proverbs

1372. AHA NG’WISE GADAGAYIKAGA MAB’U.

Amab’u jili ginhu ijo jigolechaga milimo ya moto. Imilimo ya moto yiniyo, ili kihamo na guzugila jiliwa ja bhanhu kunguno abhanhu bhagasolaga ng’hwi ijo jigabhakaga moto mpaga jasaga mab’u ulu jilizugwa ijiliwa jinijo.

Kuyiniyo lulu, ikaya iyo idamalaga mab’u ili ya bhanhu abho bhagazugaga jiliwa ja gulya abhanhu bhabho bhuli lushigu. Hunagwene abhanhu bha ha kaya yiniyo bhagayombaga giki, “aha ng’wise gadagayikaga mab’u.”

Ulusumo lunulo lugalenganijiyagwa kukaya ya bhanhu bhizanholo umukikalile kabho. Abhanhu bha ha kaya yiniyo bhagabhagalilaga abhanhu bhabho bho gubhazugila jiliwa jawiza bhuli lushigu, kunguno ya wizanholo bhobho bhunubho, umuwikaji bhokwe. Abhanhu bhenabho bhagapandikaga mbango ja gwikala na bhuyegi bhutale hoyi kunguno ya winzaholo bhobho bhunubho ubho gubhagalila jiliwa jawiza abhanhu bhabho, umukikalile kabho kenako.

Abhanhu bha ha kaya yiniyo, bhagikolaga nabho bhabhazugilaga abhanhu bhabho jiliwa bhuli lushigu, kunguno nabhoyi bhagabhagalilaga abhanhu bhabho bho gubhazugila jiliwa jawiza bhuli lushigu, umuwikaji bhobho bhunubho. Hunagwene abhanhu bhabho bhagayombaga giki, “aha ng’wise gadagayikaga mab’u.”

Ulusumo lunulo lolanga bhanhu higulya ya gubhiza na wizanholo bho gubhazugila abhichab’o jiliwa jawiza bhuli lushigu, kugiki bhadule gupandika mbango jagwikala na bhuyegi bhutale umu kaya jabho jinijo.

Walawi 1:7-8.

Nehemia 9:12.

Isaya 6:6.

Isaya 9:5.

KISWAHILI: NYUMBANI KWETU HAYAKOSEKANI MAJIVU.

Majivu ni kitu ambacho huonesha kazi za moto. Kazi hizo ni pamoja na kupikia chakula cha watu kwa sababu watu huchukua kuni ambazo huunguzwa na moto mpaka yanabakia majivu wakati wa kupika chakula hicho.

Kwa hiyo familia ile ambao majivu hayakoseni ni ya watu wale wanaopika chakula cha kula watu wao kila siku. Ndiyo maana watu wa kwenye familia hiyo husema kwamba, “nyumbani kwetu hayakosekani majivu.”

Methali hiyo hulinganishwa kwenye familia ya watu wakarimu katika maisha yao. Watu wa kwenye familia hiyo, huwatunza watu wao kwa kuwapikia chakula kizuri kila siku, kwa sababu ya ukarimu wao huo maishani mwao. Wao hupata Baraka za kuishi kwa furaha kubwa katika familia yao hiyo kwa sababu ya ukarimu wao huo wa kuwapikia chakula kizuri watu wao, katika maisha yao hayo.

Watu wa kwenye familia hiyo, hufanana na wale waliowapikia watu chakula kila siku, kwa sababu nao huwatunza watu wao kwa kuwapikia chakula kizuri kila siku, maishani mwao. Ndiyo maana watu wao husema kwamba, “nyumbani kwetu hayakosekani majivu.”

Methali hiyo hufundisha watu juu ya kuwa na ukarimu wa kuwapikia chakula kizuri watu wao kila siku, ili waweze kupata Baraka za kuishi kwa furaha katika familia zao hizo.

Walawi 1:7-8.

Nehemia 9:12.

Isaya 6:6.

Isaya 9:5.

ENGLISH: THERE IS NO SHORTAGE OF ASHES IN OUR HOUSE.

