1277. GOSULULA UNKONO.

Imbuki ya kahayile kenako ihoyelile bhusuluzu bho nkono go ng’wa munhu nnebhe. Olihoyi munhu uyo okoyaga ugugugolola unkono kokwe uyo goligwigonda kunguno ya gutumama milimo yake ukunu agugondile bho likanza lilihu. Umunhu ng’wunuyo agigulambije ugugugolola mbaga nose gusula chiza unkono gokwe gunuyo. Hunagwene abhanhu aho bhamona bhagayomba giki, “gosulula unkono.”

Akahayile kenako kagalenganijiyagwa kuli munhu nchoji osabho uyo agakoyakoyaga ugwicholela mpaga nose ojipandika umubhutumami bhokwe. Umunhu ng’wunuyo agagatumilaga chiza amasala gakwe bho gumisha diyu ogatumama milimo yakwe chiza mpaga oyimala kunguno ya bhukamu bhokwe ubho gutumama milimo bhunubho, umukikalile kakwe. Uweyi agapandikaga sabho ningi noyi aha kaya yakwe kunguno ya wigulambija bhokwe ubho gutumama milimo chiza bhunubho, umuwikaji bhokwe.

Umunhu ng’wunuyo agikolaga nuyo agigulambija ugugugolola unkono gokwe mpaga gusulula, kunguno nuweyi agigulambijaga gwicholela sabho bho gutumama milimo yakwe chiza mpaga nose ojipandika sabho jinijo, umuwikaji bhokwe bhunubho. Hunagwene abhanhu bhaganhayaga giki, “gosulula unkono.”

Akahayile kenako kalanga bhanhu higulya ya gugatumila chiza amasala gabho bho gwigulambija gutumama milimo yabho chiza, kugiki bhadule kupandika sabho ja gubhambilija ugujibheja chiza ikaya jabho.

1Wakorintho 16:2a-b.

KISWAHILI: MKONO UMENYOKA.

Chanzo cha msemo huo huongelea unyofu wa mkono wa mtu fulani. Alikuwepo mtu aliyekuwa akihangaika kuunyosha mkono wake uliokuwa umekunjika kwa muda mrefu kwa sababu ya kazi yake aliyokuwa akiifanya. Mtu huyo, alijibidisha kuunyosha mkono wake huo mpaka mwishowe ukanyoka vizuri. Ndiyo maana watu walipomuona walisema kwamba, “mkono umenyoka.”

Msemo huo, hulinganishwa kwa mtu mtafutaji wa mali ambaye huhangaika katika kujitafutia mali hizo mpaka mwishowe anazipata, katika kazi zake. Mtu huyo, huzitumia vizuri akili zake kwa kuamka mapema asubuhi na kwenda kufanya kazi vizuri mpaka anazimaliza kwa sababu ya bidii yake hiyo ya kufanya kazi, katika maisha yake. Yeye hupata mali nyingi sana katika familia yake kwa sababu ya bidii yake hiyo ya kufanya kazi zake vizuri, maishani mwake.

Mtu huyo, hufanana na yule aliyejibisha kuunyosha mkono wake mpaka mwishowe ukanyoka, kwa sababu naye hujibidisha katika kujitafutia mali kwa kufanya kazi mpaka anapafanikiwa, maishani mwake. Ndiyo maana watu humwambia kwamba, “mkono umenyoka.”

Msemo huo, hufundisha watu juu ya kutumia vizuri akili zao kwa kujibidisha kufanya kazi zao vizuri, ili waweze kupata mali za kuwawezesha kuziendeleza vizuri, familia zao.

1Wakorintho 16:2a-b.

hand-663725_1280

ENGLISH: THE HAND HAS BEEN STRAIGHT.

The cradle of this saying denotes to an outstretched hand of a certain person. There was a man who was struggling to stretch his arm that had been bent for a long time because of a work which he was doing. He had to stretch his hand until finally it was straight. That is why when people saw him said that, “The hand has been straight.”

This saying is paralleled to a person who seeks wealth by struggling enough to find it for himself in his life. Such person makes a good use of his mind by waking up early in the morning and going to work well until he finishes it because of his hard working life. He gets a lot of treasures in his family because of working hard in his life.

This person is similar to the one who took it upon himself to stretch out his hand until it eventually became straight, because he also struggles to find prosperity by working hard until he succeeds in his life. That is why people tell him that, “the hand has been straight.”

This saying imparts in people a clue of using well their minds by forcing themselves to soundly do their jobs, so that they can acquire a lot of possessions enough to enable them nicely improve their families.

1 Corinthians 16:2a-b.

Leave a comment

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.