legacy

1432. OCHING’WA DUSHI HANGONGO.

Aho kale bhalihoyi bhanhu abho bhagandya gusola si ya bhichabho bho nguzu. Abhananzengo bhagandya bhulugu bho gubhalasa masonga abhanishi bhabho bhenabho mpaga bhubhahebha kunguno ya bhumani bhobho ubho gubhalasa masonga. Abho bhahewa abhanishi bhenabho bhagayuja umo ugalaswa isonga hangongo. Hunagwene bhagahaya giki, “oching’wa dushi hangongo.”

Akahayile kenako kagalenganijiyagwa kuli munhu uyo agasolaga jikolo ja bhanhu bho nguzu, umukikalile kakwe. Umunhu ng’wunuyo, agasolaga jikolo ja bhiye bho nguvu mpaka wikenya nabhiniki jikolo kunguno ya bhuvamiji bhokwe ubho gutumila nguzu bhunubho, umuwikaji bhokwe. Uweyi agatulagwa mpaga uminyiwa na bhinikili jikolo kunguno ya gusola jikolo jabho bho gutumila nguzu chiniko, umukikalile kakwe kenako.

Umunhu ng’wunuyo, agikolaga nabho bhagasola si ya bhichabho bho gutumila nguzu mpaka bhulaswa masongwa, kunguno nuweyi agasolaga jikolo ja bhiye bho nguzu, mpaga aminyiwa na bhinikili jikolo, umuwikaji bhokwe bhunubho. Hunagwene abhanhu bhagang’wilaga giki, “oching’wa dushi hangango.”

Akahayile kenako kalanga bhanhu higulya ya kuleka kusola sabho ja bhichacho bho gwigulambilaja gutumama milimo yabho chiza, kugiki bhadule gujibheja chiza ikaya jabho, umuwikaji bhobho bhunubho.

Isaya 22:3.

Zaburi 78:9.

KISWAHILI: AMECHOMWA MSHALE MGONGONI.

Hapo zamani walikuwepo watu waliochukua ardhi ya wenzao kwa nguvu. Wananchi hao walioanza vita kwa kuwapiga mishale hao maadui waliovamia ardhi yao mpaka wakawashinda kwa sababu ya ufundi wao wa kutumia mishale. Wao waliwashinda maadui hao kwa kuwapiga mshale mgongoni kila mmoja. Ndiyo maana walisema kwamba, “amechomwa mshale mgongoni.”

Msemo huo, hulinganishwa kwa mtu yule ambaye huchukua vitu wa watu kwa mguvu, katika maisha yake. Mtu huyo, huvamia na kuchukua vitu vya watu kwa kutumia nguvu hivyo, mpaka anagombana na wenye mali hizo, kwa sababu ya uvamizi wake huo wa kutumia nguvu, maishani mwake. Yeye upigwa na wenye mali mpaka anaumizwa kwa sababu ya tabia yake hiyo kuchukua mali za watu kwa nguvu, katika maisha yake hayo.

Mtu huyo, hufanana na wale waliochukuwa ardhi ya wenzao kwa kutumia nguvu mpaka wakapigwa mishale, kwa sababu naye hukuchua vitu vya watu kwa nguvu mpaka anaumizwa na wenye mali, maishani mwake. Ndiyo maana watu humwambia kwamba, “amechomwa mshale mgongoni.”

Msemo huo, hufundisha watu juu ya kuachana na tabia ya kuchukua mali za wenzao kwa kujibidisha kufanya kazi zao vizuri, ili waweze kuziendeleza vizuri familia zao, maishani mwao.

Isaya 22:3.

Zaburi 78:9.

ENGLISH: EVEN THOUGH YOU GROW LONG HAIR.

Once upon a time there was a man who grew long hair on his head. Such man despised an old man and a woman who had lived for many years because of his long hairs. He lacked an attention to understand that elders had seen many decent and evil deeds in their lives. That is why the elders told him that, “even though you grow long hair.”

This saying is equaled to a person who despises his elders in his life. This person thinks that he knows more by not listening to his elders when they give him good upbringing to live well with people, because of his contempt, in his life. He lacks an upbringing to take decent care of his family because of his contempt for his elders, in his life.

This person is like the one who grew long hair and despised his elders, because he also despises his elders for not listening to their upbringing, in his life. That is why his elders tell him that, “even though you grow long hair.”

