1432. OCHING’WA DUSHI HANGONGO.

Aho kale bhalihoyi bhanhu abho bhagandya gusola si ya bhichabho bho nguzu. Abhananzengo bhagandya bhulugu bho gubhalasa masonga abhanishi bhabho bhenabho mpaga bhubhahebha kunguno ya bhumani bhobho ubho gubhalasa masonga. Abho bhahewa abhanishi bhenabho bhagayuja umo ugalaswa isonga hangongo. Hunagwene bhagahaya giki, “oching’wa dushi hangongo.”

Akahayile kenako kagalenganijiyagwa kuli munhu uyo agasolaga jikolo ja bhanhu bho nguzu, umukikalile kakwe. Umunhu ng’wunuyo, agasolaga jikolo ja bhiye bho nguvu mpaka wikenya nabhiniki jikolo kunguno ya bhuvamiji bhokwe ubho gutumila nguzu bhunubho, umuwikaji bhokwe. Uweyi agatulagwa mpaga uminyiwa na bhinikili jikolo kunguno ya gusola jikolo jabho bho gutumila nguzu chiniko, umukikalile kakwe kenako.

Umunhu ng’wunuyo, agikolaga nabho bhagasola si ya bhichabho bho gutumila nguzu mpaka bhulaswa masongwa, kunguno nuweyi agasolaga jikolo ja bhiye bho nguzu, mpaga aminyiwa na bhinikili jikolo, umuwikaji bhokwe bhunubho. Hunagwene abhanhu bhagang’wilaga giki, “oching’wa dushi hangango.”

Akahayile kenako kalanga bhanhu higulya ya kuleka kusola sabho ja bhichacho bho gwigulambilaja gutumama milimo yabho chiza, kugiki bhadule gujibheja chiza ikaya jabho, umuwikaji bhobho bhunubho.

Isaya 22:3.

Zaburi 78:9.

KISWAHILI: AMECHOMWA MSHALE MGONGONI.

Hapo zamani walikuwepo watu waliochukua ardhi ya wenzao kwa nguvu. Wananchi hao walioanza vita kwa kuwapiga mishale hao maadui waliovamia ardhi yao mpaka wakawashinda kwa sababu ya ufundi wao wa kutumia mishale. Wao waliwashinda maadui hao kwa kuwapiga mshale mgongoni kila mmoja. Ndiyo maana walisema kwamba, “amechomwa mshale mgongoni.”

Msemo huo, hulinganishwa kwa mtu yule ambaye huchukua vitu wa watu kwa mguvu, katika maisha yake. Mtu huyo, huvamia na kuchukua vitu vya watu kwa kutumia nguvu hivyo, mpaka anagombana na wenye mali hizo, kwa sababu ya uvamizi wake huo wa kutumia nguvu, maishani mwake. Yeye upigwa na wenye mali mpaka anaumizwa kwa sababu ya tabia yake hiyo kuchukua mali za watu kwa nguvu, katika maisha yake hayo.

Mtu huyo, hufanana na wale waliochukuwa ardhi ya wenzao kwa kutumia nguvu mpaka wakapigwa mishale, kwa sababu naye hukuchua vitu vya watu kwa nguvu mpaka anaumizwa na wenye mali, maishani mwake. Ndiyo maana watu humwambia kwamba, “amechomwa mshale mgongoni.”

Msemo huo, hufundisha watu juu ya kuachana na tabia ya kuchukua mali za wenzao kwa kujibidisha kufanya kazi zao vizuri, ili waweze kuziendeleza vizuri familia zao, maishani mwao.

Isaya 22:3.

Zaburi 78:9.

ENGLISH: EVEN THOUGH YOU GROW LONG HAIR.

Once upon a time there was a man who grew long hair on his head. Such man despised an old man and a woman who had lived for many years because of his long hairs. He lacked an attention to understand that elders had seen many decent and evil deeds in their lives. That is why the elders told him that, “even though you grow long hair.”

This saying is equaled to a person who despises his elders in his life. This person thinks that he knows more by not listening to his elders when they give him good upbringing to live well with people, because of his contempt, in his life. He lacks an upbringing to take decent care of his family because of his contempt for his elders, in his life.

This person is like the one who grew long hair and despised his elders, because he also despises his elders for not listening to their upbringing, in his life. That is why his elders tell him that, “even though you grow long hair.”

This saying imparts in people an idea of stopping to despise their elders by listening carefully to their upbringing, so that they can raise their families well, throughout their lives.

Joshua Bin Sira 8:6.

Leave a comment

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.