Aho kale olihoyi ntongeji o muchalo jimo umubhutemi bho bhuduhe. Untongeji ng’wiyuno ofunyaga long’we umuchalo jakwe ya gubhawila abhanhu bhakwe gwitimija iyo ayitogilwe uweyi kunguno ya bhutale bhokwe bhunubho. Uweyi agageniha ugafunya long’we muchalo ja bhange kunguno oliadajidebhile chiza inbinbi ja bhugelelo bho chalo jakwe. Hunagwene abhanhu bhagang’wila giki, “bhuli nduma yina nduma nyiye.”
Akahayile kenako kagalenganijiyagwa kuli munhu uyo alinibhengwe kubhiye lya guyomba mihayo yakwe bho nduhu gubhiza na lubhimbi, umukikalile kakwe. Umunhu ng’wunuyo agayombaga mihayo yakwe bho gubhadalahija abhiye umumahoya gakwe kunguno ya libhengwe lyakwe linilo, umuwikaji bhokwe. Uweyi agikalaga widuma na bhanhu bhuli makanza aha kaya yakwe yiniyo, kunguno ya libhengwe lyakwe linino ilya guyomba mihayo yakwe bho nduhu gubhiza na lubhimbi, umukikalile kakwe kenako.
Umunhu ng’wunuyo, agikologa nu ntongeji uyo oliadajimanile inbinbi ja chalo jakwe mpaga nose ugafunya long’we muchalo ja bhangi, kunguno nuweyi alinibhengwe lya guyomba mihayo yakwe bho nduhu gubhiza na lubhimbi, umuwikaji bhokwe bhunubho. Hunagwene abhanhu bhagang’wilaga giki, “bhuli nduma yina nduma nyiye.”
Akahayile kenako kalanga bhanhu higulya ya gubhiza na witegeleja bho guchagulila mihayo miza ulubhalihoya na bhanhu bhabho umumahoya gabho, kugiki bhadule gujilela chiza ikaya jabho jinijo, umuwikaji bhobho.
Matendo ya mitume 13:45-47.
Isaya 28:10-13.
KISWAHILI: KILA MKUBWA ANA MKUBWA WAKE.
Hapo zamani alikuwepo kiongozi wa kijiji kimoja katika utawala wa bhuduhe. Kiongozi huyo, alikuwa akitoa amri kwa watu wake ya kuwaambia watekeleze kile alichokitaka yeye kwa sababu ya ukubwa wake huo. Yeye alienda ugenini akaanza kutoa amri kwenye kijiji ambacho siyo chake, kwa sababu hakuifahamu vizuri mipaka ya kijiji chake. Ndiyo maana watu walimwambia kwamba, “kila mkubwa ana mkubwa wake.”
Msemo huo, hulinganishwa kwa mtu yule ambaye anadharau kwa wenzake ya kuongea maneno bila ya kuwa na mipaka, katika maisha yake. Mtu huyo, huongea maneno yake kwa kuwadharau wenzake katika maongezi yake hayo kwa sababu ya dharau yake hiyo kwa wenzake, maishani mwake. Yeye hukosana na watu wake mara nyingi katika familia yake kwa sababu ya dharau yake hiyo ya kuongea maneno bila kuwa na mipaka, katika maisha yake hayo.
Mtu huyo, hufanana na yule kiongozi asiyeielewa mipaka yake mpaga akatoa amri kwenye kijiji cha mwingine, kwa sababu naye anadharau ya kuongea maneno yake bila ya kuwa na mipaka, maishani mwake. Ndiyo maana watu humwambia kwamba, “kila mkubwa ana mkubwa wake.”
Msemo huo, hufundisha watu juu ya kuwa na umakini wa kuchagua vizuri maneno ya kuongea na watu katika maongezi yao, ili waweze kuzilea vyema familia zao, maishani mwao.
Matendo ya mitume 13:45-47.
Isaya 28:10-13.
ENGLISH: EVERY BIG HAS HIS BIG.
Once upon a time, there was a village leader in the Bhuduhe administration. Because of his position and authority, he often gave orders to his people, expecting everyone to obey him. One day, he traveled abroad and began giving orders to people in another village that was not under his leadership. He did this because he did not understand the boundaries of his authority. That is why people said to him, “every big has his big.”
This saying is compared to a person who is disrespectful to his peers by speaking without limits in his life. Such a person talks carelessly and despises others through his words. Because of this behavior, he often quarrels with members of his family and community. His problem is not strength or wisdom, but the failure to know when and how to speak with respect.
That person is like the village leader who did not understand his limits and gave orders in another man’s village. In the same way, he speaks as if no one is above him, forgetting that there is always someone greater or wiser. That is why people remind him by saying, “every big has his big.”
This saying teaches people to be careful with their words and to respect boundaries when speaking to others. By choosing the right words and knowing their limits, people can live peacefully and raise their families well in their lives.
Acts 13:45–47.
Isaiah 28:10–13.














