legacy

1317. NSAMBO O GWIYELELWA.

Aho kale olihoyi munhu uyo wibhaga jinhu ja bhiye bho nzila ya gwiyelelwa. Umunhu ng’wunuyo ojisolaga ijikolo ja bhiye jinijo bho gubhitila nzila ya gwiyelelwa nabho giki agujishosha kulikanza lilebhe. Aliyo lulu ulu lyagashiga ilikanza lya gujishosha ijikolo jinijo wandyaga guhindanya kunguno ojibhaga ijinhu jinijo bho nzila ya kujilanda. Hunagwene abhanhu bhagang’witana giki, “nsambo o gwiyelelwa.”

Akahayile kenako kagalenganijiyagwa kuli munhu uyo agibhaga jinhu ja bhiye bho gutumila nzila ya kuyomba mihayo ya bhulomolomo, umukikalile kakwe. Umunhu ng’wunuyo, agayombaga mihayo ya bhulomolomo mingi iyo idulile gung’wambilija ujigusola ijinhu ja bhiye jinijo kunguno ya bhusambo bhokwe bhunubho. Uweyi agidumaga na bhiye aha kaya yakwe kunguno ya gubhibhila jikolo jabho bho gutumila guyomba mihayo ya bhulomolomo bhokwe bhunubho, umuwikaji bhokwe.

Umunhu ng’wunuyo agikolaga nuyo wibhaga jinhu ja bhiye bho nzila ya kujilanda na jabhiza jakwe, kunguno nuweyi agibhaga jinhu ja bhiye bho nzila ya kuyomba mihayo ya bhulomolomo mpaga ojisola na gujikalana, umuwikaji bhokwe. Hunagwene abhanhu bhagang’witanaga giki, “nsambo o gwiyelelwa.”

Akahahile kenako kalanga bhanhu higulya ya kuleka nhungwa ja bhusambo bho guyomba mihayo ya nhana, kugiki bhadule kujilela chiza ikaya jabho, umuwikaji bhobho bhunubho.

1 Yohana 2:16-17.

2 Timotheo 3:6.

KISWAHILI: MWIZI WA KUELEWANA.

Hapo zamani alikuweo mtu aliyeiba vitu vya wenzake kwa njia ya kuelewana. Mtu huyo, alivichukuka vitu hivyo vya wenzake kwa kutumia njia hiyo ya kuelewana kwamba atavirudisha muda fulani. Lakini muda huyo ulipofika alianza kukata kona kwa sababu aliviiba vitu hivyo kwa kutumia njia hiyo ya kuviazima. Ndiyo maana watu walimuita jina la “mwizi wa kuelewana.”

Msemo huo, hulinganishwa kwa mtu yule ambaye huiba vitu vya wenzake kwa kutumia njia ya kusema maneno ya uongo, katika maisha yake. Mtu huyo, huongea maneno ya uongo mengi yanayoweza kumsaidia kuvichukua vitu hivyo vya wenzake kwa sababu ya wizi wake huo. Yeye hukosana na wenzake kwenye familia yake kwa sababu ya kuwaibia witu vyao kwa nji hiyo ya kusema maneno ya uongo, maishani mwake.

Mtu huyo, hufanana na yule aliyeiba vitu vya wenzake kwa njia ya kuviazima mpaka anabaki navyo, kwa sababu naye huiba vitu vya wenzake kwa njia ya kusema maneno ya uongo mpaka anavichukua na kukaa navyo, maishani mwake. Ndiyo maana watu walimuita jina la “mwizi wa kuelewana.”

Msemo huo, hufundisha watu juu ya kuacha tabia ya wizi kwa kusema ukweli ili waweze kuzilea vyema familia zao, maishani mwao.

1 Yohana 2:16-17.

2 Timotheo 3:6.

africa-1676116_1280

ENGLISH: THE THIEF OF UNDERSTANDING EACH OTHER.