Ash is something that represents works of fire. These works include cooking food for people who take wood that is burned by fire until it remains as ashes when cooking the food.

Therefore, the family that does not lack ash belongs to those people who cook food for their people every day. That is why the people of that family say that, “There is no shortage of ashes in our house.”

This proverb is equated to a family of generous people in their lives. These people of that family take care of their people by cooking for them decent food every day, because of their generosity in their lives. They receive blessings of living with great happiness in their family because of their generosity of cooking respectable food for their people, in their lives.

These people are similar to those who cooked food for people every day, because they also take care of their people by cooking decent food for them every day, in their lives. That is why their people say, “There is no shortage of ashes in our house.”

This proverb imparts in people an idea of being generous enough to cook respectable food for their people every day, so that they can receive blessings of living happily in their families.

Leviticus 1:7-8.

Nehemiah 9:12.

Isaiah 6:6.

Isaiah 9:5.

 

1367. NINGUJI ONGUNDA GONE AGALOLAGA PYE IJILILI.

Olihoyi munhu uyo oliosuga nva umuchalo ja Gabale. Inva yiniyo yatumamaga nimo go gulinda ngunda gokwe bhuli makanza. Iyoyi yajaga yulola pye ijijili guti munhu alilingula ngunda kunguno ya kujilanhana chiza ijiliwa ja mungunda gunuyo. Hunagwene umunhu ng’wunuyo ayomba giki, “ninguji ongunda gone agalolaga pye ijilili.”

Ulusumo lunulo lugalenganijiyagwa kuli munhu uyo agajilanhanaga chiza isabho jakwe umukikalile kakwe. Umunhu ng’wunuyo, agatuulaga bhalindi bhawiza abho bhagajilanhanaga chiza isabho jakwe mpaga bhaduma ugujiibha abhasambo, kunguno ya bhulanhani ubho wiza bhunubho. Uweyi agikalaga na sabho ningi noyi aha kaya yakwe, kunguno ya kujilanhana chiza isabho jakwe jinijo, umuwikaji bhokwe bhunubho.

Umunhu ng’wunuyo agikolaga nuyo ogulanhanaga ungunda gokwe bho gutumila nva iyo yalingulaga pye ijilili, kunguno nuweyi agajilanhanaga isabho jakwe bho gutuula bhalindi bha wiza umuwikaji bhokwe. Hunagwene agayombaga giki, “ninguji ongunda gone agalolaga pye ijilili.”

Ulusumo lunulo, lolanga bhanhu higulya ya gujilanhana chiza isabho jabho bho gutuula bhalindi bha wiza, kugiki bhadule gujitumamile chiza isabho jabho bho nduhu ugusolwa na bhasomba, umuwikaji bhobho.

1 Samweli 14:16.

2 Samweli 13:34.

1 Wafalme 14:27.

KISWAHILI: MLINZI WA SHAMBA LANGU HUANGALIA VILAVYO VYOTE.

Alikuwepo mtu aliyefuga mbwa kwenye kijiji cha Gabale. mbwa huyo alifanya kazi ya kulinda shamba lake kila wakati. Yeye alikuwa akilinda kwa kukagua vyote vilivyomo ndani yake kwa sababu alitaka kuyalinda vizuri mazao yote hayo. Ndiyo maana alisema kwamba, “mlinzi wa shamba langu hukagua vilavyo vyote.”

Methali hiyo hulinganishwa kwa mtu yule ambaye huitunza vizuri mali yake katika maisha yake. Mtu huyo, huweka walinzi waaminifu ambao huilinda vizuri mali yake hiyo mpaga wezi wanashindwa kuichukua kwa sababu ya kuilinda vizuri mali yake hiyo. Yeye hupata mali nyingi sana kwenye familia yake kwa sababu ya kuilinda vizuri mali yake hiyo, maishani mwake.

