Akahayile kenako kanhoyelile munhu uyo wikalaga na jilanga ijo oliajisanije gete umukikalile kakwe. Umunhu ng’wunuyo wikalaga na ngong’ho, lushu, ichimu, mbasa, bhuta na masonga. Ijilanga jinijo, oliajisanije noyi kunguno jangunanaga ukubhukinda ubhulugu. Hunagwene oyombaga giki, “nene nalinajo ijilanga.”
Akahayile kenako kagalenganijiyagwa kuli munhu uyo ang’wisanije Mulungu umukikalile kakwe. Umunhu ng’wunuyo, aganombaga Mulungu ulu opandikaga makoye kunguno abhudebhile ubhutale bho bhudula bhokwe uMulungu, umuwikaji bhokwe. Uweyi agakindaga bhuli bhulugu aha kaya yakwe kunguno ya bhudula bho ng’wa Mulungu uyo ang’wisanije, umuwikaji bhokwe bhunubho.
Umunhu ng’wunuyo, agikolaga nuyo wikalaga na jilanga ijo oliajisanije umubhulugu, kunguno nuweyi aganombaga Mulungu uyo ang’wisanije ulu opandikaga bhulugu umuwikaji bhokwe bhunubho. Hunagwene agayombaga giki, “nene nalinajo ijilanga.”
Akahayile kenako kalanga bhanhu higulya ya gujitumamila ijilanga jabho bho gung’wisanya Mulungu, kugiki bhadule kubhukinda ubhulugu na gupandika matwajo mingi gagubhashisha Ng’wiguru.
Hesabu 32:17.
2 Samweli 15:15.
KISWAHILI: MIMI NINAZO SILAHA.
Msemo huo humwongelea mtu aliyekuwa na silaha alizozitegemea sana katika maisha yake. Mtu huyo, alikuwa na bunduki, kisu, mkuki, shoka, upinde na mishare. Silaha hizo, alizitegemea sana kwa sababu zilizimsaidia kushinda vita. Ndiyo maana alisema kwamba, “mimi ninazo silaha.”
Msemo huo hulinganishwa kwa mtu yule amtegemeae Mungu katika maisha yake. Mtu huyo, humuomba Mungu anapokumbana na matatizo kwa sababu anauelewa uwezo wake Mungu ambao ni mkubwa, maishani mwake. Yeye hushinda kila vita katika familia yake kwa sababu ya kuutegemea uwezo huo mkubwa wa Mungu, katika maisha yake.
Mtu huyo hufanana na yule aliyezitegemea silaha zake katika vita, kwa sababu naye humuomba Mungu anayemtegemea anapopata vita maishani mwake. Ndiyo maana yeye husema kwamba, “mimi ninazo silaha.”
Msemo huo, hufundisha watu juu ya kuvitumia silaha zao katika kutatua matatizo yao kwa kumtegemea Mungu, ili waweze kupata mafanikio mengi maishani na kufika Mbinguni.
Hesabu 32:17.
2 Samweli 15:15.
ENGLISH: I HAVE WEAPONS.
This saying refers to a person who had weapons that he relied on a lot in his life. This person had a gun, a knife, a spear, an axe, a bow and arrows. He relied on those weapons because they helped him enough to win wars. That is why he said that, “I have weapons.”
This saying is equated to a person who relies on God in his life. Such person prays to God when he encounters difficulties because he understands God’s power which is great, in his life. He wins every battle in his family because of relying on that great power of God, in his life.
This person is like the one who relied on his weapons enough to win in wars, because he also prays to God whom he relies on when he finds a battle in his life. That is why he says, “I have weapons.”
This saying teaches people about using their weapons enough to solve their hitches by relying on God, so that they can achieve great success in life to the point of reaching Heaven.
Numbers 32:17.
2 Samuel 15:15.