This saying imparts in people an idea of stopping to despise their elders by listening carefully to their upbringing, so that they can raise their families well, throughout their lives.

Joshua Bin Sira 8:6.

1430. NGOYEJI OB’IYE.

Oho kale olihoyi munhu uyo odimaga mitugo gwingila diyu mpaka mhindi. Undimi ng’wunuyo, ajidimiga imitugo ijo janhililaga bho nduhu ugulwa uweyi mpaga ogwisha nzala. Hunagwene abhanhu bhagang’witanaga giki, “ngoyeji ob’iye.”

Akahayile kenako kagalenganijiyagwa kuli munhu uyo agabhagoyelaga chiza abhanhu bhakwe umukikalile kakwe. Umunhu ng’wunuyo, agigulambijaga gubhagoyela abhanhu bhakwe bho gubhalela na kubhachobheja jiliwa chiza kunguno ya bhutungilija bhokwe bhunubho. Uweyi agayibhejaga chiza ikaya yakwe yiniyo kunguno ya bhutungilija bhokwe bhunubho ubho gubhagoyela chiza abhanhu bhakwe bhenabho, umukikalile kakwe kenako.

Umunhu ng’wunuyo agikolaga nu ndimi o mitugo uyo janhililaga bho nduhu ugulya uweyi mpaga ogwisha nzala, kunguno nuweyi agabhagoyelaga chiza abhanhu bhakwe bho gubhalela chiza, umuwikaji bhokwe bhunubho. Hunagwene abhanhu bhagang’witanaga giki, “ngoyeji ob’iye.”

Akahayile kenako kalanga bhanhu higulya ya gubhiza na bhutungilija bho gubhagoyelaga chiza abhanhu bhabho, kugiki bhadule gujibheja chiza ikaya jabho, umuwikaji bhobho bhunubho.

Yohana 10:11-18.

Ufunuo 7:17.

KISWAHILI: MTUNZAJI WA WENZAKE.

Hapo zamani alikiwepo mtu aliyekuwa akichunga mfugo kuanzia asubuhi mpaka jioni. Mchungaji huyo aliwachunga mifugo waliokuwa wakila bila ya yeye kula akishinda njaa kutwa nzima.  Ndiyo maana watu humuita jina la “mtunzaji wa wenzake.”

Msemo huo hulinganishwa kwa mtu yule ambaye huwajali vizuri watu wake katika maisha yake. Mtu huyo, hujibidisha kuwajali watu wake hao kwa kuwalea na kuwatafutia chakula vizuri kwa sababu ya uaminifu wake huo maishani mwake. Yeye huwalea vizuri watu wa kwenye familia yake hiyo kwa sababu ya uaminifu wake huo wa kuwajali vizuri katika maisha yake hayo.

Mtu huyo hufanana na yule mchungaji wa mifugo aliyewalisha mifugo kutwa nzima bila ya yeye kula, kwa sababu naye huwajali vizuri watu wake hao kwa kuwalea vizuri, maishani mwake. Ndiyo maana watu humuita jina la “mtunzaji wa wenzake.”

Msemo huo hufundisha watu juu ya kuwa na uaminifu wa kuwajali vizuri watu wao, ili waweze kuziendeleza vyema familia zao, maishani mwao.

Yohana 10:11-18.

Ufunuo 7:17.

ENGLISH: KEEPERS OF ASSOCIATES.

Once upon a time, there was a man who grazed livestock from morning to evening. The shepherd grazed the livestock that were eating without him eating, overcoming hunger all day long. That is why people call him the “keeper of his associates.”

This saying is equaled to a person who takes good care of his people in his life. This person, strives to take care of his people by raising them and finding decent food for them because of his loyalty in his life. He takes respectable care of the people in his family because of his loyalty in taking upright care of them in his life.

This person resembles the shepherd who grazed the livestock all day long without him eating, because he also takes virtuous care of his people by raising them well, in his life. That is why people call him the “keeper of his associates.”

This saying teaches people about having loyalty of taking respectable care of their people, so that they can develop their family lives.

John 10:11-18.

Revelation 7:17.

