Akahayile kenako kanhoyelile munhu uyo olidakangagwa umukikalile kakwe. Umunhu ng’wunuyo, oliang’wisanije Se uyo oli na nguzu ja gubhaheb’a pye abhose abho bhang’wibhonelaga umuchalo jakwe. Hunagwene ung’wana okwe ng’wunuyo, agayomba giki, “nalinduhu ugukangwa.”
Akahayile kenako kagalenganijiyagwa kuli munhu uyo ang’wisanije Mulungu umukikalile kakwe. Umunhu ng’wunuyo alina guzunya gutale ukuli Mulungu kunguno amanile igiki Uwei adulile yose na adikomile guhewa na Jisunva josejose. Uweyi agikalaga mhola aha kaya yakwe kihamo na bhanhu bhakwe, kunguno ya gung’wisanya Mulungu uyo agabhalang’hanaga makanza gose abhanhu, umuwikaji bhobho.
Umunhu ng’wunuyo, agikolaga nu ng’wana uyo oliang’wisanije myaji okwe uyo oli na nguzu ningi, kunguno nuweyi ang’wisanije Mulungu uyo alinduja o jose, umuwikaji bhokwe. Hunagwene agayombaga giki, “nalinduhu ugukangwa.”
Akahayile kenako kalanga bhanhu higulya ya gunzunya na gung’wisanya Mulungu uyo adulile gubhalang’hana chiza umubhulamu bhobho, kugiki bhadule gwikala bho mholele, umukaya jabho.
Zaburi 71:1-6.
Mathayo 6:25-27.
Zaburi 7:2-3.
Mathayo 11: 27-30.
Zaburi 3:2-4.
KISWAHILI: SIKO KUTISHWA.
Msemo huo huongelea juu ya mtu yule ambaye hatishwi katika maisha yake. Mtu huyo, ana baba yake anayemtegemea ambaye ana nguvu nyingi za kumwezesha kuwashinda wote wanaomuonea katika kijiji chake. Ndiyo maana mtoto wake huyo, husema kwamba, “siko kutishwa.”
Msemo huo hulinganishwa kwa mtu yule ambaye humtegemea Mungu katika maisha yake. Mtu huyo, alishamwamini Mungu kwa imani kubwa kwa sababu Yeye aweza yote na hashindwi na viumbe wake. Yeye huishi salama pamoja na wanafamilia wake kwa sababu ya kumtegemea Mungu aliyeumba vitu vyote, katika maisha yake.
Mtu huyo, hufanana na yule mtoto aliyemtegemea baba yake aliyekuwa na nguvu nyingi, kwa sababu naye pia humtegemea Mungu awezaye yote. Ndiyo maana yeye husema kwamba, “siko kutishwa.”
Msemo huo, hufundisha watu juu ya kumwamini Mungu na kumtegemea Yeye maishani mwao, ili waweze kuishi kwa amani, katika familia zao.
Zaburi 71:1-6.
Mathayo 6:25-27.
Zaburi 7:2-3.
Mathayo 11: 27-30.
Zaburi 3:2-4.


ENGLISH: I AM NOT THREATENED.
This saying speaks about the person who is not threatened in his life. Such person has a father to whom he depends on because of Him having a lot of power enough to enable him defeat all those who hate him in his village. That is why his son, says that, “I am not threatened.”
This saying is related to the person who depends on God in his life. Such person believed in God with great faith because He can do everything and He does not fail His creatures. He lives safely with his family members because of relying on God, who created all things.
This person is like the child who depended on his father who had a lot of power, because he also depends on God who can do everything. That is why he says that, “I am not threatened.”
This saying, imparts in people an idea of believing in God and relying on Him in their lives, so that they can live in peace with one another in their families.
Psalm 71:1-6.
Matthew 6:25-27.
Psalm 7:2-3.
Matthew 11: 27-30.
Psalm 3:2-4.