Once upon a time, there was a man who stole his friends’ possessions by mutual promise. This man took those belongings from his friends by mutual bargain that he would return them at a certain time. But when such time came, he started to make excuses because he stole those possessions by borrowing them. That is why people called him “thief of understanding each other.”

This saying is paralleled to a man who steals belongings of his friends by speaking lies in his life. Such man speaks many lies that can help him to take possessions of his friends because of his theft. He quarrels with his friends in his family because of stealing their belongings by speaking lies in his life.

This man resembles the one who stole belongings of his friends by borrowing them until he keeps them, because he also steals possessions of his friends by speaking lies until he takes them and keeps them as his own in his life. That is why people called him “thief of understanding each other.”

This saying teaches people to abandon habit of stealing possessions of people by speaking the truth so that they can better nurture their families in their lives.

1 John 2:16-17.

2 Timothy 3:6.

 

1315. UNG’WENUYO ALINAKO AKALUB’OLA.

Imbuki ya kahayile kenako ilolile nzuki iyo igikalaga na kalub’ola. Akalub’ola kenako kabhile guti ka lifa ako inzuki yiniyo ikagatumilaka guluma bho kukachimike na kukaleka mumili uyo yagulumaga. Akoyi kagasagaga haho mili go ng’wa munhu uyo yanumaga inzuki yiniyo, mpaga bhakadubule. Hunagwene abhanhu bhagayombaga giki, “ung’wunuyo alinako akalub’ola.”

Akahayile kenako kagalenganijiyagwa kuli munhu uyo akashokelaga gwita mihayo ya bhubhi, iyo oitaga aho olina nhungwa ja bhubhi, umukikalile kakwe. Umunhu ng’wunuyo, agamanaga ushokela ugwita mihayo ya iyabhubhi guti gudukila bhanhu, na gubhikobya bho guchola gwikenya, kunguno ya gugawiya lilange lya gwikala bho bhutogwa na bhiye, umuwikaji bhokwe bhunubho. Uweyi agikalaga bhung’wene aha kaya yakwe kunguno ya gushokela gwita mihayo ya bhubhi yiniyo, umukikale kakwe.

Umunhu ng’wunuyo, agikolaga na kalub’ola kanziki iyo iganuma munhu nhebhe, kunguno nuweyi alina kalub’ola kagwita mihayo ya bhubhi iyo oitaga ikale, umuwikaji bhokwe. Hunagwene abhanhu bhagang’wilaga giki, “ung’wenuyo alinako akalub’ola.”

Akahayile kenako kalanga bhanhu higulya ya guleka nhungwa ja bhubhi bho gubhiza na bhutogwa kubhichabho, kugiki bhadule gwiyambilija chiza ugujibheje ikaya jabho, umuwikaji bhobho.

Luka 17:12-14.

Mathayo 8:6.

Luka 4:40.

Matendo ya mitume 5:15-16.

Matendo ya mitume 19:12.

KISWAHILI: HUYO ANAKO KAMWIBA.

Chanzo cha msemo huo huangalia nyuki ambaye ana kamwiba akatumiako wakati wa kuuma. Kamwiba hako hufanana na kamwiba ka nyuki ambako hukaacha kwenye mwili wa yule aliyemuuma. Kenyewe hubakia kwenye mwili huo aliouuma yule nyuki mpaka wakang’oe. Nidyo maana watu husema kwamba, “huyo anako kamwiba.”

Msemo huo hulinganishwa kwa yule ambaye huishi kwa kutenda maovu aliyatenda zamani katika maisha yake. Mtu huyo, huyarudia maovu  hayo aliyotenda, kwa kutukana watu na kuwachokoza kwa lengo la kutaka kupigana kwa sababu ya kukosa malezi ya kuishi na watu kwa upendo, maishani mwake. Yeye hubaki peke yake kwenye familia yake kwa sababu ya kukosa malezi hayo mema ya kuishi na watu kwa upendo, katika maisha yake.

Mtu huyo, hufanana na kale kwa mwiba ka nyuki aliyemuuma mtu fulani, kwa sababu naye ana kamwiba ka kutenda maovu aliyoyatenda zamani, maishani mwake. Ndiyo maana watu humwambia kwamba, “huyo anako kamwiba.”