1429. NAGWISANIJE.

Olihoyi munhu uyo wikalaga muchalo jilibhe. Umunhu ng’wunuyo aling’wikobya aliyo ni nguzu oliatinajo. Uweyi oliatogilwe yombo ya gwikenya na bhanhu kunguno ya olihoyi uyo oliang’wisanije igiki agubhumala duhu ubhulugu bhunubho. Hunagwene ong’wilaga giki, “nagwisanije.”

Akahayile kenako kagalenganijiyagwa kuli munhu uyo agitaga mihayo ya bhubhi bho gung’wisanya ntale okwe umukikalile kakwe. Umunhu ng’wunuyo, agabhadalahaga abhanhu bho gubhitila mihayo ya sagala kunguno ya bhudoshi bho gung’wisanya ntale okwe uyo agang’wambilija ugugamala amamihayo gakwe genayo, umuwikaji bhokwe. Uweyi agadumaga uguyilela chiza ikaya yakwe kunguno ya gwita mihayo ya bhubhi yiniyo umukikalile kakwe kenako.

Umunhu ng’wunuyo agikolaga nuyo obhikobyaga abhiye na gwikenya nabho bho gung’wisanya uyo ubhumalaga ubhulugu bhokwe bhunubho, kunguno nuwei agitata mihayo ya bhubhi bho gung’wisanya ntale okwe mpaka oduma uguyilela chiza ikaya yakwe yiniyo, umuwikaji bhokwe bhunubho. Hunagwene agang’wilaga giki, “nagwisanije.”

Akahayile kenako kalanga bhanhu higulya ya kuleka gung’wisanya munhu mpaga bhabhitila mihayo ya bhubhi abhichabho, kugiki bhadule gujilela chiza ikaya jabho, umuwikaji bhobho bhunubho.

Matendo ya mitume 24:5.

1Petro 3:8-12.

1Wathesalonike 5:15.

KISWAHILI: NAKUTEGEMEA.

Alikuwepo mtu aliyeishi kwenye kijiji fulani. Mtu huyo alikuwa mchokozi wakati hakuwa na nguvu. Yeye alipenda kelele ya kugombana na watu kwa sababu alikuwepo yule aliyemtegemea kwamba ataimaliza tu hiyo vita. Ndiyo maana alimwambia kwamba, “nakutegemea.”

Msemo huo hulinganishwa kwa mtu yule ambaye huwatendea maovu watu kwa kumtegemea mkubwa wake katika maisha yake. Mtu huyo huwadhalau watu kwa kuwatendea mambo ya hovyo kwa sababu ya majivuno yake hayo ya kumtegemea mkubwa wake ambaye humsaidia katika kuyamaliza matatizo hayo, maishani mwake. Yeye hushindwa kuilea vyema familia hiyo yake kwa sababu ya kutenda maovu hayo, katika maisha yake hayo.

Mtu huyo, hufanana na yule aliyewachokoza watu mpaka akagombana nao kwa kumtegemea yule aliyevimaliza vita vyakwe, kwa sababu naye huwatemdea maovu watu kwa kumtegemea mkuwa wake mpaka anashindwa kuilea vyema familia yake, maishani mwake. Ndiyo maana humwambia kwamba, “nakutegemea.”

Msemo huo hufundisha watu juu ya kuacha kumtegemea mtu mwenye uwezo mpaka wanawatendea maovu wenzao, ili waweze kuzilea vyema familia zao, maishani mwao.

Matendo ya mitume 24:5.

1Petro 3:8-12.

1Wathesalonike 5:15.

ENGLISH: I DEPEND ON YOU.

There was a man who lived in a certain village. Such man was a bully while he was powerless. He liked making noise by arguing with people because there was the one whom he relied on enough to end any war. That is why he told him that, “I depend on you.”

This saying is related to a person who does evils to people by relying on his elder brother in his life. This person humiliates people by doing evil things to them because of his arrogance of relying on his elder brother who helps him in solving those problems, in his life. He fails to raise his family because of committing those evil deeds, in his life.

This person is similar to the one who provoked people until he quarreled with them because of relying on the one who ended his wars, because he also does evils to people by relying on his elder brother until he fails to nicely raise his family, in his life. That is why he tells him that, “I depend on you.”

This adage imparts in people an idea of stopping to rely on someone in power to the point of doing evils to their fellow human beings, so that they can better raise their families, in their lives.

Acts 24:5.

