1421. ULI NUMA GUTI NKILA GO MBULI.

Imbuki ya kahayile kenako ihoyile nkila go mbuli. Imbuli guli ntugo uyo guli na kandila kadoo ukunuma. Giko lulu uluyusinzwa abhanhu b’agikalaga bhadatogilwe ugulya ungila gunuyo kunguno guli gudoo na hangi gudina na nama. Hunagwene abhanhu bhagang’wilaga umunhu uyo adinasolobho giki, “uli numa giti nkila go mbuli.”

Akahayile kenako kagalenganijiyagwa kuli munhu uyo agabhasekaga abhanhu abho bhadina jikolo, umukikalile kakwe. Umunhu ng’wunuyo, agikalaga abhabyedile abhanhu abho bhadina sabho bho gubhaseka kunguno ya bhudoshi bhokwe bhunubho, umuwikaji bhokwe. Uweyi agagayiyagwa imbango ja gwikala na bhuyegi aha kaya yakwe kunguno ya bhodoshi bhokwe bhunubho ubho gubhaseka abhahab’i, umukikalile kakwe kenako.

Umunhu ng’wunuyo, agikolaga nabho bhagansega umunhu uyo oliadina solobho ukubhoyi, kunguno nuweyi agabhasekaga abhahab’i mpaka ogayiwa imbango ja gwikala na bhuyegi aha kaya yakwe yiniyo, umuwikaji bhokwe bhunubho. Hunagwene agabhawilaga abhahab’i giki, “uli numa giki nkila go mbuli.”

Akahayile kenako kalanga bhanhu higulya guleka nhungwa ja gubhaseka abhanhu abho bhadina jikolo bho gubhambilija chiza, kugiki bhadule gupandika mbango ja gwikala na bhuyegi umukaya jabho jinijo, umuwikaji bhobho bhunubho.

Luka 16:19 – 28.

Zaburi 82:3.

KISWASHILI: UKO NYUMA KAMA MKIA WA MBUZI.

Chanzo cha msemo huo huongelea mkia wa mbuzi. Mbuzi ni mfugo ambayo huna ka mkia kadogo nyuma. Hivyo basi mbuzi huyo akichinjwa watu huwa hawapendi kula mkia huo kwa sababu ni mdogo na hauna nyama. Ndiyo maana watu humwambia mtu asiye na faida kwamba, “uko nyuma kama mkia wa mbuzi.”

Msemo huo hulinganishwa kwa mtu yule ambaye huwacheka watu wasio na mali katika maisha yake. Mtu huyo, huwadharau watu maskini kwa kuwacheka kwa sababu ya majivuno yakwe hayo maishani mwake. Yeye hukosa baraka za kuishi kwa furaha katika familia yake hiyo kwa sababu ya majivuno yake hayo ya kuwacheka watu maskini, katika maisha yake hayo.

Mtu huyo hufanana na wale waliomcheka yule ambaye walimuona hana faida kwao, kwa sababu naye huwacheka watu maskini mpaka anakosa baraka za kuishi kwa furaha katika familia yake hiyo, maishani mwake. Ndiyo maana yeye humwambia mtu maskini kwamba, “uko nyuma kama mkia wa mbuzi.”

Msemo huo hufundisha watu juu ya kuacha tabia ya kuwacheka watu maskini kwa kuwasaidia vizuri, ili waweze kupata baraka za kuishi kwa furaha katika familia zao hizo, maishani mwao.

Luka 16:19 – 28.

Zaburi 82:3.

ENGLISH: YOU ARE BACK LIKE GOAT’S TAIL.

An origin of this saying refers to a tail of a goat. A goat is an animal that has a small tail on the back. Therefore, when this animal is slaughtered, people do not like to eat such tail because it is small and has no meat. That is why people say to a person who is not profitable that, “you are back like goat’s tail.”

This saying is matched to a person who laughs at people who have no money in his life. Such person despises poor people by laughing at them because of his arrogance in his life. He misses sanctification of living happily in his family because of his egotism of laughing at poor people, in his life.

This person is like those who laughed at the one whom they saw as useless to them, because he also laughs at poor people to the point of missing approvals of living happily in his family life. That is why he says to a poor person that, “you are back like goat’s tail.”

This adage imparts in people an idea of stopping habit of laughing at the poor people by nicely helping them, so that they can receive sanctification of living happily in their family lives.

Luke 16:19 – 28.

Psalm 82:3.

Leave a comment

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.