Sukuma Sayings

1309. AGAJINJA IJANZUKI.

Imbuki ya kahayile kenako ilolile nhinda ja nzuki. Inzuki jigandyaga gubheja nhinda na wiza ubhuki. Inzuki jinijo jigikalaga nhali noyi ulu jubheja inhinda jinijo kunguno jigamanaga jupugwa, jiliza duhu. Ijoyi jigabhizaga jidinabhuyangu ahikanza linilo ulu wigela ogujinja nhinja jajo jinijo. Hunagwene ulu oseose udula ugujinja inhinda jinijo, abhanhu bhagahaga giki, “agajinja ijanzuki.”

Akahayile kenako kagalengajiyagwa kuli munhu uyo alinambu umukikalile kakwe. Umunhu ng’wunuyo agikalaga na nhinda ja gulema nulu gutung’wa na abhiye kunguno ya nhungwa jakwe ijabhubhi jinijo, umuwikaji bhokwe. Uweyi agidumaga na manhu bhingi umuwikaji bhokwe kunguno ya nhinda jakwe jinijo, umukikalile kakwe.

Umunhu ng’wunuyo, agikolaga ni nzuki ijo jigitaga nhinda jakaliha mpaga jalema uguhang’wa, kunguno nuweyi alina nhinda ijo jigang’winhaga bhulambu bho gulema ugutung’wa na bhiye, umuwikaji bhokwe. Hunagwene ulu uhadikijiwa bho nguzu mpaga uzunya ugutung’wa, abhanhu bhagayombaga giki, “agajinja ijanzuki.”

Akahayile kenako kalanga bhanhu higulya ya gubhiza na nhungwa jawiza bho gujinja inhinda ja gulema gutung’wa na bhichabho, kugiki bhadule gwikala bho bhuyeji umukaya jabho, umuwikaji bhobho bhunubho.

Walawi 26:19.

Ayubu 41:34.

KISWAHILI: ALIKIONDOA KIBURI.

Chanzo cha msemo huo, huangalia masega ya nzuki yenye hatua ya kukaribia kutengeneza asali. Nyuki huanza kutengeneza masega ndipo inakuja asali. Nyuki hao huwa wakali sana wanapofikia hatua hiyo ya kuwa na masega yanayokaribia kuwa na asali kwa sababu ya kukataa kufukuzwa wanapochokozwa. Wao huwa hawana wa kuwaamua wakifikia hatua hiyo. Ndiyo maana akitokea wa kuyaondoa masega hayo yawapatiao kiburi, watu husema kwamba, “alikiondoa kiburi.”

Msemo huo, hulinganishwa kwa mtu yule ambaye ana kiburi katika maisha yake. Mtu huyo, ana kiburi cha kukataa kutung’wa na mtu yeyote kwa sababu ya tabia yake hiyo mbaya, maishani mwake. Yeye hukosana na watu wengi maishani mwake kwa sababu ya kuburi chake hicho, cha kudharau wengine, katika maisha yake.

Mtu huyo hufanana na wale nyuki wanaokaribia kuweka asali ambao huwa na kiburi cha kukataa kufukuzwa, kwa sababu naye ana kiburi kwa kukataa kutumwa na wenzake, maishani mwake. Ndiyo maana akilazimishwa kwa nguvu kukubali kutumwa, watu husema kwamba, “alikiondoa kiburi.”

Msemo huo hufundisha watu juu ya kuwa na tabia njema ya kuondoa kiburi cha kukataa kutumwa na wenzao, ili waweze kuishi kwa furaha katika familia zao, maishani mwao.

Walawi 26:19.

Ayubu 41:34.

animal-2612075__480

ENGLISH: HE DID AWAY WITH HIS IMMODESTY.

The origin of this saying stares at the combs of bees which are about to make honey. Bees start making combs and then honey comes. These bees become very aggressive when they reach at that stage. They reject being chased away by anyone when they are provoked. They become impossible when they reach at that stage. That is why when one comes to remove those combs that give them arrogance, people say that, “he did away with his immodesty.”

