Imbuki ya kahayile kenako ihoyelile higulya ya mbogo. Imbogo yiniyo ili ndimu ya mumapolu iyo iliya makanji noyi kunguno ya bhukali bhoyo na Makala gayo umukikalile kayo. Iyoyi ilijidamu ugwikala mubhanhu kunguno ya bhukali bhoyo bhunubho umuwikaji bhobho. Hunagwene ulu bhanhu bhuibhona ha kaya ya ng’wa munhu bhagabhujaga umunhu ng’wunuyo giki, “wina mbogo bhuli ubhebhe?”
Akahayile kenako kagalenganijiyagwa kuli nkima uyo atolilwe na ngosha nkali umukikalile kakwe. Unkima ng’wunuyo, agikalaga ukalihilwa sagala nu nkosha ng’wunuyo, kunguno ya bhukali bho sagala ubho alinabho ungosha ng’wunuyo. Uweyi akikalaga asunduhalile noyi aha kaya yakwe yiniyo kunguno ya bhukali bho ngosha ng’wunuyo, umuwikaji bhobho.
Ungosha ng’wunuyo, agikolaga ni mbogo iyo ili ndimu nhali, kunguno nuweyi agikalaga umkalihila sagala unkima okwe ng’wunuyo, umuwikaji bhobho. Hunagwene abhanhu bhagamujaga unkima ng’wunuyo giki, “wina mbogo bhuli ubhebhe?”
Akahayile kenako kalanga bhanhu higulya ya guleka bhukali bho sagala umuwikaji bhobho, kugiki bhadule kujilanhana chiza ikaya jabho jinijo, umukikalile kabho.
Ayubu 41:10.
2 Timotheo 3:3.
KISWAHILILI: KWA NINI UNA NYATI WEWE?
Chanzo cha msemo huo huongelea juu ya Nyati. Nyati huyo ni mnyama poli ambaye anatisha kwa sababu ya ukali wake na kiburi alicho nacho katika maisha yake. Yeye huwa ni vigumu kuishi kwa watu kwa sababu ya ukali wake huo maishani mwake. Ndiyo maana watu wakimuona yupo kwenye familia fulani humuuliza mwenye familia hiyo kwamba, “kwa nini una Nyati wewe?”
Msemo huo, hulinganishwa kwa mwanamke aliyeolewa na mwanamume mkali katika maisha yake. Mwanamume huyo humkaripia hovyo mke wake huyo kwa sababu ya ukali wake huo wa hovyo, maishani mwake. Yeye humkosesha raha mke wake katika familia yake kwa sababu ya ukali wake huo wa hovyo, katika maisha yake.
Mwanamume huyo, hufanana na yule Nyati ambaye ni mnyama mkali, kwa sababu naye humkaripia hovyo mke wake, maishani mwake. Ndiyo maana watu humuuliza yule mke wake kwamba, “kwa nini una Nyati wewe?”
Msemo huo hufundisha watu juu ya kuacha ukali wa kuwakaripia wenzao hovyo maishani mwao, ili waweze kuishi kwa amani na kuzilea vyema familia zao, katika maisha yao.
Ayubu 41:10.
2 Timotheo 3:3.
ENGLISH: WHY DO YOU HAVE A BUFFALO?
The cradle of an overhead saying parleys about Buffalo. This buffalo is a wild animal that is scary because of its fierceness as well as its pride in life. It is difficult for people to live with it because of its harshness. That is why when people see it in a certain family, ask the owner of that family that, “Why do you have a Buffalo?”
This saying is related to a married woman who has a violent man in her life. This man scolds his wife carelessly because of his careless severity in his life. He makes his wife uncomfortable in his family because of his reckless severity in his life.
This man is similar to the violent Buffalo, because he also scolds his wife carelessly in his life. That is why people ask his wife that “Why do you have a Buffalo?”
This saying teaches people about stopping harshness of reprimanding their wives carelessly in their lives, so that they can live in peace enough to nurture well their families.
Job 41:10.
2 Timothy 3:3.