Mtu huyo hufanana na yule aliyeweka mbwa wa kumlindia shamba lake ambaye alikagua vyote vilivyomo, kwa sababu naye huweka walinzi ambao huitunza vyema mali yake hiyo maishani mwake. Ndiyo maana husema kwamba, “Mlinzi wa shamba langu hukagua vilavyo vyote.”

Methali hiyo, hufundisha watu juu ya kuzitunza vizuri mali zao, kwa kuweka walinzi waaminifu, ili waweze kuzitumia vizuri hali hizo bila ya kuchukuliwa na wezi, maishani mwao.

1 Samweli 14:16.

2 Samweli 13:34.

1 Wafalme 14:27.

ENGLISH: MY FIELD GUARD CHECKS ALL INSECTS.

There was a man who kept a dog in the village of Gabale. Such dog worked enough to protect safe his field at all times. He was guarding it by checking everything in it because he wanted to look after all the crops well. That is why the dog keeper said, “the guard of my field checks all the goodies.”

This proverb is compared to a person who takes good care of his property in his life. Such man, puts loyal guards who protect his property well to the point of preventing thieves from stealing it because of the good protection of his property. He gains a lot of wealth in his family because of having such decent security of his possessions, in his life.

This person is like the one who put a dog to guard his field which checked everything in it, because he also puts guards who take good care of his belongings in his life. That is why he says, “The guard of my field checks all insects.”

This proverb teaches people about taking good care of their possessions, by placing faithful guards, so that they can make good use of those possessions without being taken by thieves, in their lives.

1 Samuel 14:16.

2 Samuel 13:34.

1 Kings 14:27.

 

 

 

1365. B’UKAGI WANGU MUGULIWA MASUMULE.

Aho kale bhalihoyi bhanhu abho bhatumama nimo umuchalo ja bhusiya. Abhanhu bhenabho bhali bhalemejiwe ugwigasha ulubhaligutumama unimo guniyo kunguno bhalibhadakililwe gugumala wangu unimo gunuyo. Ulu munhu ubhonwa na bhatale bha nimo gunuyo wigashaga ahikanza lyagugutumama unimo gunuyo oliyagwa masumule. Hunagwene abhatumami bhenabho bhikomelejaga gutumama nimo bho guyomba giki, “b’ukagi wangu muguliwa masumule.”

Ulusumo lunulo lugalenganijiyagwa kuli munhu uyo aganyenyekaga ugutumama imilimo ya ng’wigunguli lyakwe umukikalile kakwe. Umunhu ng’wunuyo agikalaga unyenyeka ugujiika abhanhu bha ng’wigunguli lyakwe, nulu ugubhambilija abhiye abho bhapandikaga makoye, kunguno ya bhujidadilila bhokwe bhunubho umuwikaji bhokwe. Uweyi agapandikaga makoye gagutulijiwa bhuli makanza aha kaya yakwe kunguno ya bhunyenyeku bhokwe bhunubho ubhoguleka gujutumama milimo ya ng’wigunguli lyakwe, umukikalile kakwe kenako.

Umunhu ng’wunuyo, agikolaga nabho bhigashaga ahikanza lya gutumama milimo yabho, kunguno nuweyi aganyenyekaga ugutumama imilimo iyang’wigunguli lyakwe mpaga otulijiwa ni ligunguli lyakwe linilo. Hunagwene abhanhu bhagang’wilaga giki, “b’ukagi wangu muguliwa masumule.”

Akahayile kenako kalanga bhanhu higulya ya guleka bhunyenyeku bho gutumama milimo ya ng’wigunguli lyabho, kugiki bhadule gwiyambilija gutumama milimo ya gubhenhela matwajo gagujibheja chiza ikaya jabho, umuwikaji bhobho.

1 Wakorintho 16:16.

Wakolosai 1:10.

KISWAHILI: AMUKENI HARAKA MTATOZWA FAINI.

