1266. LYALYAGA WAYA.

Akahayile kenako kahoyelile higulya ya bhuli bho waya bho ginhu jilebhe. Ubhuli bhunubho bhuli bhupeja bho mondoka ubho wangu wangu mpaga nose yagaileka inzila. Imondoka yiniyo igapejiwa jigijigi mpaga yugaileka inzila bho guja chawi kunguno ya lugendo lukali lunulo. Hunagwene abhanhu bhagayomba giki, “lyalyaga waya.”

Akahayile kenako, kagalenganijiyagwa kuli munhu uyo agajitumilaga sagala iginhu mpaga opandika makoye, umuwikaji bhokwe. Umunhu ng’wunuyo agajitumamilaga isabho jakwe bho sagala chiniko mpaga opandika makoye gagujibhipya, na gwiminya kunguno ya gugaiwa witegeleja umubhutumami bho milimo yakwe yiniyo. Uweyi agajimalaga isabho jakwe mpaga ogayiwa ijiliwa aha kaya yakwe kunguno ya gugayiwa witegeleja umukatumamile ka sabho jakwe jinijo, umuwikaji bhokwe.

Umunhu ng’wunuyo, agikolaga nuyo oyipejaga jigijigi imondoka mpaga yugaileka inzila bho guja chawi, kunguno nuweyi agajitumilaga sagala isabho jakwe mpaga opandika makoye, umuwikaji bhokwe. Hunagwene abhanhu bhagang’wilaga giki, “lyalyaga waya.”

Akahayile kenako kalanga bhanhu higulya ya gubhiza na witegeleja bho gujitumamila chiza sabho jabho, kugiki jidule gubhambilija chiza ugujibheja ikaya jabho, umubhulamu bhobho.

Wagalatia 1:13.

Wafilipi 1:27.

Wagalatia 5:16-26.

1Thimotheo 4:12.

KISWAHILI: LIMEKULA WAYA.

Msemo huo huongelea juu ya ulaji wa waya wa kitu fulani. Ulaji huo ni uendeshaji wa gari kwa mwendo wa kasi sana mpaka linaacha njia na kwenda porini. Gari hilo liliendeshwa kwa kasi hiyo mpaka likaingia porini kwa sababu ya ukali wa mwenda huo. Ndiyo maana watu walisema kwamba, “limekula waya.”

Msemo huo, hulinganishwa kwa mtu yule ambaye hutuvitumia vitu vyake hovyo mpaga ana pata matatizo, maishani mwake. Mtu huyo, hutuvitumia hovyo mali zake hizo mpaga anapata matatizo kwa sababu ya kukosa umakini katika kazi zako hizo. Yeye huzimaliza mali zake hizo mpaga anafikia hatua ya kukosa chakula katika familia yake kwa sababu ya kukosa umakini katika kazi zake hizo.

Mtu huyo hufanana na yule aliyeendesha gari kwa kasi mpaka likaaga njia na kuingia porini, kwa sababu naye huvitumia mali zake hovyo mpaga anapata matatizo, maishani mwake. Ndiyo maana watu humwambia kwamba, “limekula waya.”

Msemo huo, hufundisha watu juu ya kuwa na umakini wa kuzitumia mali zao vizuri, ili ziweze kuwasaidia katika kuziendeleza vyema familia zao, katika maisha yao.

Wagalatia 1:13.

Wafilipi 1:27.

Wagalatia 5:16-26.

1Thimotheo 4:12.

ENGLISH: IT HAS EATEN WIRE.

This saying talks about a wire intake of something. Such consumption is a driving of a car at a very high speed until it leaves the road and goes wild. The driver of that car drove it at that speed until it entered the forest because of an intensity of the movement. That is why people said that, “it has eaten wire.”

This saying is equated to a person who uses his things carelessly to point of having problems in his life. Such person uses his property carelessly until he gets into trouble because of lack of attention in his works. He exhausts his possessions until he reaches the point where there is no food in his family because of his lack of attention in his works.

This person is similar to the one who drove a car at a very high speed until it left the road and entered the forest, because he also spends his wealth carelessly to the point of getting into trouble in his life. That is why people tell him that, “it has eaten wire.”

This saying impart in people an idea of  being careful enough to use their assets well, so that they can help them in developing their families well, in their lives.

Galatians 1:13.

Philippians 1:27.

Galatians 5:16-26.

1 Timothy 4:12.

IMG_20241222_111754_524

IMG_20241222_112049_598

IMG_20241222_111705_872

Leave a comment

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.