Msemo huo, hufundisha watu juu ya kuacha tabia ya kutenda maovu kwa kuishi na watu kwa upendo, ili waweze kusaidiana katika kuziendeleza vyema, familia zao, maishani mwao.

Luka 17:12-14.

Mathayo 8:6.

Luka 4:40.

Matendo ya mitume 5:15-16.

Matendo ya mitume 19:12.

animal-2612075__480

ENGLISH: THAT ONE HAS A STINGER.

The origin of this saying looks at a bee that has a stinger which it uses when stinging. This stinger is a bee stain that it leaves in the body of the one whom it stung it. It remains in the body that the bee stung until it is removed. That is why people say that, “that one has a stinger.”

This saying is matched to someone who lives by committing evil deeds which he committed in the past in his life. This person repeats evil deeds which he committed, by insulting people and provoking them with an aim of fighting because of lacking upbringing which can help him to peacefully live with people in his life. He remains alone in his family because of lacking such sound upbringing for living well with people in his life.

This person is similar to the bee stinger that stung someone, because he also has a stinger of doing evil deeds which he committed in his past life. That is why people say about him that, “that one has a stinger.”

This saying teaches people about forsaking habit of doing evil deeds by living peacefully with people in their lives, so that they can help each other in developing their families.

Luke 17:12-14.

Matthew 8:6.

Luke 4:40.

Acts 5:15-16.

Acts 19:12.

1314. GULWA NA NSAJI GUKWIJA MASALA.

Unsaji ali munhu uyo alina masala magehu umukikalile kakwe. Olihoyi munhu uyo agikenya na nsaji kunguno oliadandebhile umo gali amasala gakwe. Umunhu ng’wunuyo agiganika chiza mpaka unhebha kunguno ya agagakwija amasala. Hunagwene abhanhu bhagayomba giki, “gulwa na nsaji gukwija masala.”

Akahayile kenako kagalenganijiyagwa kuli munhu uyo agagatumilaga chiza amasala gakwe mpaga otumama nimo ndamu, umukikalile kakwe. Umunhu ng’wunuyo, agiganikaga chiza ulu aliitumama imilimo yakwe imidamu yiniyo mpaga uimala kunguno ya witegeleja bhokwe bhunubho umuwikaji bhokwe. Uweyi agapandikaga solomo nhale aha kaya yakwe kunguno ya gugatumamila chiza amasala gakwe bho gutumama milimo midimu mpaga oimala chiza, umubhutumami bhokwe bhunubho.

Umunhu ng’wunuyo agikolaga nuyo agikenya na nsaji ukwija amasala mpaga unhebha, kunguno nuweyi agagatumamilaga amasala gakwe bho gutumama milimo midamu mpaga oimala chiza, umuwikaji bhokwe bhunubho. Hunagwene agayombaga giki, “gulwa na nsaji gukwija masala.”

Akahayile kenako kalanga bhanhu higulya ya gubhiza na witegeleja bho gutumila masala mingi ayo gadulile gubhambilija ugutumama mpaka bhuimala chiza imilimo yabho, kugiki bhadule gupandika matwajo mingi, umuwikaji bhobho bhunubho.

Matendo ya mitume 26:18.

1Petro 5:8-9a.

KISWAHILI: KUPAMBANA NA KICHAA KUWA NA AKILI NYINGI.

Kichaa ni mtu mweye akili pungufu katika maisha yake. Alikuwepo mtu aliyegombana na kichaa kwa sababu alikuwa hajazifahamu zilivyo akili zake. Mtu huyo alifikiri vizuri mpaka akamshinda kwa sababu ya kuwa na akili nyingi kuliko zake. Ndiyo maana watu walisema kwamba, “kupambana na kichaa kuwa na akili nyingi.”