This saying is paralleled to a person who has conceit in his life. Such person has conceit of rebuffing to be pricked by anyone because of his wicked manners in his life. He gets into trouble with several people in his life because of his egotism, of looking down on others, in his life.

This person is comparable to those bees which were about to lay honey which had arrogance of declining to be chased away by anyone, because he also has conceit of repudiating to be sent away by his acquaintances in his life. That is why when he is forced to accept a mission, people say that, “he did away with his immodesty.”

This saying teaches people about having decent patterns of eradicating smugness of negating to be sent by their earls, so that they can live happily in their families.

Leviticus 26:19.

Job 41:34.

1308. LUGONDA MAZUB’ILO.

Imbuki ya kahayile kenako ihoyelile lizub’ilo lya jisumva ja muminzi. Ilizub’ilo lilinilo lilitegelo lya Shi ilo ligikalaga lilugoye lib’egejije ndob’ano ja bihi bihi. Ilyoyi ululyugaponejiwa ng’witab’a ligazub’iga josejose ijo jilihoyi moyi guti mbulu, nzoka na jingi jingi ijamu minzi. Ijo jigazub’agwa jinijo jigagagondaga amazub’ilo. Hunagwene abhanhu bhagajitanaga giki, “luganda mazub’ilo.”

Akahayile kenako kagalenganijiyagwa kuli munhu uyo agasolelejaga mihayo yoseyose niyabhubhi, umahoya gakwe. Umunhu ng’wunuyo, agayombaga mihayo yose yose umumahoya gakwe ni ya bhulomolomo mumo bho nduhu uguitegeleja chiza kunguno alina nhungwa jabhubhi, umukikalile kakwe. Uweyi agabhalisanyaga abhanhu bhaha kaya yakwe kunguno ya nhungwa jakwe ija bhubhi jinijo, umuwikaji bhokwe.

Umunhu ng’wunuyo agikolaga ni lizub’ilo lya ndilo ilo ligazub’aga josejose ijo jilimuminzi, kunguno nuweyi agasolelejaga mihayo yoseyose ni mib’i umumahoya gakwe. Hunagwene abhanhu bhagang’witanaga giki, “lugonda mazub’ilo.”

Akahayile kenako kalanga bhanhu higulya ya gubhiza na nhungwa jawiza ijagumbilija uguitegeleja chiza imihayo yabho haho bhatali uguyiyomba kugiki bhadule gujilela chiza ikaya jabho, umuwikaji bhobho.

Warumi 12:9-11.

1Thimotheo 4:2-3.

KISWAHILI: AKUNJAYE MITEGO.

Chanzo cha msemo huo huongelea mitego ya viumbe vya majini. Mtego huo ni zana ya kuvulia samaki ambayo huwa na kamba ndefu iliyotegenezewa ndoano za karibu karibu. Wenyewe ukitupwa kwenye bwawa hukamata chochote kilichomo humo, kama vile kenge, nyoka na vingine vingi viishivyo majini. Vile vilivyokamatwa huweza kuukunja mtego huo. Ndiyo maana watu huviita jina la, “mkunja mitego.”

Msemo huo hulinganishwa kwa mtu yule ambaye huokoteza maneno yoyote yakiwemo ya uongo katika maongezi yake. Mtu huyo, huongea maneno yoyote yakiwemo yale ya uongo katika maongezi yake, kwa sababu anatabia mbaya katika maisha yake. Yeye huwagombanisha watu waiishio katika familia yake kwa sababu ya tabia yake hiyo mbaya ya kuongea maneno ya uongo maishani mwake.

Mtu huyo, hufanana na ule mtego wa samaki uliokamata chochote kinachoishi majini, kwa sababu naye huokoteza na kuyaongea maneno yoyote yakiwemo yale ya uongo, maishani mwake. Ndiyo maana watu humuita jina la “akunjaye mitego.”