Hapo zamani walikuwepo watu waliokuwa wakifanya kazi kwenye kijiji cha Busiya. Watu hao walikuwa wamekatazwa kukaa wakati wa kufanya kazi hiyo, kwa sababu walitakiwa kuimaliza mapema kazi hiyo. Mtu aliyeonekana amekaa kabla ya kuimaliza kazi hiyo, alitozwa faini. Ndiyo maana wafanyakazi hao walikuwa wakihimizana kuendelea kuitekeleza kazi hiyo kwa kusema kwamba, “amukeni haraka mtatozwa faini.”

Methali hiyo hulinganishwa kwa mtu yule ambaye hukwepa kufanya kazi kwenye kijiji chake katika maisha yake. Mtu huyo, huwa anakwepa kwenda kwenye matukio mbalimbali yakiwemo yale ya kuzika wafu au kuwasaidia watu waliokumbwa na matatizo kwenye kijiji chake, kwa sababu ya kutokujali kwake, maishani mwake. Yeye hukumbwa na matatizo ya kutengwa na wanakijiji hao mara kwa mara kwenye familia yake, kwa sababu ya utoro wake huo wa kuacha kujiunga na wenzake katika kutatua matatizo ya kijijini mwake wakiwa pamoja na wanzake, maishani mwake.

Mtu huyo, hufanana na wale waliokuwa wakitegea kufanya kazi kwa kukaa kabla ya kumaliza kazi yao, kwa sababu naye hukwepa kuhudhulia matukio ya wanakijiji wenzake katika maisha yake. Ndiyo maana watu humwambia kwamba, “amukeni haraka mtatozwa faini.”

Methali hiyo hufundisha watu juu ya kuacha ukwepaji wa kwenda kufanya kazi za vijijini mwao, ili waweze kushirikiana vizuri katika kufanya kazi za kuwapatia mafanikio mengi, maishani mwao.

1 Wakorintho 16:16.

Wakolosai 1:10.

ENGLISH: WAKE UP QUICKLY OR YOU WILL BE FINED.

In the past, there were people working in the village of Busiya. These people were forbidden to sit while doing the work, because they were required to finish the work early. Anyone who was seen sitting before finishing the work was fined. That is why the workers used to encourage each other to continue doing the work by saying, “Wake up quickly or you will be fined.”

This proverb is compared to a person who avoids working in his village in his life. That person avoids going to various events including those to bury the dead or help people who have problems in his village, because of his carelessness, in his life. He suffers from the problems of being separated from the villagers from time to time in his family, because of his absence of joining his colleagues in solving the problems of his village while being with his colleagues, in his life.

This person is like those who used to stay up late to work because they avoid attending to the events of their fellow villagers in their lives. That is why people tell them, “wake up quickly, you will be fined.”

This proverb teaches people to stop avoiding going to work in their villages, so that they can cooperate well in doing the work that will bring them much success in their lives.

1Corinthians 16:16.

Colosians 1:10.

1364. DINDAGE UMLYANGO GWA MUGATI (BENA)

KISWAHILI: FUNGA MLANGO WA CHUMBANI.

Methali hii ya Bena inamzungumzia mtu ambaye alikuwa na tabia ya kuacha mlango wa ndani wazi na kusababisha matatizo kwa jamii. Methali hii ni ya Wabena Ethnic Group wanaoishi Njombe, Makete, Ludewa, Makambako na Morogoro nchini Tanzania. Wanakadiriwa kuwa watu 1,322,000. Mwanzoni waliishi katika eneo la pwani na walifanya kazi pamoja na Kundi la Wazaramo katika kutengeneza chuma. Baadaye walifanya shughuli za uvuvi, kilimo na ufugaji. Ni watu wakarimu na wanafanya kazi kwa bidii. Kundi la Wabena hutumia methali, hadithi, misemo, muziki, nyimbo, ngoma na kadhalika kuelimisha jamii na vizazi vyao.

