Olihoyi munhu uyo oli mulugendo lo gujugisha bhadugu bhakwe. Umunhu ng’wunuyo, agasiminza lugendo lulihu mpaga nose utuubha kunguno ya gubhitya likanza lilihu bho nduhu ugulya. Uweyi agaliga hali kaya lya ng’wa munhu ubhasanga bhalimalija gulya bhuchele ubho agawigwa bhulinuhiila duhu umunindo bho nduhu ubhubhulya kunguno bholi bho shila. Hunagwene agayomba giki, “naliila nindo.”
Akahayile kenako, kagalenganijiyagwa kuli munhu uyo agiyumilijaga gulindila jiliwa jingi ulu osanga abhiye bhamalaga gulya, umukikalile kakwe. Umunhu ng’wunuyo, agalindilaga mpaga abhazugi bhazuga jiliwa jingi ulu osangaga bhanhu bhamalaga gulya kunguno ya wiyumilija bhokwe bhunubho. Uweyi agikalaga bho bhuyegi bhutale aha kaya yakwe kunguno ya guhoya na bhanhu bhakwe bho wiyumilija bhokwe bhunubho, umuwikaji bhokwe.
Umunhu ng’wunuyo, agikolaga nuyo agasanga bhanhu bhalimalija gulya bhuchele ugelela guwigwa mu ningo duhu, kunguno nuweyi agiyumilijaga gulindila mpaga abhazugi bhazuga jiliwa jingi, ulu osangaga abhiye bhajimalaga gujilya ijiliwa jinijo, umukikalile kakwe kenako. Hunagwene agayombaga giki, “naliila nindo.”
Akahayile kenako, kalanga bhanhu higulya ya gubhiza na wiyumilija bho gulindila mpaga abhazugi bhazuge jiliwa jingi, ulu bhasangaga jiliwa jashilaga, kugiki bhadule gwidebha chiza, umuwikaji bhobho.
Luka 16:19-21.
KISWAHILI: NIMEKULA KWA PUA.
Alikuwepo mtu aliyekuwa safarini kwenda kuwasalimu ndugu zake. Mtu huyo, alitembea mwendo mrefu mpaka mwishowe akajisikia njaa kwa sababu ya kupitisha muda mrefu bila kula chakula. Yeye alipita kwenye familia moja akawakuta wanamalizia kula wali ambao ulimunukia tu, bila kuula, kwa sababu ulikuwa umeisha. Ndiyo maana alisema kwamba, “nimekula kwa pua.”
Msemo huo, hulinganishwa kwa mtu yule ambaye huvumilia kwa kusubiria mpaka chakula kingine kipikwe akiwakuta wenzake wamemaliza kula, katika maisha yake. Mtu huyo, husubiria mpaka wapishi wamalize kupika chakula kingine kila anapowakuta wenzake wamemaliza kula kwa sababu ya uvumilivu wake huo. Yeye huishi kwa furaha kubwa na watu waliyoko kwenye familia yake hiyo, kwa sababu ya kuongea nao kwa uvumilifu wake huo, maishani mwake.
Mtu huyo, hufanana na yule aliyewakuta wenzake wamemaliza kula wali ulioishia kunukia tu kwake, kwa sababu naye huvumilia kwa kusubiria mpaka wapishi waivishe chakula kingine, anapowakuta wenzake wamemaliza kula, katika maisha yake. Ndiyo maana yeye husema kwamba, “nimekula kwa pua.”
Msemo huo, hufundisha watu juu ya kuwa na uvumilivu wa kuwawezesha kusubili mpaka wapishi waivishe chakula kingine wanapowakuta wenzao wamemaliza kula, ili waweze kuelewana vizuri, maishani mwao.
Luka 16:19-21.
ENGLISH: I HAVE EATEN BY USING NOSE.
There was a man who was on his way to greet his brothers. He walked a long way until he finally felt hungry because of spending a long time without eating. He passed by a family and found them finishing eating the rice that he only smelled, without eating it, because it had run out. That is why he said that, “I have eaten by using nose.”
This saying is compared to a person who endures by waiting until another meal is cooked when he finds his colleagues have finished eating, in his life. Such person waits until cooks finish cooking another meal whenever he finds his colleagues have finished eating because of his patience. He lives happily with the people in his family, because of talking to them with his patience, in his life.
This person is similar to the one who found his colleagues finished eating rice that ended up smelling only to it, because he also endures by waiting until the cooks put on another food, when he finds his colleagues have finished eating, in his life. That is why he says that, “I have eaten by using nose.”
This saying teaches people about having strong patience enough to enable them wait until cooks put on another food when they find their colleagues have finished eating, so that they can understand each other well, in their lives.
Luke 16:19-21.
