Imbuki ya kahayile kenako ilolile mamoto ga mbula ayo gagatongaga ulu yuluhaya gutula. Amamoto genayo gagagwa hado hado nose gakwila ulu yafugila imbula. Gashinaga lulu amamoto genayo gagabhizaga jimanyikijo ja gwandwa gutula mbula. Hunagwene abhanhu ulu bhagabhona bhagayombaga giki, “gagwa mamoto.”
Akahayile kenako kagalenganijiyagwa kubhanhu abho bhagajaga bhulilila mumakaya ayo gabishaga ijiliwa, umuwikaji bhobho. Abhanhu bhenabho bhagajaga gujulya jiliwa aha kaya iyo bhabhonaga lilizika lyochi bhagalindila mpaga japya, kunguno ya bhugokolo bho gutumama milimo aha kaya jabho. Abhoyi bhagadumaga ugujibheja ikaya jabho kunguno ya bhugokolo bho gutumama milimo bhusanyaga guja bhulilila mumakaya gabhanhu, umukikalile kabho.
Abhanhu bhenabho bhagikolaga na mamoto ga mbula ayo gagakwilaga hado hado nose ya kula mbula, kunguno nabhoyi bhagalilila jiliwa mumakaya mpaga nose bhiguta, umuwikaji bhobho. Hunagwene abhanhu bhagabhayombaga giki, “gagwa mamoto.”
Akahayile kenako, kalanga bhanhu higulya ya kuleka ng’hungwa ja bhuliliji bho mumakaya bho gwigulambija gutumama milimo yabho, kugiki bhadule gujibheja chiza ikaya jabho, umuwikaji bhobho.
Mithali 20:4a.
Mithali 19:24a.
Mithali 26:16a.
KISWAHILI: YAMEANGUKA MATONE.
Chanzo cha msemo huo huangalia matone ya mvua ambayo hutangulia inapotaka kunyesha. Matone hayo, huanguka kidogo kidogo mwishowe yanakuwa mvua kubwa. Kumbe basi, matone hayo huwa ni alama ya kuanza kunyesha mvua. Ndiyo maana watu wakiyaona husema kwamba, “yameanguka matone.”
Msemo huo, hulinganishwa kwa watu wale ambao huenda kula kwenye familia za watu walioivisha chakula, maishani mwao. Watu hao, huenda kula chakula kwenye familia ile wanapoona moshi unatokeza kusubiria chakula hicho mpaka kinaiva, kwa sababu ya uvivu wa kufanya kazi kwenye familia zao. Wao hushindwa kuziendeleza familia zao kwa sababu ya uvivu huo wa kufanya kazi zao, wakitegemea kwenda kula chakula cha wenzao.
Watu hao hufanana na yale matone ya mvua ambayo huongezeka kidogo kidogo mpaka mwishowe yanakuwa mvua, kwa sababu nao huenda kula kwenye familia za watu mpaga mwishowe wanatosheka, katika maisha yao. Ndiyo maana watu huwasema kwamba, “yameanguka matone.”
Msemo huo, hufundisha watu juu ya kuachana na tabia ya uvivu wa kufanya kazi wakitemea kula kwenye familia za wenzao, kwa kujibidisha kufanya kazi, ili waweze kuziendeza vizuri familia zao, maishani mwao.
Mithali 20:4a.
Mithali 19:24a.
Mithali 26:16a.
ENGLISH: DROPS HAVE FALLEN.
The basis of this saying looks at the raindrops that precede when it wants to rain. These drops fall little by little and finally become heavy rain. However, those drops are signs of rain. That is why when people see them, they say, “drops have fallen.”
This saying is related to people who go to eat in families of others who fed them, in their lives. Those people go to eat food in the family when they see smoke coming out and wait for the food until it is cooked, because of their laziness of working in their families. They fail to support their families because of their laziness of doing their works, by depending on going to eat their friends’ food.
Those people are like the raindrops which increase little by little until they finally become rain, because they also go to eat in the families of people who are finally satisfied, in their lives. That is why people say that, “drops have fallen.”
This saying teaches people about abandoning habit of working lazily while spitting in families of their colleagues, by forcing themselves to work, so that they can manage to run well their families, in their lives.
Proverbs 20:4a.
Proverbs 19:24a.
Proverbs 26:16a.