Msemo huo, hufundisha watu juu ya kuwa na tabia njema ya kuwawezesha kuongea maneno yao kwa umakini mkubwa katika maongezi yao, ili waweze kuzilea vyema familia zao, maishani mwao.

Warumi 12:9-11.

1Thimotheo 4:2-3.

ENGLISH: THE TRAPS TWISTER

The origin of this saying refers to trap of aquatic creatures. This trap is a fishing tool that has a long rope which is made of hooks that are close together. When it is thrown into a pond, it catches anything in it, such as leeches, snakes and many other aquatic beings. Those caught ones can twist the trap. That is why people call it, “the traps twister.”

This saying is matched to a person who twists any word, including dishonest ones in his communication. Such person speaks deceitful words, in his dialogue because of having wicked wont in his life. He causes conflict among people who live in his family because of his evil pattern of speaking indelicate words in his life.

This person is similar to the fish trap that catches anything that lives in water, because he also twists any word by speaking fabricated ones in his life. That is why people call him, “the traps twister.”

This saying instills in people an idea of having good manners that enable them to speak their words with great care in their conversations, so that they can raise their families well in their lives.

Romans 12:9-11.

1 Timothy 4:2-3.

 

 

man-5568023_1280

fishermen-83031_1280

africans-3254345__480

1307. GOSHIGANAGA UNG’WANYA GONE.

Imbuki ya kahayile kenako ilolile ng’wanya go ng’wa munhu nebhe. Ung’wanya gunuyo guli nimo ntale uyo oliogupanga munhu gugwita ulu lyushiga ilikanza ilo alihayile. Umunhu ng’wunuyo agibhegelejaga chiza ulu alililindila ilikanza linilo kunguno atogilwe agumale chiza unimo gokwe gunuyo ululyushiga ilikanza lya gugutumama. Hunagwene aho lyashiga ilikanza lya nimo gokwe agayomba giki, “goshiganaga ung’wana gone.”

Akahayile kenako kagalenganijiyagwa kuli munhu uyo agibhegelejaga chiza ugutumama imilimo yakwe umukikalile kakwe. Umunhu ng’wunuyo agikalaga nzuguru matu ulu alina nimo bho gwifuma gugutumama chiza mpaka ogumala kunguno ya bhukamu bho gutumama milimo yakwe yiniyo, umuwikaji bhokwe. Uweyi agasabhaga majikolo mingi aha kaya yakwe kunguno ya bhukamu bhokwe bhunubho ubho gutumama milimo mpaga oimala chiza, umukikalile kakwe.

Umunhu ng’wunuyo, agikolaga nuyo agibhegeleja mpaga ugutumama chiza unimo gokwe, kunguno nuweyi agibhegelejaga ulu alina nimo mpaga ogutumama chiza ululyashiga ilikanza lyago, umuwikaji bhokwe. Hunagwene agayombaga giki, “goshiganaga ung’wanya gone.”

Akahayile kenako kalanga bhanhu higulya ya gubhiza na bhukamu bho gwigulambija guitumama chiza imilimo yabho, kugiki bhadule gupandika matwajo mingi, umuwikaji bhobho bhunubho.

Mathayo 25:1.

Mathayo 22:8-9.

KISWAHILI: UMEFIKA MUDA WA SHUGHULI YANGU.

Chanzo cha msemo huo huangalia shughuli ya mtu fulani. Shughuli hiyo ni kazi kubwa aliyoipanga mtu huyo kuifanya ukifika muda ule alioupanga. Mtu huyo, hujiandaa vizuri anapousubiri muda huo kwa sababu anapenda kuimaliza vizuri shughuli yake hiyo ukifika wakati wake. Ndiyo maana unapofika wakati huo mtu huyo husema, “umefika muda wa shughuli yangu.”