Moja ya methali walizotumia ni dindage umlyango gwa mugati ikimaanisha funga mlango wa chumba cha kulala. Methali hii inaweza kufuatiliwa hadi kwa mwanamume mmoja kutoka kijiji cha Kwavisu ambaye alihama kijiji chake na kwenda kuishi katika kijiji kingine cha mbali. Kwa bahati nzuri, kijiji alichokwenda kilikuwa na mto mkubwa na wenyeji hasa vijana walikuwa na kazi za uvuvi. Alikuwa na mke na watoto watatu. Malezi ya familia yake hayakuendana na mila na desturi za kijiji. Wazazi hawakujua jinsi ya kutunza siri za ndoa yao na familia yao. Walikuwa wakizungumza kwa uhuru bila kujali uwepo wa watoto wao. Kwa hiyo watoto walijua kila kitu kilichokuwa kikiendelea. Watoto hao walipokuwa shuleni, waliwaeleza wanafunzi wenzao mambo yaliyokuwa yakitendeka nyumbani.

Habari zilienea mtaani. Wenyeji walishangazwa na kuwaomba wazee wa kijiji waende kuzungumza na familia hiyo. Walishauri wafunge mlango wa chumba cha kulala maana yake wachunge siri za nyumba na ndoa yao ili kuepusha madhara na maadili mabaya ambayo ni ukosefu wa nidhamu ya familia na tabia mbaya. Wazazi walikubali na kufanya hivyo.

Wabena hutumia methali hii kuhamasisha maadili kwa watoto na vijana, haswa wakati vijana wanajiandaa kwa maisha ya ndoa. Walifundishwa kutunza familia zao na kuwa watu wa kutunza siri za ndoa bila kulalamika wala kuzungumza hapa na pale. Walifanya hivyo ili watoto waendelee kukua. Hawakati tamaa wala kuogopa kuolewa baada ya kujua shida na matatizo. Methali hiyo inafananishwa na watu wenye tabia ya familia hii isiyoweza kuficha siri na hivyo kuwa watu wa kuzungumza waziwazi na kulalamika hapa na pale na kuharibu jamii.

Waamuzi 16:15, 17: “Kisha akamwambia, “Unawezaje kusema, ‘Nakupenda’ na hali moyo wako si wangu? Mara tatu tayari umenidhihaki, wala hukuniambia unapata wapi nguvu zako nyingi!” Yeye taabu yake daima na pestered naye mpaka alikuwa deathly kuchoka yake. Kwamba alimwambia moyo wake wote, na kumwambia, “Wembe haujanifikilia kichwani mwangu; kwa maana mimi nimekuwa Mnadhiri wa Mungu tangu tumboni mwa mama yangu; nikinyolewa, ndipo nguvu zangu zitanitoka, nami nitakuwa dhaifu, nitakuwa kama wanadamu wengine.”

Mwanzo 37:5 “Yusufu akaota ndoto, akawapa ndugu zake habari; nao wakazidi kumchukia.

Marko 1:45 : “Lakini yeye akatoka, akaanza kuhubiri sana, na kuitangaza habari hiyo, hata Yesu asiweze tena kuingia katika mji huo waziwazi.

1 Wakorintho 4:1 “Mtu na atuhesabu hivi, kuwa tu watumishi wa Kristo na mawakili wa siri za Mungu.”

ENGLISH: CLOSE THE BEDROOM DOOR.

This Bena Proverb talks about a person who had the habit of leaving the inner door open and causing trouble to the community. This proverb belongs to the Wabena Ethnic Group who live in Njombe, Makete, Ludewa, Makambako and Morogoro in Tanzania. They are estimated as 1,322,000 people. At first they lived in the coast region and they worked together with the Wazaramo Ethnic Group in making iron. Later they did fishing, farming and breeding activities. They are generous people and they work hard. The Bena Ethnic Group use proverbs, stories, sayings, music, songs, dances and so on to educate the community and their descendants.

One of the proverbs they used is dindage umlyango gwa mugati that means close the bedroom door. This proverb can be traced back to a man from the village of Kwavisu who left his village and went to live in another distant village. Fortunately, the village that he went to had a big river and the locals, especially the young people, had fishing jobs. He had a wife and three children. The upbringing of his family did not conform to the traditions and customs of the village. The parents did not know how to keep the secrets of their marriage and their family. They were talking freely regardless of the presence of their children. So the children knew everything that was going on. When the children were at school, they told their classmates what was happening at home.

