1288. GANAYA MAHENYENGE.

Amahenyenge ili mihayo iyo itina bhunhana umugati yayo. Ulihoyi munhu uyo wikalaga muchalo jilebhe. Umunhu ng’wunuyo, oyombaga mihayo mingi noyi aliyo lulu imihayo yakwe yiniyo yali ya bhule duhu kunguno yali itiyanhana. Hunagwene abhanhu bhagayomba giki, “ganaya mahenyenge.”

Akahayile kenako kagalenganijiyagwa kuli munhu uyo agayombaga mihayo ya bhulongo umukikalile kakwe. Umunhu ng’wunuyo, akayombaga mihayo ya bhulomolomo umumahoya gakwe kunguno ya bhulongo bhokwe bhunubho umuwikaji bhokwe. Uweyi agabhalisanyaga abhanhu bha ha kaya yakwe kunguno ya guyomba mihayo ya bhulomolomo yiniyo, umumahoya gakwe genayo.

Umunhu ng’wunuyo agikolaga nuyo oyambaga mihayo iyo itina bhunhana, kunguno nuweyi agayombaga mihayo ya bhulongo umumahoya gakwe. Hunagwene abhanhu bhagayitanaga imihayo yakwe yiniyo giki, “ganaya mahenyenge.”

Akahayile kenako kalanga bhanhu higulya ya gubhiza bhanhu bha nhana bho guyomba mihayo ya nhana umumahoya gabho, kugiki bhadule gujilela chiza ikaya jabho, umuwikaji bhobho.

Kutoka 5:9.

Kutoka 20:16.

Kutoka 23:1, 7.

Mambo ya walawi 19:11-12.

Kumbukumbu la torati 19:18.

KISWAHILI: HAYA NI MANENO YA BURE.

Maneno ya bure ni maneno yasiyo na ukweli ndani yake. Alikuwepo mtu aliyeishi kwenye kijiji fulani. Mtu huyo alikuwa akiongea maneno mengi lakini maneno yake hayo yalikuwa ya bure kwa sababu hayakuwa na ukweli. Ndiyo maana watu walisema kwamba, “haya ni maneno ya bure.”

Msemo huo hulinganishwa kwa mtu yule ambaye huongea maneno ya uongo katika maisha yake. Mtu huyo, huongea maneno ya uongo katika maongezi yake kwa sababu ya uongo wake huo maishani mwake. Yeye huwagombanisha watu waliopo kwenye familia yake kwa sababu ya kuongea maneno ya uongo katika maongezi yake.

Mtu huyo, hufanana na yule aliyekuwa akiongea maneno yasiyokuwa na ukweli, kwa sababu naye huongea maneno ya uongo katika maongezi yake. Ndiyo maana watu husema kwamba, “haya ni maneno ya bure.”

Msemo huo hufundisha watu juu ya kuwa wa kweli kwa kuongea maneno ya kweli katika maongezi yao, ili waweze kuzilea vyema familia zao, maishani mwao.

Kutoka 5:9.

Kutoka 20:16.

Kutoka 23:1, 7.

Mambo ya walawi 19:11-12.

Kumbukumbu la torati 19:18.

ENGLISH: THESE ARE EMPTY WORDS.

Idle words are words that have no truth in them. There was a man who lived in a certain village. He was speaking voluminous words, but his words were useless because they had no truth. That is why people said that, “these are empty words.”

This saying is paralleled to a person who speaks made-up words in his life. Such person says deceitful words in his discourse because of his lies in life. He quarrels people who stay in his family because of saying made-up words in his communication.

This person resembles the one who used to speak words that had no truth in them, because he also speaks deceitful words in his life. That is why people say that, “these are empty words.”

This saying imparts in people a clue of being true by speaking the truth in their lives, so that they can nurture their families well in their lives.

Exodus 5:9.

Exodus 20:16.

Exodus 23:1, 7.

Leviticus 19:11-12.

Deuteronomy 19:18.

women-5935801__480

woman-6672896_1280

man-7351001_1280

Leave a comment

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.