Golihoyi mongo uyo gohumaga wilali ijidiku ni chu bho nduhu ugukama. Umongo gunuyo gugahumaga pye amakanza bho nduhu ugutinika kunguno ya wingi bho minzi gago. Hunagwene abhanhu bhagayombaga giki, “nh’umo go humila wilali.”
Akahayile kenako kagalenganijiyagwa kuli munhu uyo agagudimilaga mhayo go ng’wa mulungu bhuli makanza, umukikalile kakwe. Umunhu ng’wunuyo, agagudimilaga umhayo go ng’wa Mulungu bho gugikalana chiza amalagilo gakwe na gwikala na bhanhu chiza, kunguno ya bhutungilija bhokwe bhunubho, umuwikaji bhokwe. Uweyi apandikaga mbango ja gwikala na bhuyegi aha kaya yake kunguno ya bhutungilija bhokwe bhunubho ubho gugudimila chiza umhayo go ng’wa Sebha, umuwikaji bhokwe.
Umunhu ng’wunuyo, agikolaga nu mongo uyo gugahumaga pye amakanza bho nduhu ugukama, kunguno nuweyi agasalilaga pye amakanza bho nduhu ugunoga, umuwikaji bhokwe bhunubho. Hunagwene abhanhu bhagang’wilaga giki, “nh’umo go humila wilali.”
Akahayile kenako kalanga bhanhu higulya ya gubhiza na bhutungilija bho gugadimila amalagilo ga ng’wa Mulungu bhuli makanza bho nduhu ugunoga, kugiki bhadule kupandika mbango ja gubhashisha ng’wigulu.
Mathayo 24:35.
Marko 13:31.
Luka 21:33.
KISWAHILI: MTIRIRIKO UMETIRIRIKA KIMOJA.
Ulikuwepo mto ambao ulikuwa ukitiririka kimoja wakati wote wa kiangazi na wa masika bila ya kukoma. Mto huo ulitiririka wakati wote bila ya kukatika kwa sababu ya wingi wa maji yake. Ndiyo maana watu walisema kwamba, “mtiririko umetiririka kimoja.”
Msemo huo hulinganishwa kwa mtu yule ambaye hulishikiria neno la Mungu kila wakati, katika maisha yake. Mtu huyo, hulishikilia neno la Mungu kwa kuyaishi vizuri maagizo yake na kuishi vizuri na watu, kwa sababu ya unyofu wake huo maishani mwake. Yeye hupata baraka za kuishi kwa furaha katika familia yake kwa sababu ya uaminifu wake huo wa kuliishi vyema neno la Mungu, katika maisha yake.
Mtu huyo, hufanana na ule mto uliotiririka wakati wote bila kukoma, kwa sababu naye hulishikiria neno la Mungu kila wakati bila kushoka, maishani mwake. Ndiyo maana watu walimwambia kwamba, “mtiririko umetiririka kimoja.”
Msemo huo, hufundisha watu juu ya kuwa na uaminifu wa kuyaishi maagizo ya Mungu wakati wote bila kushoka, ili waweze kupata baraka za kuwafikisha mbinguni.
Mathayo 24:35.
Marko 13:31.
Luka 21:33.
ENGLISH: THE FLOW HAS FLOWED ALL THE TIME.
There was a river that flowed continuously throughout summer and winter without ever stopping. It flowed at all times because it had an abundance of water. For this reason, people said, “The flow has flowed all the time.”
This saying is compared to a person who holds firmly to the Word of God at all times in his life. He remains faithful by following God’s instructions and living well with other people. Because of his honesty and obedience, he receives blessings and lives peacefully and happily with his family.
That person is like the river that never stops flowing. Just as the river flows continuously, he continues to live according to God’s Word without giving up. That is why people say about him, “The flow has flowed all the time.”
This saying teaches people to remain faithful to God’s commandments at all times without failing, so that they may receive blessings and inherit eternal life.
Matthew 24:35 – “Heaven and earth will pass away, but My words will never pass away.”
Mark 13:31 – “Heaven and earth will pass away, but My words will never pass away.”
Luke 21:33 – “Heaven and earth will pass away, but My words will never pass away.”


