Akahayile kenako kalolile witundi bho ng’wa munhu uyo adabhunilwe kwibala. Umunhu ng’wunuyo, agitunda kugiki wiyambilije huna uduma ugwiyambilija kunguno ya gwitunda bho nduhu ugubhunwa ukwibala. Hunagwene abhanhu bhagang’wila giki “witundaga udabhunilwe.”
Akahayile kenako kagalenganijiyagwa kuli munhu uyo aganguhaga gwita ginhu jilebhe ahikanza litale ugushiga, umukikalile kakwe. Umunhu ng’wunuyo agiyityega guti alisata bho gwilaja kunguno ya bhugokolo bho gutumama milimo aha kaya yake yiniyo. Uweyi agakoyiyagwa na bhuhabhi aha kaya yakwe yiniyo kunguno ya gukija gutumama milimo bho gugwisha alalile guti alisata umuwikaji bhokwe.
Umunhu ng’wunuyo, agikolaga nuyo agitunda gwiyambilija aliyo adabhunilwe ukwibala, kunguno nuweyi agisatishaga olala aliyo adusataga, umuwikaji bhokwe. Hunagwene abhanhu bhagang’wilaga giki, “witundaga udabhunilwe.”
Akahayile kenako kalanga bhanhu higulya ya gwita mihayo ya nhana bho gwigulambija gutumama milimo yabho chiza, kugiki bhadule gujibheja chiza ikaya jabho, umubhulamu bhobho.
Mhubiri 3:1-8.
KISWAHILI: UMECHUCHUMAA BILA KUJISIKIA HAJA.
Msemo huo huangalia uchuchumaaji wa mtu ambaye hajajisikia haja. Mtu huyo, alichuchumaa ili kujisadia haja kubwa lakini alishindwa kujisadia kwa sababu ya kuchuchumaa bila kujisikia haja hiyo. Ndiyo maana watu walimwambia kwamba, “umechuchumaa bila kujisikia haja.”
Msemo huo hulinganishwa kwa mtu yule ambaye huwahi kufanya kitu fulani kabla ya wakati wake kufika, katika maisha yake. Mtu huyo, hujifanya kama anaumwa kwa kujilaza kwa sababu ya uvivu wa kufanya kazi kwenye familia yake. Yeye husumbuliwa mara kwa mara na tatizo la umaskini katika familia yake hiyo kwa sababu ya kutokufanya kazi kwa kisingizio cha kuumwa, maishani mwake.
Mtu huyo, hufanana na yule aliyechuchumaa kujisaidia bila kujisikia haja, kwa sababu naye hujisingizia kuumwa kwa kulala wakati haumwi, maishani mwake. Ndiyo maana watu humwambia kwamba, “umechuchumaa bila kujisikia haja.”
Msemo huo, hufundisha watu juu ya kuwa wakweli kwa kujibidisha kufanya kazi zao vizuri, ili waweze kuziendeleza vyema familia zao, maishani mwao.
Mhubiri 3:1-8.
ENGLISH: YOU HAVE SQUATTED WITHOUT FEELING THE NEED.
The above saying refers to a squatting of a person who has not felt an urge. This man squatted to relieve himself but failed to do so because of squatting without feeling the need. That is why people told him that, “you have squatted without feeling the need.”
This saying is matched to a man who does something before reaching its time in his life. Such person pretends to be sick by lying down because of his idleness in working at his family. He constantly suffers from poverty problem at his family because of not working on a pretext of illness in his life.
This person is similar to the one who squatted to help himself without feeling the need, because he too pretends to be sick by sleeping when he is not sick in his life. That is why people tell him that, “you have squatted without feeling the need.”
This saying teaches people about being honest by forcing themselves to do their jobs well, so that they can soundly improve their families in their lives.
Ecclesiastes 3:1-8.