1 Peter 3:8-12.

1 Thessalonians 5:15.

1428. LYAB’ALEMELILE UGULIB’EJA.

Aho kale bhalihoyi bhanhu abho bhihayaga bhamani bha guzenga numba. Abhanhu bhenabho bhaginhiwa numba ya guzenga muchalo jilebe. Aho bhamala uguizenga inumba yiniyo igab’iza ijile lwande guti giki ili haya gugwa kunguno ya guyizenga shib’i. Hunagwene abhanhu bhagayomba giki, “lyab’alemelile ugulib’eja.”

Akahayile kenako kagalenganijiyagwa kuli munhu uyo agituulaga bhubhani bho gutumama nimo uyo agadagumanile chiza, umukikalile kakwe. Umunhu ng’wunuyo, agandyaga gutumama milimo bho nduhu ugwikala ni jitumamililo jayo mpaka oduma uguyimala chiza kunguno ya gwigimba bhumani bho sagala umuwikaji bhokwe bhunubho. Uweyi agaikenagulaga salaga imilimo yakwe kunguno ya gwituula bhumani bho guitumama aliyo adayideb’ile chiza umukikalile kakwe kenako.

Umunhu ng’wunuyo agikolaga nabho bhihayaga giki bhamani bha guzenga numba mpaka nose bhuyikenagula inumba iyo bagayizenga, kunguno nuweyi agituulaga bhumani bho gutumama milimo iyo adayidebhile chiza mpaga uyikenagula sagala, umuwikaji bhokwe bhunubho. Hunagwene abhanhu bhagang’wilaga giki, “lyab’alemelile ugulib’eja.”

Akahayile kenako kalanga bhanhu higulya ya gubhiza na witegeleja bho guleka gwituula bhumani bho milimo iyo bhadayidebhile chiza, kugiki bhadule guitumama chiza imilimo yabho yiniyo, umuwikaji bhobho bhunubho.

Mwanzo 11:1-9.

Mathayo 21:42.

Matendo 4:11.

1 Petro 2:7-10.

KISWAHILI: LIMEWASHINDA KULITENGENEZA.

Hapo zamani walikuwepo watu waliojidai kuwa wanafahamu kujenga nyumba. Watu hao walipewa nyumba ya kujenga kwenye kijiji fulani. Walipomaliza kuijenga nyumba hiyo ilienda upande kama inataka kuanguka kwa sababu ya kujengwa vibaya. Ndiyo maana watu walisema kwamba, “limewashinda kulitengeneza.”

Msemo huo hulinganishwa kwa mtu yule ambaye hujitia kujua kufanya kazi ambayo haielewi vizuri katika maisha yake. Mtu huyo, huanza kufanya kazi bila ya kuwa na vitendea kazi vinavyotakiwa mpaka anashindwa kuimaliza vizuri kazi hiyo, kwa sababu ya kujifanya mjuaji kwenye vitu asivyovihamu vizuri, maishani mwake. Yeye huziharibu hovyo kazi zake kwa sababu ya kutia kujua kwake kwa kufanya kazi asizozielewa vizuri, katika maisha yake hayo.

Mtu huyo, hufanana na wale waliojifanya wajuaji wa kujenga nyumba mpaka wakaiharibu nyumba hiyo, kwa sababu naye hujifanya mjuaji wa kufanya kazi asizozielewa vizuri mpaka anaziharibu kazi hizo, maishani mwake. Ndiyo maana watu humwambia kwamba, “limewashinda kulitengeneza.”

Msemo huo, hufundisha watu juu ya kuwa na umakini wa kuacha kujifanya wajuaji wa kufanya kazi wasizozielewa vizuri, ili waweze kuyatekeleza vizuri majukumu yao, maishani mwao.

Mwanzo 11:1-9.

Mathayo 21:42.

Matendo 4:11.

1 Petro 2:7-10.

ENGLISH: IT FAILED THEM TO BUILD IT.

In the past, there were people who claimed to know how to build a house. These people were given a house to build in a certain village. When they finished building the house, it looked as if it was about to collapse because it was poorly built. That is why people said that “it failed them to build it.”

This saying is related to a person who pretends to know how to do a job that he does not understand well in his life. This person starts working without having the required tools until he fails to finish the job well, because of pretending to be knowledgeable about things that he does not understand well, in his life. He destroys his works in such a way because of putting his knowledge into doing jobs that he does not understand well, in his life.