Msemo huo, hulinganishwa kwa mtu yule ambaye huzitumia vizuri akili zake mpaga anaweza kufanya kazi ngumu, katika maisha yake. Mtu huyo, huyatekeleza majukumu yake yakiwemo yale ya kufanya kazi ngumu kwa kufikiri vizuri mpaka anayamaliza kwa sababu ya umakini wake huo wa kuitumia vizuri akili yake, maishani mwake. Yeye hupata faida kubwa sana katika familia yake hiyo kwa sababu ya umakini wake huo wa kuzitumia vizuri akili zake, katika utekelezaji wa majukumu yake hao, maishani mwake.

Mtu huyo, hufanana na yule aliyemzidi akili yule kichaa aliyegombana naye mpaka akamshinda, kwa sababu naye huyatekeleza majukumu yake hayo magumu kwa kuzitumia vizuri akili zake, maishani mwake. Ndiyo maana husema kwamba, “kupambana na kichaa kuwa na akili nyingi.”

Msemo huo hufundisha watu juu ya kuwa na umakini wa kuyatekeleza majukumu yao kwa kuzitumia vizuri akili zao, ili waweze kupata mafanikio mengi katika maisha yao.

Matendo ya mitume 26:18.

1Petro 5:8-9a.

children-1822701_1280

ENGLISH: TO FIGHT A MADNESS IS TO HAVE A LOT OF INTELLIGENCE.

A madness is a person who is mentally retarded in life. There was a person who fought with a madman because he did not know that such such has mental illness his mind. Such person thought well until he defeated him because he was more intelligent than him. That is why people said that, “to fight a madness is to have a lot of intelligence.”

This saying is related to a person who uses his mind well to the point of managing to do tough tasks in his life. Such person carries out his duties, including those of doing tough tasks, by thinking well until he completes them because of his focus on using his awareness well in life. He gains a lot of benefits in his family because of his effort of using his cognizance well in fulfilling his duties in life.

This person resembles the one who overcame such madman whom fought with until he defeated him, because he also carries out his hard tasks by using his awareness well in life. That is why people say that, “to fight a madness is to have a lot of intelligence.”

This saying imparts in people an idea of being attentive enough to carry out their duties by using well their intelligence, so that they can achieve great success in their lives.

Acts 26:18.

1Peter 5:8-9a.

1311. BHUDEJI B’O B’UBYALANWA.

Imbuki ya kahayile kenako ihoyelile ng’wana o Ntemi uyo aginhiwa ubhutemi bhunubho aho ozumalika untemi. Olihoyi munhu uyo oli mjibyalile ja mu b’utemi. Umunhu ng’wunuyo wilangaga nhungwa ja wiza kunguno oli amanile igiki adulile gwinhiwa bhutemi kwikanza lyoselyose. Uweyi agab’upandika ubhutemi bhunubho aho ozumalika untemi ng’wunuyo. Hunagwene abhanhu bhagayomba giki, “bhudeji b’o b’ubyalanwa.”

Akahayile kenako kagalenganijiyagwa kuli munhu uyo agilangaga nhungwa jawiza ijo jidulile gung’wambilija ugubhatongela chiza abhanhu, umukikalile kakwe. Umunhu ng’wunuyo, agalikalanaga ililange lya bha byaji bhakwe bho gubhambilija chiza abhanhu abho agikalaga nabho kunguno ya nhungwa jakwe ijawiza jinijo, umuwikaji bhokwe. Uweyi agabhatongelaga chiza abhanhu bha muchalo jakwe kunguno ya nhungwa jakwe ijawiza jinijo, umuwikaji bhokwe bhunubho.

Umunhu ng’unuyo agikolaga nu ng’wana o Ntemi uyo wilangaga nhungwa ja wiza mpaga winhiwa bhutemi oho uzumalile ntemi o kwene, kunguno nuweyi agalikalanaga ililange lya bhabyaji bhakwe mpaga obhatongela chiza abhanhu bha muchalo jakwe, umuwikaji bhokwe bhunubho. Hunagwene abhanhu bhagang’wilaga giki alina “bhudeji b’o b’ubyalanwa.”