The news spread in the street. The locals were shocked and asked the village elders to go and talk to the family. They advised them to close the bedroom door that means that they should take care of the secrets of the house and of their marriage in order to prevent any harm and bad morals that is a lack of family discipline and bad behaviour. The parents agreed and did so.

The Bena people use this proverb to inspire morals in children and young people, especially when the young people are preparing for married life. They were taught to take care of their family and to be people who keep the secrets of marriage without complaining or talking here and there. They did it so that the children continue to grow. They do not give up or fear to get married after knowing the difficulties and problems. The proverb is likened to people who behave like this family who cannot keep secrets and thus become people who talk openly and complain here and there and destroy the society.

Biblical Parallels

Judges 16:15,17: “Then she said to him, “How can you say ‘I love you’ when your heart is not mine? Three times already you have mocked me, and not told me where you get your great strength!” She pressed him continually and pestered him till he was deathly weary of it. That he told her all his heart, and said unto her, “there has not come a razor upon my head; for I have been a Nazarite unto God from my mother’s womb: if it be shaven, then my strength will go from me, and I shall become weak, and be like any other man.”

Genesis 37:5: “And Joseph dreamed a dream and he told it his brethren: and they hated him yet the more.”

Mark 1:45: “But he went out and began to publish it much, and to blaze abroad the matter, insomuch that Jesus could no more openly enter into the city.”

1 Corinthians 4:1: “Let a man so account of us, as of the ministers of Christ, and stewards of the mysteries of God.”

Contemporary Use And Religious Application

This proverb teaches us to be people who keep secrets especially when it is necessary to do so. Be it family, office, work and elsewhere, secrets are things or plans that are inside a person. It is not easy for others to understand what someone else has said to others. Many people these days have destroyed their marriages, families, jobs, some have been demoted, some have been fired and others have been killed and so on because of the failure to keep secrets.

In our church such as in our various Small Christian Communities there are also conflicts here and there. Some have stopped praying, others are separated from their churches and many others have problems because someone fails to keep a secret. We are reminded by this Bena proverb that we should be people who keep our secrets and those of our colleagues.

This proverb helps us to put into practice this Jubilee Year 2025 message that calls Christians to increase their hope in God on their way to the Heavenly Kingdom. They are pilgrims of hope on this earth.

Text by:

Sister Felisia Mbifile, SCSF

Rome, Italy

Phone No: +254792229035

Email: felisiambifile@gmail.com

1358. ULAYIZUKA IYA MPILIMO NULU IYAGUMASAGA.

Imbuki ya lusumo lunulo ilolile munhu uyo ojaga kumasaga ogita jito jilebhe bhuli makanza umuwikaji bhokwe. Umunhu ng’wunuyo agibhisaga ukumasaga kunuko kunguno ya gwita ginhu ijo oliadahayile abhiye bhajimane. Uweyi witaga chene mpaka umala inguzu ja gutumama imilimo bho nduhu gupandika munhu ogung’wimbilija aha shigu ja kubhutongi. Hunagwene abhanhu bhagang’wila giki, “ulayizuka iya mpilimo nulu iyagumasaga.”

Ulusumo lunulo, lugalenganijiyagwa kuli munhu uyo alina kajile kabhub’i umukikalile kakwe. Umunhu ng’wunuyo agitaka mihayo ya bhub’i iyo ilikihamo na bhujingi, bhushiya, wiyungi bho nduhu gubhiza na wikalo nulu bhana, kunguno ya kajile kakwe akabhub’i kenako umuwikaji bhokwe. Uweyi agayiyaga abhanhu bha gung’wambilija umubhukuji bhokwe kunguno ya gwita mihayo ya bhub’i yiniyo, umukikalile kakwe.