Msemo huo, hulinganishwa kwa mtu yule ambaye hujiandaa vizuri kuyatekeleza majukumu yake, katika maisha yake. Mtu huyo, huwa tayari kuyatekeleza majukumu yake hayo muda ukifika kwa kujitoa vizuri kwa sababu ya bidii yake hiyo ya kufanya kazi zake, maishani mwake. Yeye hutajirika kwa kupata mali nyingi kwenye familia yake, kwa sababu ya bidii yake hiyo ya kuyatekeleza vizuri majukumu yake, katika maisha yake.

Mtu huyo, hufanana na yule aliyejiandaa kuitekeleza kazi yake mpaka akaimaliza vizuri, kwa sababu naye huwa tayari kuyatekeleza majukumu yake vizuri, maishani mwake. Ndiyo maana yeye husema kwamba, “umefika muda wa shughuli yangu.”

Msemo huo, hufundisha watu juu ya kuwa na bidii ya kuyatekeleza majukumu yao vizuri unapofika wakati wake, ili waweze kupata mafanikio mengi, maishani mwao.

Mathayo 25:1.

Mathayo 22:8-9.

ENGLISH: IT IS TIME FOR MY WORK.

The origin of this saying looks at person’s work. Such work was a big cerebration that person has planned to do during the waited time. Such person prepared well when he waited that time because he wanted to finish his work well. That is why when that time came, such person said, “it is time for my work.”

This saying is equated to a person who prepares well enough to carry out his responsibilities in his life. This person is ready to carry out his responsibilities when the time comes by fulfilling it well because of his diligence in doing his work, in his life. He becomes rich by acquiring a lot of wealth in his family, because of his diligence in carrying out his responsibilities well, in his life.

This person resembles the one who prepared to carry out his work until he finishes it well, because he is also ready to carry out his responsibilities well in his life. That is why he says “it is time for my work.”

This proverb teaches people about being diligent enough to fulfill their duties when the time comes, so that they can achieve great success in their lives.

Matthew 25:1.

Matthew 22:8-9.

 

 

carnival-7438638_1280

1306. KIMBA NATUMAME NIMO KI UYO BHAGUTOGILWE ABHANHU.

Olihoyi munhu uyo wikalaga muchalo ja Mangu. Umunhu ng’wunuyo otumamaga milimo chiza aliyo abhanhu bhanduhilija duhu kunguno ya gumonela wilu umubhutumami bhokwe bhunubho. Uweyi agayibhuja nose mabhujo mingi umumiganiko gakwe. Hunagwene agayomba giki, “kimba natumame nimo ki uyo bhadutogilwe abhanhu.”

Akahayile kenako kagalenganijiyagwa kuli munhu uyo agiyumilijaga gutumama milimo yakwe bho nduhu uguidilila imihayo ya bhanhu abho bhaganduhilijaga umubhutumami bhokwe. Umunhu ng’wunuyo, agatumamaga milimo na witegeleja mpaga oyimala chiza bho nduhu uguidilila imihayo ya bhanhu abho bhagayidulihijaga kunguno aidebhile isobho ya milimo yiniyo, umuwikaji bhokwe. Uweyi agapandika sabho ningi umubhutumami bhokwe bhunubho kunguno ya wiyumilija bhokwe ubho guitumama chiza imilimo yakwe yiniyo, umubhutumami bhokwe bhunubho.

Umunhu ung’wunuyo, agikolaga nuyo otumamaga milimo yakwe bho nduhu ugubhadilila abho bhayiduhilijaga, kunguno nuweyi agiyumilijaga gutumama milimo yakwe mpaga oyimala bho nduhu ugubhadilila abho bhagayiduhilijaga umuwikaji bhokwe. Hunagwene agayombaga giki, “kimba natumame nimo ki uyo bhadutogilwe abhanhu.”

Akahayile kenako kalanga bhanhu higulya ya gubhiza na witegeleja bho gwigulambija gutumama milimo yabho iyo igabhinhaga solobho nhale, bho nduhu gudilila mihayo ya bhanhu abho bhagaiduhilijaga, kugiki bhadule gupandika sabho ja gubhambilija ujibheja chiza ikaya jabho, umuwikaji bhobho.