Akahayile kenako kalanga bhanhu higulya ya gubhiza na witegeleja bho gujikalana inhungwa jawiza ijo bhagalangagwa na bhatale bhabho kugiki bhadule gubhatongela chiza abhanhu bhabho, umubhutumami bhobho.

Mathayo 3:13-17.

Yohana 1:33.

Matendo ya mitume 1:1.

KISWAHILI: UFALME WA KUZAWALIWA NAO.

Chanzo cha msemo huo, huongelea juu ya mwana wa Mfalme aliyerithishwa ufalme huo baada ya mfalme huyo kufariki. Alikuwepo mtu aliyezaliwa katika ukoo wa kifalme. Mtu huyo alijifunza tabia njema kwa kuishi na watu vizuri kwa sababu alifahamu kuwa, anaweza kupewa ufalme wakati wowote. Yeye alirithishwa ufalme huo baada ya kufariki mfalme huyo. Ndiyo maana watu walisema kwamba ana, “ufalme wa kuzaliwa nao.”

Msemo huo hulinganishwa kwa mtu yule ambaye hujifunza tabia njema ambayo yaweza kumsaidia katika kuwaongoza vizuri watu wake, katika maisha yake. Mtu huyo, huyaishi malezi mema ya wazazi wake kwa kuwasaidia watu anaoishi nao, kwa sababu ya tabia yake hiyo njema, maishani mwake. Yeye huwaongoza vizuri watu wa kijiji chake kwa sababu ya tabia yake hiyo njema, maishani mwake.

Mtu huyo, hufanana na yule mwana wa mfalme aliyejifunza tabia njema mpaka akapewa ufalme alipofariki yule mfalme, kwa sababu naye huyaishi malezi mema ya wazazi wake mpaka anaweza kuwaongoza vizuri watu wa kijiji chake, maishani mwake. Ndiyo maana watu humwambia kwamba ana, “ufalme wa kuzaliwa nao.”

Msemo huo, hufundisha watu juu ya kuwa na umakini wa kuyaishi malezi mema wanayofundishwa na wakubwa wao, ili waweze kuwaongoza vizuri watu wao, katika utumishi wao.

Mathayo 3:13-17.

Yohana 1:33.

Matendo ya mitume 1:1.

south-africa-742507_1280

ENGLISH: KINGSHIP BY BIRTH.

The derivation of this saying is from a son of the king who inherited the kingdom after the king passed away. There was a man who was born into a royal family. Such man learned good manners by living well with people because he knew that he could inherit such kingdom at any time. He inherited the kingdom after passing away of the king. That is why people said that he had, “a kingship by birth.”

This saying is related to a person who learns good manners that can help him in leading his people in his life. Such person puts into place good upbringings of his parents by helping people whom he stay with, because of his good manners in his life. He soundly leads people in his village because of his good manners in his lifespan.

This person resembles the son of the king who learned good manners until he was given the kingdom when the king joined the ancestors, because he also puts into practice the good upbringings of his parents until he managed to healthily lead people of his village in his lifetime. That is why people tell him that he has, “a kingship by birth.”

This saying teaches people about being so careful enough to apply the good upbringings which they are taught by their elders, so that they can lead their people well in their service.

Matthew 3:13-17.

John 1:33.

Acts 1:1.

1310. AHA WIGWA UB’UKA NZULE.

Ugub’uka nzule mumho gukolwa mpaga gub’itilija. Olihoyi munhu uyo agigwa mhayo nhebhe ukolwa ub’itilija mpaga uhaya gutulana kunguno goligonminya noyi umunholo yakwe. Uweyi agagayiwa ulubhangu kunguno imihayo igaminyanaga noyi kutinda iyagubhona. Hunagwene abhanhu bhagayomba giki, “aha wigwa ub’uka nzule.”

