1401. UMUNHU UYU ALINGONGOJI NG’WIZA.

Akahayile kenako kanhoyelile munhu uyo olinhingi o mbina. Unhingi ng’wunuyo oliagutogilwe noyi unimo gokwe kunguno obhagongolaga chiza mpaga bhayega abhanhu abho bhang’witanaga umumilimo yabho. Hunagwene abhanhu bhenabho bhagayomba giki, “umunhu uyu alingongoji ng’wiza.”

Akahayile kenako kagalenganijiyagwa kuli munhu uyo ayidilille bho guitumama chiza ilimimo yakwe umukikalile kakwe. Umunhu ung’wunuyo, agabhalangaga milimo abhanhu bhakwe bho gushiga wangu aha milimo yiniyo na gwigulambija guitumama chiza kunguno ya bhukalalwa bho guidilila chiza ilimilimo yakwe yiniyo, umuwikaji bhokwe. Uweyi agapandikaga sabho ningi aha kaya yakwe kunguno ya gubhalanga gutumama milimo abhanhu bhakwe bho guidilila chiza, umukikalile kakwe kenako.

Umunhu ng’wunuyo agikolaga nu ningi ombina uyo ogutumamaga chiza unimo gokwe bho gubhagongola chiza abhanhu abho bhang’witanaga ukumilimo yabho kunguno nuweyi agabhalangaga abhanhu bhakwe milimo bho gwigulambija guitumama chiza, umuwikaji bhokwe bhunubho. Hunagwene abhanhu bhagayombaga giki, “umunhu uyu alingongoji ng’wiza.”

Akahayile kenako kalanga bhanhu higulya ya guyidilila milimo yabho bho gwigulambija guitumama chiza, kugiki bhadule gupandika matwajo mingi umukaya jabho jinijo, umuwikaji bhobho.

Mhubiri 3:13.

Warumi 6:1.

1 Wakorintho 12:28.

1 Wakorintho 7:7.

1 Wakorintho 12:4.

1 Wakorintho 12:9.

KISWAHILI: MTU HUYU NI FANANI MZURI.

Msemo huo humuongelea mtu aliyekuwa fanani ambaye ni kiongozi wa kikundi cha ngoma. Fanani huyo aliipenda sana kazi yake kwa sababu aliwapamba kwa kuwaimbia nyimbo nzuri watu waliomwalika kwenye shughuli zao mpaka waliifurahia kazi yake hiyo. Ndiyo maana walisema kwamba, “mtu huyu ni fanani mzuri.”

Msemo huo, hulinganiswa kwa mtu yule ambaye huijali kwa kuitekeleza vizuri kazi yake, katika maisha yake. Mtu huyo, huwafundisha kazi watu wake kwa  kuwahi kwenda kazini na kujibidisha kuitekeleza vizuri kwa sababu ya kuipenda kazi hiyo kwa kuijali vizuri, maishani mwake. Yeye hupata mali nyingi katika familia yake hiyo kwa sababu ya kuwafundisha watu wake kazi kwa kuijali vizuri hivyo, katika maisha yake hayo.

Mtu huyo, hufanana na yule kiongozi wa kikundi cha ngoma aliyewapamba kwa kuwaimbia nyimbo nzuri watu waliomwalika kwenye sherehe zao, kwa sababu naye huwafundisha kazi watu wake kwa kujibidisha kuitekeleza vizuri, maishani mwake. Ndiyo maana watu husema kwamba, “mtu huyu ni fanani mzuri.”

Msemo huo hufundisha watu juu ya kuzijali vizuri kazi zao kwa kujibidisha kuzitekeleza vizuri, ili waweze kupata mafanikio mengi, katika familia zao, maishani mwao.

Mhubiri 3:13.

Warumi 6:1.

1 Wakorintho 12:28.

1 Wakorintho 7:7.

1 Wakorintho 12:4.

1 Wakorintho 12:9.

ENGLISH: THIS MAN IS A GOOD DANCER.

This proverb refers to a person who was a dancer who and leader of a dance group. This ballerina esteemed his job so much because he adorned people who invited him to their events by singing beautiful songs until they enjoyed his work. That is why they said, “This man is a good dancer.”

This proverb is related to a person who cares about his work by doing it well, in his life. This person teaches his people his exertions by going to work and working hard enough to do it well because he likes job by caring about it well, in his life. He earns a lot of wealth in his family because of teaching his people jobs by caring about them well, in his life.

This person is like the leader of a dance group who adorned people who invited him to their events by singing beautiful songs, because he also teaches his people on how to how work by working hard in his life. That is why people say that, “This man is a good dancer.”

This proverb imparts in people an idea of taking decent care of their works by working hard, so that they can achieve great success, in their families in all days of their lives.

Ecclesiastes 3:13.

Romans 6:1.

1 Corinthians 12:28.

1 Corinthians 7:7.

1 Corinthians 12:4.

1 Corinthians 12:9.

Leave a comment

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.