1380. NALIB’ACHA NANE.

Imbuki ya kahayile kenako ihoyelile bhubhacha bho moto bho ng’wa munhu nhebhe. Umunhu ng’wunuyo olinabhiye abho bhabhachaga moto goguzugila jiliwa bhuli ng’wene ulu lyashiga ilikanza lyakwe, kunguno unimo gunuyo golechaga bhukuji bho ng’wa munhu. Hunagwene aho ogubhacha umoto umunhu ng’wunuyo agayomba giki, “nalib’acha nane.”

Akahayile kenako kagalenganijiyagwa kuli munhu uyo winhagwa liko na bhabyaji bhakwe umukikalile kakwe. Umunhu ng’wunuyo, aginhagwa liko na bhabyaji bhakwe ulu utola na gwizugila liko lwakwe kunguno obhejaga kaya iyo bhaguyuja abhanhu bhagazugilwa jiliwa bhalya hoyi, umuwikaji bhokwe. Uweyi agabheja kaya ya guyubhalanga abhanhu bhakwe lilange lya wiza kunguno ya wizanholo bhokwe bhunubho ubho olangwa na bhabyaji bhakwe.

Umunhu ng’wunuyo, agikolaga nuyo agabhacha moto go guzugila jiliwa ja gulya abhanhu, kunguno nuweyi agabhejaga kaya ya guyubhazugila jiliwa bhalya abhanhu ulu bhajaga hoyi, umuwikaji bhokwe. Hunagwene agayombaga giki, “nalib’acha nane.”

Akahayile kenako kalanga bhanhu higulya ya gubhalanga abhichabho wizanholo bho gubhagalila jiliwa jawiza abhageni bhabho, kugiki bhadule gwikala na bhuyegi umukaya jabho.

Matendo ya mitume 28:2.

Matengo ya mitume 7:30.

Warumi 12:13.

Wakolosai 4:10.

Waebrania 13:2.

KISWAHILI: NIMELIWASHA NAMI.

Chanzo cha msemo huo huongelea uwashaji wa moto wa mtu fulani. Mtu huyo alikuwa na wenzake waliokuwa wakiwasha moto wa kupikia kila mmoja unapofika muda wake, kwa sababu kazi hiyo ilionesha ishara ya kukua kwa mtu huyo. Ndiyo maana yule aliyeuwasha moto huo alisema kwamba, “nimeliwasha nami.”

Msemo huo hufananishwa kwa mtu yule aliyepewa jiko na wazazi wake katika maisha yake. Mtu huyo, hupewa jiko na wazazi wake hao akioa na kuanza kujipikia kwenye jiko lakwe mwenyewe kwa sababu amejenga familia ya kuwapikia chakula cha kula watu wanaoenda pale, maishani mwake. Yeye hujenga familia ya kuwapatia watu malezi mema kwa sababu ya ukarimu wake huo alioupata kutoka kwa wazazi wake hao.

Mtu huyo hufanana na yule aliyewasha moto wa kupikia chakula cha kula watu, kwa sababu naye amejenga familia ya kuwapikia watu chakula cha kula wanapofika pale, nyumbani kwake. Ndiyo maana yeye husema kwamba, “nimeliwasha nami.”

Msemo huo, hufundisha watu juu ya kuwapatia wenzao malezi ya ukarimu wa kutunza wageni vizuri, ili waweze kuishi kwa furaha katika familia zao.

Matendo ya mitume 28:2.

Matengo ya mitume 7:30.

Warumi 12:13.

Wakolosai 4:10.

Waebrania 13:2.

ENGLISH: I HAVE ALSO LIGHTED IT.

The origin of this saying refers to a lighting of a fire by someone. There were colleagues who lighted a cooking fire one by one. One of them waited for his time to do so because such task showed a sign of a person’s growth in life. That is why such person after lighting such fire said that, “I have also lighted it.”

The saying is likened to a person who got married in his life. Such person is given a chance by his parents to stay at his family house with her wife. They start cooking food at their own kitchen because of building such family for providing people who visit them with food in their lives. Such person builds a decent family enough to provide people with virtuous upbringings because of the generosity which he received from his parents.

This person is like the one who lit the cooking fire for people, because he also has built a family that can cook food for people to eat who visit at his home. That is why he says, “I have also lighted it.”

This saying imparts in people a clue of providing their neighbors with hospitality of taking respectable care of strangers, so that they can live happily in their families.

Acts 28:2.

Acts 7:30.

Romans 12:13.

Colossians 4:10.

Hebrews 13:2.

Leave a comment

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.