This person resembles to those who pretended to know how to build a house until they destroy the house, because he also pretends to be knowledgeable about doing jobs that he does not understand well until he destroys those jobs, in his life. That is why people say to him that, “it failed them to build it.”

This saying teaches people about being careful enough to stop pretending to be experts in tasks which they do not understand well, so that they can properly fulfill their responsibilities in their lives.

Genesis 11:1-9.

Matthew 21:42.

Acts 4:11.

1 Peter 2:7-10.

1427. NG’WANA WIGOBO.

Imbuki ya kahayile kenako ihoyelile ligusha lya bhanigini. Abhanigini bhenabho bhagasolaga magobo bhagibhala kungongo kunguno bhagagagemanijaga na bhana bhabho. Abhoyi bhagabhizaga guti bhibhalaga bhana ukumigongo yabho aliyo gashinaga yaya bhadibhana. Hunagwene abhanhu bhagagitanaga giki “ng’wana wigobo.”

Akahayile kenako kagalenganijiyagwa kuli munhu uyo aling’wigashi aha kaya iyo ading’wana ogubyalilwa hoyi, umuwikaji bhokwe. Umunhu ng’wunuyo agatumamaga imilimo ya hakaya yiniyo bho nduhu ubhukalalwa kunguno akomile gwinga hoyi ikanza lyoselyose aha kaya yiniyo iki adabyalilwe hoyi, umuwikaji bhokwe. Uweyi adapandikaga amatwajo amingi kunguno ya gutumama milimo yakwe hado hado osamila kungi, umukikalile kakwe.

Umunhu ng’wunuyo, agikolaga nu ng’wana wigobo uyo adionhana, kunguno nuweyi agigashaga ahadoo osamila kungi umuwikaji bhokwe. Hunagwene abhanhu bhagang’witanaga giki, “ng’wana wigobo.”

Akahayile kenako kalanga bhanhu higulya ya gwikala chiza na bhana abho bhaligashi duhu umukaya jabho, kugiki bhadule gwiyambilijaga ugujibheja chiza ikaya jabho, umuwikaji bhobho.

Yeremia 17:5.

KISWAHILI: MTOTO WA KOPO.

Chanzo cha msemo huo huongelea juu ya mchezo wa watoto. Watoto hao huchukua makopo na kuyabeba mgongoni mwao kwa sababu ya kuyafananisha na watoto wao. Wao huonekana kama wamebeba watoto kwenye migongo yao hiyo wakati siyo watoto wa ukweli. Ndiyo maana watu huyaita makopo hayo kuwa ni “mtoto wa kopo.”

Msemo huo hulinganishwa kwa mtu yule ambaye ni mkaaji wa kwenye familia ambayo hakuzaliwa hapo, katika maisha yake. Mtu huyo, hufanya kazi zake akiwa legelege kwa sababu ya kuelewa kwamba, anaweza kuondoka pale wakati wowote ule, maishani mwake. Yeye hushindwa kupata mafanikio mengi kwa sababu ya kufanya kazi bila ya kujituma sawasawa, katika maisha yake.

Mtu huyo, hufanana na yule mtoto wa kopo ambaye siyo mzaliwa wa kwenye kwenye familia anayoishi, kwa sababu naye huishi kwa kuhamahama hivyo katika maisha yake. Ndiyo maana watu humuita kuwa ni “mtoto wa kopo.”

Msemo huo, hufundisha watu juu ya kuishi vizuri na watoto wale wasiokuwa watoto wao, ili waweze kusaidiana katika kuendeleza vizuri familia zao, maishani mwao.

Yeremia 17:5.

ENGLISH: CANISTER CHILD.

The origin of the overhead saying talks about a children’s game. These children take cans and carry them on their backs because they compare them to their children. They appear as if they are carrying children on their backs when they are not real children. That is why people call these cans “canister child.”

This saying is equated to a person who is a resident of a family that he was not born there, in his life. This person does his works lazily because he understands that he can leave there at any time, in his life. He fails to achieve much success because of working without putting in the same effort in his life.

This person resembles the can child who is not born in the family where he lives in, because he also lives by moving around like that in his life. That is why people call him a “canister child.”

This saying imparts in people an idea of living well with children who are not their own, so that they can help each other in developing their family lives.

Jeremiah 17:5.