Akahayile kenako kagalenganijiyagwa kuli munhu uyo adinabhushiganu ubho guikengela chiza imihayo iyo agawigwaga umukikalile kakwe. Umunhu ng’wunuyo, agigwagwa mhayo gosegose ugudilila bho nduhu nulu gugwitila bhukengeji ubho gung’wambilija ugugudebha ulugiki guli go nhana nulu go bhulongo kunguno ya guleka gwitegeleja chiza, umumiganiko gakwe. Uweyi agadumaga uguilela chiza ikaya yakwe kunguno ya guleka guitegeleja chiza imihayo iyo agaigwaga umuwikaji bhokwe bhunubho.

Umunhu ng’wunuyo, agikolaga nuyo agigwa mhayo upekelana mpaga uhaya kutulana kunguno nuweyi agigwaga mihayo uidilila mpaga yamaja ulubhango, umuwikaji bhokwe bhunubho. Hunagwene abhanhu bhagang’wilaga giki, “aha wiga ub’uka nzule.”

Akahayile kenako kalanga bhanhu higulya ya gubhiza na witegeleja bho guitila bhukengeji imihayo iyo bhagayigwaga gukigi bhadule guidebha iyo idulile gubhambilija ugujilela chiza ikaya jabho, umuwikaji bhobho.

Kutoka 32:10.

2 Wafalme 23:26.

KISWAHILI: ALIPOSIKIA ALIPATA HASIRA KALI.

Hasira hali ni hali ya mtu kukasilika mpaga kupitiliza. Alikuwepo mtu aliyesikia neno fulani akakasilika mpaga akapitiliza hali iliyompelekea kutaka kupigana kwa sababu ya kuumizwa na neno hilo moyoni mwake. Yeye alikosa raha kwa sababu maneno huumiza zaidi kuliko yale ya kuona. Ndiyo maana watu walisema kwamba, “aliposikia alipata hasira kali.”

Msemo huo hulinganishwa kwa mtu yule ambaye hana ukomavu wa kuyafanyia utafiti maneno ayasikiayo katika maisha yake.  Mtu huyo, huumizwa na neno analolisikia bila hata kulifanyia utafiti wa kumsaidia kuelewa kama nila kweli au la uongo, kwa sababu ya kukosa umakini wa kuyafikiria vizuri maneno hayo, akilini mwake. Yeye hushindwa kuilea vizuri familia yake kwa sababu ya kukosa umakini huo ya kuyafikiria vizuri maneno ayasikiayo, maishani mwake.

Mtu huyo, hufanana na yule aliyekasilika mpaka akataka kupigana aliposikia neno fulani, kwa sababu naye hukosa raha anaposikia neno fulani bila hata kulifanyia utafiti wa kumsaidia kulielewa vizuri, maishani mwake. Ndiyo maana watu humwambia kwamba, “aliposikia alipata hasira kali.”

Msemo huo hufundisha watu juu ya kuwa na umakini wa kuyafanyia utafiti wa kutosha kuyaelewa maneno wayasikiayo, ili waweze kuyaelewa yale wawezayo kuwasaidia katika kuzilea vizuri familia zao, maishani mwao.

Kutoka 32:10.

2 Wafalme 23:26.

angry-5453674_1280

angry-boy-3740043_1280

fashion-4725391_1280

ENGLISH: WHEN HE HEARD HE GOT STRONG ANGER.

An intense anger is a state of a person’s feeling of fury that goes beyond a point of resentment. There was a man who heard a certain word which caused him to feel a strong anger that led him to start fighting because his heart was by that word. He became unhappy in his life. That is why people said that, “when he heard he got strong anger.”

This saying is matched to a person who does not have maturity of researching words which he hears in his life. Such person is hurt by words which he hears without even researching them enough to help him understand whether they have truth or liars, because of not being attentive enough to think well about those words, in his mind. He fails to raise his family well because of not having such attention in his life.

This person is similar to the one who became angry to the point of starting to fight when he heard a certain word, because he also feels uncomfortable when he hears a certain word without even researching it enough to understand it well, in his life. That is why people say to him that, “When he heard he got strong anger.”

This saying imparts in people a clue of being careful to enough study words which they hear, so that they can help them in nurturing their families in their lives.

Exodus 32:10.

2 Kings 23:26.