Umunhu ng’wunuyo agikolaga nuyo witaga mihayo yakwe bho gwibhisa mumasaga mpaga ukula adinang’wambilija, kunguno nuweyi agitaga jito jabhub’i mpaga nose okula bho nduhu kupandika bhana bhagung’wimbilija, umuwikaji bhokwe. Hunagwene abhanhu bhagang’wilaga giki, “ulayizuka iya mpilimo nulu iyagumasaga.”

Ulusumo lunulo lolanga bhanhu higulya ya gubhiza na nhungwa ja gwita mihayo ya wiza iyagubhambilija gubheja kaya chiza kugiki bhadule kupandika bhana nulu bhanhu bha gubhambilija aha shigu ijahabhutongi, umuwikaji bhobho bhunubho.

1Wakorintho 15:33.

1Wakorintho 3:16-17.

Zaburi 127:3.

1Wakorintho 6:19-20.

KISWAHILI: UTAIKUMBUKA YA NYUMA AU YA VICHAKANI.

Chanzo cha methali hiyo chaangalia mtu aliyekuwa akienda vichakani mara nyingi, maishani mwake. Mtu huyo, alikuwa akijificha vichakani huko kwa sababu alifanya kitu fulani ambacho hakutaka wenzake wakifahamu. Yeye aliendelea kufanya hivyo mpaga akamaliza nguvu za kufanya kazi zake bila ya kupata mtu wa kumsaidia katika siku za mbeleni. Ndiyo maana watu walimwambia kwamba, “utaikumbuka ya nyuma au ya vichakani.”

Methali hiyo hulinganishwa kwa mtu yule ambaye ana mwenendo wa kutenda maovu, katika maisha yake. Mtu huyo, hutenda maovu ambayo ni pamoja na uzinzi, uasherati, kudhurura hivyo mpaka anafikia hali ya kutokuwa na makao wala watoto kwa sababu ya tabia yake hiyo ya kutenda maovu, maishani mwake. Yeye hukosa watu wa kumsaidia katika maisha yake ya uzeeni mwake, kwa sababu ya kutumia muda wake kwa kutenda maovu hayo, katika maisha yake.

Mtu huyo, hufanana na yule aliyetenda matendo yake kwa kujificha vichakani mpaka akafikie umri wa uzeeni bila ya kupata mtu wa kumsaidia, kwa sababu naye hutenda maovu mpaka anafikia umri huo wa uzeeni bila ya kupata mtoto au watu wa kumsaidia, maishani mwake. Ndiyo maana watu humwambia kwamba, “utaikumbuka ya nyuma au ya vichakani.”

Methali hiyo, hufundisha watu juu ya kuwa na tabia ya kutenda mema yatakayowasaidia kuwa na familia zenye maadili mema, ili waweze kupata watoto au watu wa kuwasaidia katika siku zao za mbeleni, maishani mwao.

1Wakorintho 15:33.

1Wakorintho 3:16-17.

Zaburi 127:3.

1Wakorintho 6:19-20.

maasai-4521843_1280

ENGLISH: YOU WILL REMEMBER THOSE OF THE BACK OR BUSHES.

The origin of this proverb refers to a person who used to go to the bushes several times in his life. He hid in those bushes because of doing something which he did not want his companions to recognize. He carried on doing so until he exhausted his strength of working without getting anyone who can support him in the future. That is why people told him that, “you will remember those of the back or bushes.”

This proverb is equaled to a man who has a tendency of committing wicked actions in his life. This person commits immoral deeds such as adultery, fornication, and causing harm to others until he reaches a state of having no home or children because of his habit of committing those evil actions in his life. He lacks people who can support him in his old age, because of spending his time by committing those wicked actions in his life.

This person resembles the one who did his actions by hiding in the bushes until he reached old age without having anyone who can support him, because he also does wicked actions until he reaches that old age without having a child or people to aid him in his life. That is why people say to him that, “You will remember those of the back or bushes.”

This proverb teaches people about having a decent custom that will aid them in getting families which have decent morals, so that they can find children or people who can aid them in their future days in lives.

1 Corinthians 15:33.

1 Corinthians 3:16-17.

Psalm 127:3.

1 Corinthians 6:19-20.