1148. KALAGU – KIZE. KENAKA KAGAJIJINOLO – KATUNGE KADOO.

Ikalagu yiniyo, ihoyelile higulya ya katunge kadoo. Akatunge kenako kalikajisumva kadoo ako katina boya umuwili gogo aliyo lulu kagalala nyanoni. Ulu munhu uchola loya ukukoyi adupandika kunguno kadinalo. Hunagwene abhanhu bhagakinatanga giki “kenako kagajijinolo – katunge kadoo.”

Ikalagu yiniyo, igalenganijiyagwa kuli munhu uyo ali ngugu umukikalile kakwe. Umunhu ng’wunuyo, aling’wibanu ugujifunya bho gubhinha bhiye ijikolo jakwe kunguno ya bhugugu bhokwe bhunubho. Uweyi agajituulaga mukaya ijikolo jakwe jinijo mpaga jabhipa bho ndugu ugubhagunanha abhiye kunguno ya bhugugu bhokwe bhunubho, umuwikaji bhokwe.

Umunhu ng’wunuyo, agikolaga na katunge ako kadina b’oya, kunguno nuweyi agikalaga na jikolo umukaya yakwe mpaga jabhipa bho nduhu ugubhagunanha abhiye abho bhali na makoye. Hunagwene abhanhu bhagang’witanaga giki, “kenako kagajijinolo – katunge kadoo.”

Ikalagu yiniyo yalanga bhanhu higulya ya gubhiza na wizanholo bho gubhagunanha abhichacho abho bhali na makoye kugiki bhadule kujilanhana chiza ikaya jabho, umuwikaji bhobho.

Luka 12:15b.

Luka 16:10.

KISWAHILI: HUYO NI BAHILI – POPO MDOGO.

Kitendawili hicho huongelea juu ya popo mdogo. Popo huyo ni kiumbe kidogo ambacho hakina manyoya katika mwili wake lakini huruka kama ndege. Ndiyo maana watu hukiambia kwamba “huyo ni bahili – popo mdogo.”

 Kitendawili hicho, hulinganishwa kwa mtu yule ambaye ni bahili katika maisha yake. Mtu huyo, huvibania kuwapa wenzake vitu vyake kwa sababu ya ubahili wake huo. Yeye huviweka nyumbani mwake vitu vyake hivyo mpaka vinaharibika bila ya kuwasaidia watu walio na matatizo kwa sababu ya ubahili wake huo, maishani mwake.

Mtu huyo, hufanana na kale kapopo ambako hakana manyoya ya kuwapa wengine, kwa sababu naye hubaki na vitu vyake mpaka vinaharibika ya bila kuwasaidia wenzake walioko kwenye matatizo. Ndiyo maana watu humwambia kwamba, “huyo ni bahili.”

Kitendawili hicho, hufundisha watu juu ya kuwa na ukarimu wa kuwasaidia wenzao walioko kwenye matatizo, ili waweze kuzitunza vizuri familia zao, maishani mwao.

Luka 12:15b.

Luka 16:10.

ENGLISH: I HAVE A RIDDLE – LET IT COME.

THAT IS A MISER- A LITTLE BAT.

The overhead riddle is about a little bat. Such bat is a small creature that has no feathers in its body but it flies like a bird. That is why people say that, “that is a miser – a little bat.”

This riddle is equated to a person who is stingy in his life. Such person refuses to give his things to his colleagues because of his stinginess. He keeps his things in his house until they are destroyed without helping the people who have problems because of such meanness, in his life.

This person is like the little bat had no feathers of giving to others, because he also keeps his things until they are destroyed without helping his colleagues who are in anxiety. That is why people tell him that, “that is a miser – a little bat.”

This riddle imparts in people an idea of being generous enough to support their nobles who are in distress, so that they can take good care of their families in their lives.

Luke 12:15b.

Luke 16:10.

 

 

bat-1695186__480

 

Leave a comment

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.