13:11.

 

 

1390. AGIYINGIJAGA LESHI WEYI NG’WINIKILI.

Imbuki ya kahayile kenako kahoyelile noni iyo igitanagwa Gologobo. Inoni yiniyo ulu yub’andila igoyaga ugufuma nulu hado kunguno igab’izaga yenhelwa ijiliwa haho nu ngoshi oyo. Hunagwene abhanhu bhagayombaga giki “agiyingijaga leshi weyi ng’winikili.”

Akahayile kenako kagalenganijiyagwa kubhitoji abho bhitogilwe chiza umuwikaji bhobho. Abhitoji bhenabho bhagiyambilijaga ugutumama imilimo yabho chiza bho gushola jiliwa ungosha ulu alisata unkima okwe, umuwikaji bhobho. Abhoyi bhagikala na bhuyegi aha kaya yabho bho gubhalela chiza abhana bhabho kunguno ya witogwi bhobho bhunubho, umukikalile kabho.

Abhitoji bhenabho bhagikolaga ni noni ijo jigiyambilija bho gwenha ijiliwa ing’osha ulu yub’andila inhima, kunguno nabhoyi bhagiyambilija bho witogwi bhutale umuwitoji bhobho. Hunagwene abhanhu bhagab’awilaga giki, “agiyingijaga leshi weyi ng’winikili.”

Akahayile kenako kalanga bhitoji higulya ya gubhiza na witogwi bho gwiyambilija chiza umuwikaji bhobho, kugiki bhadule gujilela bho bhuyegi bhutale ikaya jabho.

Waefeso 4:25-28.

KISWAHILI: HUJIINGIZA JELA YEYE MWENYEWE.

Chanzo cha msemo huo huongelea ndege anayeitwa Gologobo ambaye ni jamii ya njiwa. Ndege huyo akiatamia mayayi huwa hatoki hata kidogo pale kwa sababu huwa analetewa chakula na mume wake. Ndiyo maana watu husema kwamba, “hujiingiza jela yeye mwenyewe.”

Msemo huo hulinganishwa kwa wana ndoa wale wapendanao vizuri maishani mwao. Wana ndoa hao husaidiana katika kuyatekeleza majukumu yao vizuri kwa mwanaume kumtafutia chakula mke wake anapokuwa anaumwa, maishani mwao. Wao huishi na furaha kwenye familia ya kuwalea vyema watoto wao kwa sababu ya upendo wao huo, katika maisha yao.

Wana ndoa hao hufanana na wale ndege wanaosaidiana kwa mume kumletea chakula mke wake anapoatamia mayayi, kwa sababu nao husaidiana kwa upendo mkubwa katika maisha yao hayo ya ndoa. Ndiyo maana watu husema juu yao kwamba, “hujiingiza jela yeye mwenyewe.”

Msemo huo, hufundisha wana ndoa juu ya kuwa na upendo wa kusaidiana vizuri katika maisha yao hayo ili waweze kuzilea kwa furaha vizuri familia zao, maishani mwao.

Waefeso 4:25-28.

ENGLISH: HE GOES INTO PRISON HIMSELF.

The origin of this saying is about a bird called Gologobo, which is within species of pigeon. When the bird lays eggs never leaves at all because her husband brings food to her. That is why people say that, “he goes into prison himself.”

This saying is equated to married couples who love each other in their lives. These married couples help each other in fulfilling their responsibilities in which the man finds food for his wife when she is sick, in their lives. They live happily in their family by raising their children well because of their love to each other, in their lives.

These married couples are like those birds that help each other enough to bring food for the husband when his wife lays eggs, because they also help each other with great love in their married life. That is why people say about them that, “he goes into prison himself.”

This proverb teaches married couples about loving each other well in their lives so that they can happily raise their families in their lives.

Ephesians 4:25-28.

1389. OLAMBILE GITI LUYILO LWA SHI (NDILO)

Akahayile kenako kahoyelile kalambile kwa gwibhona na munhu nhebhe uyo olidabhayelelaga abhiye umuwikaji bhokwe. Umunhu ng’wunuyo oliolamba giti luyilo lwa shi, kunguno ishi igikalaga muminzi umodijinogu uguila. Hunagwene umunhu ng’wunuyo aho bhamona abhiye bhagang’wila giki “olambile giti luyiyo lwa shi (ndilo).”