Kutoka 5:9.

Kutoka 18:18.

KISWAHILI: SIJUI NIFANYE KAZI GANI WANAYOIPENDA WATU.

Alikuwepo mtu aliyeishi kwenye kijiji cha Mangu. Mtu huyo, alikuwa akifanya kazi zake vizuri, lakini watu walizidharau tu kwa sababu ya kumuonea wivi katika utumishi wake huo. Mwishowe alijiuliza maswali mengi katika mawazo yake. Ndiyo maana alisema kwamba, “sijui nifanye kazi gani wanayoipenda watu.”

Msemo huo, hulinganishwa kwa mtu yule ambaye huvumilia kufanya kazi zake bila kuyajali maneno ya wale wanaozidharau, katika maisha yake. Mtu huyo, hufanya kazi kwa umakini mpaka anazimaliza vizuri bila kuyajali maneno ya watu wanaozidharau kwa sababu anazielewa faida za kazi hizo, maishani mwake. Yeye hupata mali nyingi katika kazi zake hizo kwa sababu ya uvumilivu wake huo wa kuzitekeleza vizuri kazi zake, maishani mwake.

Mtu huyo, hufanana na yule aliyeendelea kufanya kazi zake bila kuwajali wale waliozidharau, kwa sababu naye huyatekeleza majukumu yake kwa uvumilivu mpaga anayamaliza bila kuwajali wale wanaozidharau, maishani mwake. Ndiyo maana husema kwamba, “sijui nifanye kazi gani wanayoipenda watu.”

Msemo huo hufundisha watu juu ya kuwa na umakini wa kujibidisha kufanya kazi zao zinazowapatia faida kubwa, bila kuyajali maneno ya wale wanaozidharau, ili waweze kupata mali za kutosha kuziendeleza vizuri familia zao, maishani mwao.

Kutoka 5:9.

Kutoka 18:18.

sadness-8083873_1280

ENGLISH: I DO NOT KNOW WHAT KIND OF WORK I SHOULD DO WHICH PEOPLE LIKE.

There was a man who lived in the village of Mangu. Such man did his works well, but people only looked down on him because they were jealous of his service. At the end, he asked himself many questions in his mind. That is why he said, “I do not know what kind of work I should do which people like.”

This saying is equaled to a person who perseveres in doing his work regardless of words of people who despise them in his life. This person works seriously until he finishes his works well without caring about words of people who despise them because of knowing benefits of those works in his life. He gets a lot of wealth in his works because of having strong patience enough to carry out his works well in his life.

This person is similar to the one who continued doing his works without caring about those who despised them, because he also carries out his duties with patience to the point of finishing them without caring about those who despise them, in his life. That is why he says, “I do not know what kind of work I should do which people like.”

This saying imparts in people an idea of being focused on doing their jobs which can bring them great benefits, regardless of words of those who despise them, so that they can get enough assets to support their families in their lifetime.

Exodus 5:9.

Exodus 18:18.

1305. UBHUSAMISAMI UBHUCHA MIDAMU.

Akahayile kenako kahoyelile bhusamisami bho ng’wa munhu uyo bhugang’wenheleja kupandika midamu umuwikaji bhokwe. Umunhu ng’wunuyo omanaga usama umuchalo jakwe oja muchalo jingi, kunguno bhuli kwene ukosamilaga opandikaga midamu umukikalile kakwe. Hunagwene abhanhu bhagang’wila giki, “ubhusamisami ubhucha midamu.”

Akahayile kenako kagalenganijiyagwa kuli munhu uyo agandyaga kutumama milimo yakwe bho nduhu uguyitilia ubhukengeji ubho gudula gung’wambilija uguidebha chiza haho atali uguyandya, umukikalile kakwe. Umunhu ng’wunuyo, agandyaga gutumama nimo gonemela wandya gutumama gungi, nu gwene uduma ugugumala kunguno ya gugaiwa witegeleja bho guitila bhukengeji imilimo yakwe yiniyo, haho atali uguyandya uguitumama umumilimo yakwe yiniyo. Uweyi agakoyiyagwa na makoye ga gugayiwa jiliwa aha kaya yakwe kunguno ya guduma uguimala imilimo iyo agandyaga guitumama bho nduhu gwiteleja chiza, umubhutumami bhokwe bhunubho.

