1275. BHULI LYATO NALIHULI LYALYO.

Ilyato jili jiseme ijo jigabhuchaga bhanhu nulu miligo japela bho gwelela muminzi. Ilyato linilo ligashindikagwa na mahuli ga minzi ayo gagabhukilaga lyabhiza ligimba litale. Aliyo lulu bhuli lyato lyene ligashindikagwa ni gimba lyalyo lya minzi. Hunagwene abhanhu bhagayombaga giki, “bhuli lyato na lihuli lyalyo.”

Akahayile kenako kagalenganijiyagwa kuli munhu umo agapandikilaga amakoye ayo gagikalaga galekanile na ga ng’wiye, umukikalile kakwe. Umunhu ung’wunuyo agapandikaga makoye ga mbika ningi umubhutumami bho milimo yakwe ayo galiheke nayo bhagapandikaga abhangi. Uweyi agalwaga na makoye genayo mpaga ogamala kunguno ya wiyumilija bhokwe, umuwikaji bhokwe bhunubho.

Umunhu ng’wunuyo, agikolaga ni lyato ilo lyagashindikwa na mahuli ga muminzi, kunguno nuweyi agakoyiyaga na makoye gakwe umubhutumami bho milimo yakwe yiniyo, umuwikaji bhokwe bhunubho. Hunagwene abhanhu bhagang’wilaga giki, “bhuli lyato na lihuli lyalyo.”

Akahayile kenako kalanga bhanhu higulya ya gubhiza na wiyumilija bho gugamala amakoye gabho bhuli ng’wene, kugiki bhadule gujilela chiza ikaya jabho, umuwikaji bhobho.

2Timotheo 2:24.

Yakobo 5:7.

1Petro 1:19.

KISWAHILI: KILA MASHUA NA WIMBI LAKE.

Ngalawa ni chombo bha kusafirishia watu au mizigo majini. Ngalawa hiyo husukumwa na mawimbi ya maji ambayo huinuka kama mlima na kuipiga katika safari zake. Lakini basi, kila Ngalawa husukumwa na Wimbi Lake. Ndiyo maana watu husema kwamba, “kila Ngalawa na Wimbi Lake.”

Msemo huo, hulinganishwa kwa mtu anavyopata matatizo yake katika maisha yake ambayo hutofautiana na yale wanayopata wenzake. Mtu huyo, hupata matatizo mbalimbali ambayo hutofautikana na yale anayopata mwingine, maishani mwake kwa sababu ya uvumilifu wake. Yeye hupambana na matatizo hayo mpaka anayamaliza kwa sababu ya uvumilifu wake huo, maishani mwake.

Mtu huyo, hufanana na ile Ngalawa iliyosukumwa na mawimbi ya maji, kwa sababu naye hukumbwa na matatizo yake katika utelekezaji wa majukumu yake, maishani mwake. Ndiyo maana watu humwambia kwamba, “kila Ngalawa na Wimbi Lake.”

Msemo huo, hufundisha watu juu ya kuwa na uvumilivu wa kuyatatua matatizo yao katika maisha yao, ili waweze kuzilea vyema familia zao, maishani mwao.

2Timotheo 2:24.

Yakobo 5:7.

1Petro 1:19.

 

 

food-1-

 

ENGLISH: EVERY BOAT AND ITS WAVE.

A ship is a vessel which is used to transport people or goods in water. This boat is pushed by waves of water that rise like a mountain and beat it in its travels. But then, every boat is moved by its Wave. That is why people say that, “every boat and its Wave.”

This saying is equaled to how a person experiences his difficulties in his life which are different from his fellows’ experience. Such person experiences various glitches that are different from those which are experienced by others, in his life because of his tolerance. He fights those hitches until he varnishes them because of his endurance in his life.

This person resembles the boat which was pushed by waves of water, because he also suffers from his difficulties in fulfilling his responsibilities in life. That is why people tell him that, “every boat and its Wave.”

This saying instills in people an idea of having strong persistence enough to solve their hitches in their lives, so that they can nicely raise their families in their lives.

2 Timothy 2:24.

James 5:7.

1 Peter 1:19.

 

Leave a comment

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.