Akahayile kenako kagalenganijiyagwa kuli munhu uyo adagishaga bhaduguye umukikalile kakwe. Umunhu ng’wunuyo, agikalaga aha kaya yakwe agutumamaga milimo yakwe duhu bho nduhu ugubhagisha abhadugu bhakwe lunu bhapandikaga makoye, kunguno ya bhudidalonja bhokwe bhunubho, umuwikaji bhokwe. Uweyi apandikaga mayange aha kaya yakwe ogayiwa abhadugu abhagwiza gungisha kunguno ya bhujidalonja bhokwe bhunubho, umukikalile kakwe kenako.

Umunhu ng’wunuyo agikolaga nuyo wikalaga miaka mingi bho nduhu ugubhagisha abhadugu bhakwe kunguno nuweyi agikalaga ha kaya yakwe bho nduhu ubhudiliji bho gubhagisha abhadugu bhakwe umuwikaji bhokwe bhunubho. Hunagwene abhadugu bhakwe bhenabho bhagang’wilaga giki, “olambile giti luyiyo lwa shi (ndilo).”

Akahayile kenako kalanga bhanhu higulya ya gubhiza na bhudiliji bho gwigisha na bhadugu bhabho ulu bhikumbulaga kugiki bhadule gwiyambilija chiza, umukaya jabho.

Waebrania 12:14.

KISWAHILI: UMEADIMIKA KAMA JASHO LA SAMAKI (KITOWEO).

Msemo huo huongelea juu ya kuadimika kwa mtu yule ambaye alikuwa hawatembelei wenzake maishani mwake. Mtu huyo, aliadimika kama jasho la samaki kwa sababu, samaki huiishi majini kwenye hali ambayo hawezi kutoka jabho. Ndiyo maana watu walipomuona mtu huyo walimwambia kwamba, “umeadimika kama jasho la samaki (kitoweo).”

Msemo huo hulinganishwa kwa mtu yule ambaye huwa hasalimii ndugu zake katika maisha yake. Mtu huyo, hukaa nyumbani kwake akiendelea na kazi zake bila ya kwenda kuwasalimia ndugu zake kwa sababu ya kutokujali kwake, maishani mwake. Yeye hupata shida ya kukosa ndugu wa kumsalimia anapokumbwa na matatizo kwa sababu ya kutokujali kwake huko katika maisha yake hayo.

Mtu huyo, hufanana na yule aliyeishi kwa miaka mingi bila kuwasalimia ndugu zake, kwa sababu naye hukaa nyumbani kwake bila kujali umuhimu wa kuwasalimia ndugu zake, maishani mwake. Ndiyo maana watu hao humwambia kwamba, “umeadimika kama jasho la samaki (kitoweo).”

Msemo huo hufundisha watu juu ya kuwa na hali ya kujali umuhimu wa kuwasalimia ndugu zao wanapokumbukana, ili waweze kusaidiana vizuri, katika familia zao.

Waebrania 12:14.

ENGLISH: YOU HAVE BECOME EXPENSIVE LIKE SWEAT OF A FISH.

This saying talks about a person who did not visit his friends for a long time in his life. Such person, became costly like fish’s sweat because, fish live in water in a state where they cannot get out of the water enough to sweat. That is why when people saw that person, they told him that, “You have become expensive like sweat of a fish.”

This saying is equated to a person who does not greet his relatives in his life. Such person, stays at home continuing with his works without going to greet his associates because of his indifference, in his life. He experiences difficult of not having relative to greet him when he has difficulties because of his indifference in his life.

This person, resembles the one who lived for many years without greeting his associates, because he also stays at home without considering an importance of greeting them, in his life. That is why the people tell him that, “You have become expensive like sweat of a fish.”

This saying teaches people about meaning of greeting their relatives when they remember each other, so that they can help each other well, in their families.

Hebrews 12:14.