Umunhu ng’wunuyo, agikolaga nuyo osamilaga muchalo bho nduhu ugujitila bhukengeji, ogapandika makoye, kunguno nuweyi agandyaga gutumama milimo yakwe bho nduhu uguitila bhukengeji, oduma uguimala, umuwikaji bhokwe. Hunagwene abhanhu bhagang’wilaga giki, “ubhusamisami ubhucha midamu.”

Akahayile kenako kalanga bhanhu higulya ya gubhiza na witegeleja bho guitilila bhukengeji imilimo yabho ubho gudula gubhambilija uguidebha chiza, haho bhatali uguyandya uguitumama, kugiki bhadule gupandika matwajo mingi umubhutumami bhobho.

Luka 10:7.

1 Mambo ya nyakati 17:5.

KISWAHILI: KUHAMA HAMA UTABEBA MAGUMU.

Msemo huo huongelea uhamaji wa mtu uliyemletea matatizo magumu katika maisha yake. Mtu huyo, alikuwa akihamahama kutoka kwenye kijiji chake kwenda kwenye kijiji kingine kwa sababu ya kuendelea kupata matatizo kila alikohamia. Ndiyo maana watu walimwambia kwamba, “kuhama hama utabeba magumu.”

Msemo huo hulinganishwa kwa mtu yule ambaye huanza kufanya kazi zake bila kuzifanyia utafiti wa kutosha kuzielewa vizuri katika maisha yake. Mtu huyo, huanza kufanya kazi ambazo hushindwa kuzimaliza kwa sababu ya kukosa umakini wa kuzifanyia utafiti kwanza kabla ya kuzianza, katika utekelezaji wa majumu yake hayo. Yeye husumbuliwa na matatizo ya kukosa chakula katika familia yake, kwa sababu ya kushindwa kuzimaliza kazi ambazo huzianza kuzifanya bila kuzifanyia utafiti, maishani mwake.

Mtu huyo, hufanana na yule aliyehamia kwenye kijiji bila kufanya utafiti akapata matatizo, kwa sababu naye huanza kuzifanya kazi zake bila kuzifanyia utafiti wa kutosha kuzielewa vizuri, maishani mwake.  Ndiyo maana watu humwambia kwamba, “kuhama hama utabeba magumu.”

Msemo huo, hufundisha watu juu ya kuwa na umakini wa kuzifanyia utafiti kazi zao ule wa kutosha kuzielewa vizuri, ili waweze kupata mafanikio ya kuziendeleza vizuri, familia zao, maishani mwake.

Luka 10:7.

1 Mambo ya nyakati 17:5.

ENGLISH: MOVING FROM PLACE TO ANOTHER WILL CARRY HARDSHIPS.

This saying parleys about movements of a person that brought him difficult hitches in his life. There a man who moved from his village to another one because of facing glitches wherever he moved to. That is why people told him that “moving from place to another will carry hardships.”

This saying is likened to a person who starts doing works without doing good research enough to understand them well in his life. This person starts doing tasks that he fails to finish because lacking good attention enough to research them first before starting them in his life. He suffers from famine hitches in his family, because of inability to finish the tasks that he starts doing without researching them in his life.

This person resembles the one who moved from one village to another without doing research which brought him glitches, because he also starts doing his work without doing good research enough to understand it well in his life. That is why people tell him that, “moving from place to another will carry hardships.”

This saying teaches people about being attentive to research their jobs well for understanding before starting them, so that they can get success in their families.

Luke 10:7.

1 Chronicles 17:5.

 

animals-4606461_1280

africa-139343_1280

woman-4707174_1280