Akahayile kenako, kalolile jigulu ijo ili si iyo ibhukilile higulya. Umujigulu jinijo jalijitelile nzuki umugaji bho gub’itila mupundu kunguno bholihoyi wasa wiza moyi. Inzuki jinijo, ligashiga likanza jubheja bhuki wingi gete moyi ubho bhanhu bhingi bhagabhubhona kunguno jali bihi na nzila. Hunagwene abhanhu bhenabho bhagayomba giki, “ijinijo jili jigulu ja bhuki.”
Akahayile kenako, kagalenganijiyagwa kuli munhu uyo alinsabhi omajikolo mingi na onholo ya wiza, umukikalile kakwe. Umunhu ng’wunuyo, abhambilijaga abhanhu bhingi abho bhagajaga bhagibhula makoye gabho hoyi, kunguno ya wiza nholo bhokwe bhunubho. Uweyi agikalaga na bhanhu bhingi noyi aha kaya yakwe, kunguno ya wizanholo bhokwe bhunubho, umuwikaji bhokwe.
Umunhu ng’wunuyo, agikolaga ni nzuki ijo jali na bhuki bhingi umujigulu jajo, kunguno nuweyi ali msabhi omajikolo mingi, umukikalile kakwe. Hunagwene abhanhu bhang’wilaga giki, “ijinijo jili jigulu ja bhuki.”
Akahayile kenako, kalanga bhanhu higulya ya gwigulambija gutumama milimo ya gubhenhela majikolo mingi, kugiki bhadule gubhambilija bhanhu bhingi, umuwikaji bhobho.
Mathayo 11:28-30.
KISWAHILI: HICHO NI KICHUGUU CHA ASALI.
Msemo huo, huangalia kichuguu ambacho ni aridhi iliyoinuka juu. Kichuguu hicho kilikuwa na nyuki waliotengeneza nzinga wao ndani yake, kwa sababu kilikuwa na nafasi kubwa ndani yake. Nyuki hao waliishi mule mpaka wakatengeneza asali nyingi ambayo watu wengi waliiona, kwa sababu kilikuwa karibu na njia. Ndiyo maana watu hao walisema kwamba, “hicho ni kuchuguu cha asali.”
Msemo huo, hulinganishwa kwa mtu yule ambaye ni tajiri wa mali nyingi, katika maisha yake. Mtu huyo, huwasaidia watu wengi wanaofika kwake kujieleza matatizo yao, kwa sababu ya ukarimu wake huo. Yeye huishi na watu wengi sana kwenye familia yake, kwa sababu ya ukaribu wake huo, maishani mwake.
Mtu huyo, hufanana na wale nyuki waliotengeneza mzinga wao kwenye kichuguu ambao ulikuwa na asali nyingi, kwa sababu naye ni tajiri wa mali na vitu vyingi, katika maisha yake. Ndiyo maana watu humwambia kwamba, “hicho ni kuchuguu cha asali.”
Msemo huo, hufundisha watu juu ya kujibidisha kufanya kazi za kuwawezesha kupata mali nyingi, ili waweze kuwasaidia watu wengi, maishani mwao.
Mathayo 11:28-30.
ENGLISH: THAT IS A HONEY TUNNEL.
This saying looks at a tunnel that is a raised land. This tunnel had bees that made their hives in it, because it had a lot of space in it. These bees lived there until they made a lot of honey that many people saw, because of it being near the road. That is why those people said that, “that is a honey tunnel.”
This saying is paralleled to a person who is rich of many assets, in his life. Such person helps many people who come to him expressing their problems, because of his generosity. He lives with a good number of people in his family, because of his loveliness, in his life.
This person resembles the bees what made their hive in the tunnel that had a lot of honey, because he is also rich in wealth of many things in his life. That is why people speak about him that, “that is a honey tunnel.”
This saying teaches people about working hard enough to do things that enable them to get a lot of wealth, so that they can help a good number of people, in their lives.
Matthew 11:28-30.
