Imbuki ya kahayile kenako ihoyelile mbiti. Imbiti yiniyo ili ndimu ng’hub’u gete ugulya inama kunguno yigitaga lusona uluyuyibhona inama yiniyo. Iyoyi igasiminzaga mabala na mabala igujaga yuchola nama kunguno ya bhutubhu bhoyo bhunubho. Hunagwene abhanhu bhagayitanaga giki “lusona lo mbiti.”
Akahayile kenako kagalenganijiyagwa kuli munhu uyo alinaku o nama umukikalile kakwe kenako. Umunhu ng’wunuyo agikalaga uchola nama mu makaya ga bhanhu abho abhazugaga nama kunguno ya bhulaku bhokwe bhunubho umuwikaji bhokwe bhunubho. Uweyi agadumaga uguyibheja chiza ikaya yakwe kunguno ya bhulaku bhokwe ubho gumana uchola nama mumakaya ga bhanhu mpaka oileka imilimo ya ha kaya yakwe yiniyo, umukikalile kakwe kenako.
Umunhu ng’wunuyo agikolaga ni mbiti iyo igacholaga nama bho guyela mumabala mingi, kunguno nuweyi agacholaga nama mu makaya ga bhanhu mpaga oduma uguyibheja chiza ikaya yakwe umuwikaji bhokwe bhunubho. Hunagwene abhanhu bhagang’witanaga giki, “lusona lo mbiti.”
Akahayile kenako kalanga bhanhu higulya ya kuleka bhulaku bho gulya majiliwa bho gwigulambija gutumama milimo yabho chiza, kugiki bhadule gupandika matwajo mingi umukaya jabho jinijo, umuwikaji bhobho.
Waefeso 5:21.
Wakolosai 3:18.
KISWAHILI: UDELELE WA FISI.
Chanzo cha msemo huo huongelea fisi. Fisi huyo ni mnyama mlafi wa kula nyama kwa sababu humwaga udelele anapoiona nyama hizo. Yeye hutembea sehemu mbali mbali akitafuta nyama kwa sababu ya ulafi wake huo. Ndiyo maana watu humwita jina la “udelele wa fisi.”
Msemo huo hulinganishwa kwa mtu yule ambaye ni mlafi wa kula nyama katika maisha yake. Mtu huyo hutafuta nyama kwenye familia za watu walioipika nyama hiyo kwa sababu ya ulafi wake huo maishani mwake. Yeye hushindwa kuiendeleza vizuri familia yake kwa sababu ya ulafi wake huo wa kutumia muda wake kwa kutafuta nyama kwenye familia za watu wanaoipika, katika maisha yake hayo.
Mtu huyo hufanana na yule fisi anayetafuta nyama za kula kwa kutembea sehemu mbalimbali, kwa sababu naye hutafuta nyama kwenye familia za watu mpaka anashindwa kuiendeleza vizuri familia yake, maishani mwake. Ndiyo maana watu humuita jina la “udelele wa fisi.”
Msemo huo hufundisha watu juu ya kuacha ulafi wa chakula kwa kujibidisha kufanya kazi zao vizuri ili waweze kupata mafanikio mengi kwenye familia zao, maishani mwake.
Waefeso 5:21.
Wakolosai 3:18.
ENGLISH: HYENAS’ SALIVATING.
The source of this saying is about hyenas. Hyenas are voracious carnivores because they salivate when they see meat. They travel to different places looking for meat because of their greediness. That is why people call them as “Hyenas’ salivating.”
This saying is equaled to a person who is a voracious in his life. This person looks for meat in families of people who cook it because of his gluttony in his life. He fails to properly support his family because of his voraciousness in spending his time looking for meat in the families of people who cook it, in his life.
This person resembles the hyena which looks for meat to eat by walking to different places, because he also looks for meat in people’s families until he fails to properly support his family, in his life. That is why people call him as “Hyenas’ salivating.”
This saying teaches people about stopping gluttony by working hard enough to nicely do their jobs so that they can achieve great success in their family lives.
Ephesians 5:21.
Colossians 3:18.

