1382. MBALU MAHULE LYADULYA MANG’OMBE.

Olihoyi munhu uyo atumamaga nimo gokwe uyo wikalaga muchalo jilebhe. Umunhu ng’wunuyo oliagutoliwe noyi unimo gokwe gunuyo kunguno goli na solobho nhale noyi umuwikaji bhokwe. Aliyo lulu uweyi agawilwa giki aguleke ugugutumama unimo gunuyo ulema bho gwilahila kunguno goli na sabho ningi umuwikaji bhokwe. Hunagwene agayomba giki, “mbalu mahule lyadulya mang’ombe.”

Akahayile kenako kagalenganijiyagwa kuli nzunya uyo alemile ugugulema unimo gogusalila, umukikalile kakwe. Unzunya ng’wunuyo, agagikalanaga chiza amalagilo ga ng’wa Sebha, kunguno antogilwe noyi UYesu, umuwikaji bhokwe bhunubho. Uweyi agapandikaga mbango ningi noyi umubhuzunya bhokwe kunguno ya gugikalana chiza amalagilo ga ng’wa Sebha umukikalile kakwe kenako.

Unzunya ng’wunuyo, agikolaga nuyo agalema uguguleka unimo gokwe uyo oliagutoliwe noyi, kunguno nuweyi alemile uguguleka unimo gokwe ugo bhuzunya  uyo agutogilwe bho gugikalana chiza amalagilo ga ng’wa Sebha, umuwikaji bhokwe bhunubho. Hunagwene agilahilaga giki, “mbalu mahule lyadulya mang’ombe.”

Akahayile kenako kabhalanga bhazunya higulya ya gugudimila chiza unimo gunuyo bho gugikalana chiza amalagilo ga ng’wa Sebha, kugiki bhadule gupandika mbango ja gubhashisha Ng’wigulu.

Wakolosai 3:1-4.

KISWAHILI: MBALU MAHULE IMETUGHARIMU NG’OMBE.

Alikuwepo mtu aliyekuwa anafanya kazi yake aliyekuwa akiishi katika kijiji fulani. Mtu huyo, aliipenda sana kazi yake hiyo kwa sababu ilikuwa na faida kubwa sana maishani mwake.

Lakini yeye aliambiwa kwamba aache kuitekeleza kazi hiyo akakataa kwa kuapa kwa sababu ameigharimia ng’ombe kuipata kazi hiyo. Ndiyo maana alisema kwamba, “mbalu Mahule imetugharimu ng’ombe.”

Msemo huo hulinganishwa kwa mkristo ambaye hataki kuiacha kazi yake ya kusali, katika maisha yake. Mkristo huyo, huyaishi vizuri maagizo ya Bwana kwa sababu anampenda sana Yesu, maishani mwake. Yeye hupata Baraka nyingi sana katika ukristo wake kwa sababu ya kuyaishi vizuri maagizo ya Bwana katika maisha yake.

Mkristo huyo, hufanana na yule aliyekataa kuiacha kazi yake aliyoipenda sana, kwa sababu naye hukataa kuuacha ukristo anaopenda sana, kwa kuyaishi maagizo ya Bwana, maishani mwake. Ndiyo maana huapa kwa kusemakwamba, “mbalu Mahule imetugharimu ng’ombe.”

Msemo huo, hufundisha wakristo juu ya kuiishi kazi hiyo kwa kuyaishi maagizo ya Bwana, maishani mwao, ili waweze kupata Baraka za kuwafikisha Mbinguni.

Wakolosai 3:1-4.

ENGLISH: MBALU MAHULE IT HAS COSTED US A COW.

There was a man who was working and living in Sanjo village. Such man valued his job so much because it was accordingly profitable in his life.

But he was told to stop doing such job. He refused by swearing because he had cost a cow to get it. That is why he said that, “Mbalu Mahule it has costed us a cow.”

This saying is likened to a Christian who does not want to leave his work of prayer, in his life. Such Christian lives well the commandments of the Lord because he loves Jesus very much, in his life. He receives a lot of blessings in his Christianity because of living well the commandments of the Lord in his life.

This Christian resembles the one who refused to leave his job that he valued so much, because he also refuses to leave the Christianity that he likes so much, by living according to the commandments of the Lord, in his life. That is why he swears by saying that, “Mbalu Mahule it has costed us a cow.”

This saying imparts in Christians an idea living according to the Lord’s instructions in their lives, so that they can receive blessings that will take them to Heaven.

Colossians 3:1-4.

Leave a comment

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.