Imbuki ya kahayile kenako ihoyelile bhushekanya bho kalimilile ka ngese ka ng’wa munhu nhebhe. Umunhu ng’wunuyo, uilimilaga ingese ya ngunda gokwe chiza bho nduhu ugufigila amaswa kunguno oliatogilwe giki unimo gokwe guje chiza. Hunagwene oyombaga giki, “mpaga nasheganye.”
Akahayile kenako kagalenganijiyagwa kuli munhu uyo alina witegeleja bho guitumama chiza imilimo yakwe, umuwikaji bhokwe. Umunhu ng’wunuyo, agabhalangaga abhanhu bhakwe gutumama chiza imilimo yabho bho guitumama jelwa ng’holo imilimo yakwe, umuwikaji bhokwe. Uweyi agasabhaga sabho ningi noyi aha kaya yake kunguno ya guitumama bho jelwa ng’holo imilimo yakwe yiniyo, umukikalile kakwe.
Umunhu ng’wunuyo, agikolaga nuyo oilimilaga chiza ingese yakwe, kunguno nuweyi agaitumamaga bho jelwa ng’holo imilimo yakwe mpaga opandika sabho ningi aha kaya yakwe yiniyo, umuwikaji bhokwe. Hunagwene agayombaga giki, “mpaga nasheganye.”
Akahayile kenako kalanga bhanhu higulya ya gubhiza na witegeleja bho guitumama jelwa ng’holo imilimo yabho, kugiki bhadule gupandika sabho ningi umukaya jabho, umuwikaji bhobho bhunubho.
Mithali 10:4.
Mithali 11:27.
Luka 15:8.
Waebrania 12:14.
KISWAHILI: MPAKA NIHAKIKISHE.
Chanzo cha msemo huo huongelea upaliliaji mzuri wa palizi aliokuwa nao mtu fulani. Mtu huyo alilipalia shamba lake vizuri bila ya kufukia majani kwa sababu alitaka kwamba kazi yake hiyo iende vizuri. Ndiyo maana alisema kwamba, “mpaka nihakikishe.”
Msemo huo hulinganishwa kwa mtu yule ambaye ana umakini wa kuyatekeleza vizuri majukumu yake, katika maisha yake. Mtu huyo, huwafundisha watu wake kufanya kazi vizuri kwa kuyatekeleza kiaminifu majukumu yake kwa sababu ya umakini wake huo maishani mwake. Yeye hutajirika sana katika familia yake hiyo kwa sababu ya umakini wake huo wa kutekeleza majukumu yake kwa uaminifu, katika maisha yake hayo.
Mtu huyo, hufanana na yule aliyeipalilia vizuri palizi ya shamba lake, kwa sababu naye huyatekeleza majukumu yakwe kwa uaminifu mpaga anatajirika katika familia yake, maishani mwake. Ndiyo maana husema kwamba, “mpaka nihakikishe.”
Msemo huo hufundisha watu juu ya kuwa na umakini wa kuyatekeleza kiaminifu majukumu yao, ili waweze kupata mafanikio ya kuwa na mali nyingi, katika familia zao, maishani mwao.
Mithali 10:4.
Mithali 11:27.
Luka 15:8.
Waebrania 12:14.
ENGLISH: UNTIL I MAKE SURE.
The origin of this saying refers to the good weeding that a person had. This person weeded his field well without covering it with leaves because he wanted his work to nicely go. That is why he said that, “Until I make sure.”
This saying is equated to a person who is attentive to carrying out his duties well, in his life. Such person teaches his people to work well by faithfully carrying out his duties because of his attentiveness in his life. He becomes very rich in his family because of his attentiveness in carrying out his duties faithfully, in his life.
This person is like the one who weeded his field well, because he also faithfully carries out his duties to the point of becoming rich in his family, in his life. That is why he says that, “Until I make sure.”
This proverb imparts in people an idea of being careful to faithfully fulfill their duties, so that they can achieve success in having various possessions in their family lives.
Proverbs 10:4.
Proverbs 11:27.
Luke 15:8.
Hebrews 12:14.



