1411. KALAGU – KIZE. OSIMINZA NOYI ALIYO ADULAB’ULAGA

Ikalagu yiniyo ihoyelile bhuhumi bho mongo. Umongo gunuyo gugahumaga bho guja bhutongi duhu kunguno gugafumilaga ku nima gujile kuntelemko. Ugoyi gudashokaga inuma kunguno aminzi gago gagahumaga bho gwika hasilili idi bho gulinha higulya. Hunagwene abhanhu bhagiganilaga giki, “osiminza noyi aliyo adulab’ulaga – Mongo.”

Ikalagu yiniyo, igalenganijiyagwa kuli munhu uyo agagadimilaga chiza amalagilo ga bhatale bhakwe, umukikalile kakwe. Umunhu ng’wunuyo agagikalanaga amalagilo genayo bho gubhalanga abhanhu bhakwe gwikala chiza na bhichabho, kunguno ya bhutungilija bhokwe bhunubho, umuwikaji bhokwe. Uweyi agikalaga na bhuyegi bhutale aha kaya yakwe kunguno ya bhutungilija bhokwe bhunubho ubho gugikalana chiza amalagilo ga bhatale bhakwe bhenabho umukikalile kakwe kenako.

Umunhu ng’wunuyo, agikolaga numongo uyo gugajaga bhutongi bho nduhu ugushoka inuma, kunguno nuweyi agagikalanaga chiza amalagilo ga bhatale bhakwe umuwikaji bhokwe. Hunagwene abhanhu bhagang’wilaga giki, “osiminza noyi aliyo adulab’ulaga – Mongo.”

Ikalagu yiniyo, yalanga bhanhu higulya ya gub’iza na bhutungilija bho gugadimila chiza amalagilo ga ng’wa Umulungu, kugiki bhadule kupandika mpango ya gwikala na bhuyegi bho gubhashisha Ng’wigulu, umuwikaji bhobho bhunubho.

Nehemia 9:13-14.

Mithali 13:13.

Mhubiri 8:5.

Yohana 14:15.

KISWAHILI: KITENDAWILI – TEGA.

AMETEMBEA MNO LAKINI HAANGALII NYUMA – MTO.

Kitendawali hicho huongelea uendaji wa maji ya mto. Maji hayo ya mto huenda mbele tu kwa sababu ya kutokea mlimani kuelekea mtelemkoni. Yenyewe huwa hayarudi nyuma kwa sababu yanatokea mlimani kushuka chiza, siyo kupanda juu. Ndiyo maana watu huhadithiana kwamba, “ametembea mno lakini haangalii nyuma – mto.”

Kitendawili hicho hulinganishwa kwa mtu yule ambaye huyaiishi vizuri maagizo ya wakubwa wake, katika maisha yake. Mtu huyo, huyaishi maagizo hayo ya wakubwa wake kwa kuwafundisha watu wake namna ya kuishi vizuri na wenzao, kwa sababu ya uaminifu wake huo, maishani mwake. Yeye huishi kwa furaha kubwa katika familia yake kwa sababu ya uaminifu wake huo wa kuyaishi vizuri maagizo hayo ya wakubwa wake, katika maisha yake hayo.

Mtu huyo, hufanana na yale maji yaendayo mbele bila kurudi nyuma, kwa sababu naye huyaishi vizuri maagizo ya wakubwa wake, maishani mwake. Ndiyo maana watu humwambia kwamba, “ametembea mno lakini haangalii nyuma – mto.”

Kitendawili hicho, hufundisha watu juu ya kuwa na uaminifu wa kuyaishi vizuri maagizo ya Mungu, ili waweze kupata Baraka za kuishi kwa furaha ya kuwafikisha Mbinguni.

Nehemia 9:13-14.

Mithali 13:13.

Mhubiri 8:5.

Yohana 14:15.

ENGLISH: I HAVE A RIDDLE – LET IT COME.

HE HAS WALKED A LOT BUT HE DOESN’T LOOK BACK – A RIVER.

This riddle talks about a movement of river water. This river water only moves forward because it comes from the mountain towards the slope. It itself never goes back because it comes from the mountain going down, not upwards. That is why people say that, “he has walked a lot but he does not look back – a river.”

This riddle is compared to a person who lives by observing instructions of his superiors in his life. This person puts into practices instructions of his superiors by teaching his people how to live well with their family members, because of his loyalty in life. He lives with great happiness in his family because of his loyalty to nicely living within the instructions of elders in his life.

This person is like that river water which moves forward without going back, because he also lives well the instructions of his directors in his life. That is why people say to him that, “He has walked far but he does not look back – a river.”

This riddle teaches people about being faithful enough to nicely live according to God’s commandments, so that they can receive blessings of living happily to the point of entering Heaven.

Nehemiah 9:13-14.

Proverbs 13:13.

Ecclesiastes 8:5.

John 14:15.

Leave a comment

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.