Akahayile kenako kahoyelile munhu uyo agatung’wa gujusola ginhu ijo jalijitulile kumitwe ya bhulili. Umunhu ng’wunuyo agaduma ugujibhona ijikolo jinijo kunguno ololaga kungi duhu. Uweyi agakija ugwitegeleja chiza aho alitung’wa ugujujisola ijikolo jinijo. Hunagwene uyo agantuma agang’wila giki, “lolaga gumitwalili.”
Akahayile kenako kagalenganijiyagwa kuli munhu uyo aditegelejaga chiza ulu alinhiwa nimo go gutumama na bhatale bhakwe, umukikalile kakwe. Umunhu ng’wunuyo agikalaga wikanika mihayo yingi ulu alitung’wa gujutumama nimo na bhatale bhakwe bhenabho kunguno ya guduma gwitegeleja chiza umuwikaji bhokwe bhunubho. Uweyi agagayiyaga imilimo ya gung’wenhela sabho aha kaya yake kunguno ya gukija gwitegeleja chiza ulu alinhiwa imilimo na bhatale bhakwe bhenabho, umukikalile kakwe kenako.
Umunhu ng’wunuyo agikolaga nuyo agakija gwitegeleja chiza aho agatung’wa gujusola ginhu ijo jalijitulile kumitwe ya bhulili, kunguno nuweyi aditegelejaga chiza ulu alinhiwa nimo na bhatale bhakwe umuwikaji bhokwe. Hunagwene bhagang’wilaga giki, “lolaga gumitwalili.”
Akahayile kenako kalanga bhanhu higulya ya gubhiza na wigeteleja bho guidebha chiza imilimo iyo bhalinhiwa na bhatale bhabho, kugiki bhadule guitumama chiza imilimo yabho yiniyo, umuwikaji bhobho.
Kutoka 3:13-14.
2Wafalme 5:6.
Isaya 61:1.
Marko 6:7.
KISWAHILI: ANGALIA KICHWANI.
Msemo huo huongelea mtu aliyetumwa kwenda kuchukua kitu ambacho kilikuwa kichwani mwa kitanda. Mtu huyo alishindwa kukiona kitu hicho kwa sababu alikuwa akiangalia kwengine tu. Yeye hakuwa na umakini wa kusikiliza maelekezo ya yule aliyekuwa akimtuma kwenda kukichukua kitu hicho. Ndiyo maana yule mtu aliyemtuma alimwambia kwamba “angalia kichwani.”
Msemo huo hulinganishwa kwa mtu yule ambaye huwa hasikilizi vizuri anapopewa kazi na wakubwa wake, katika maisha yake. Mtu huyo huwa anawaza mawazo mengine anapopewa kazi na wakubwa wake, kwa sababu ya kutokusikiliza vizuri maelekezo maishani mwake. Yeye hukosa kazi za kumpatia mali kwenye familia yake kwa sababu ya kukosa umakini wa kusikiliza vizuri anapopewa kazi na wakubwa wake, katika maisha yake.
Mtu huyo, hufanana na yule ambaye hakusikiliza kwa umakini alipotungwa kwenda kuchukua kitu kilichokuwa kimekwa kichwani mwa kitanda, kwa sababu naye huwa hasikilizi kwa umakini anapopewa kazi na wakubwa wake, maishani mwake. Ndiyo maana wao humwambia kwamba, “angalia kichwani.”
Msemo huo hufundisha watu juu ya kuwa na umakini wa kuzielewa vizuri kazi wanazopewa na wakubwa wao, ili waweze kuzitekeleza vziuri kazi hizo, maishani mwao.
Kutoka 3:13-14.
2Wafalme 5:6.
Isaya 61:1.
Marko 6:7.
ENGLISH: LOOK AT THE HEAD.
This saying refers to a person who was sent to pick up something that was put at a bed head side. This person failed to see it because of looking elsewhere. He was not paying attention to an instruction of the one who sent him to pick it up. That is why such person told him to “look at the head.”
This saying is equated to a person who does not listen well to what is said when he is given a task by his superiors. Such person tends to think of other things when he is given a task by his seniors, because of not paying attention to the given instructions in his life. He misses chances that would provide him with wealth for his family developments because of not paying such attention to those instructions of doing a given task by his elders in his life.
This person is like the one who did not listen carefully what he was told when he was ordered to pick up something that was put at the bed head side, because he also does not listen carefully to instructions of doing a given task by his directors, in his life. That is why they tell him to “look at the head.”
This saying teaches people about being careful enough to understand directions of doing the assigned tasks to them by their seniors, so that they can nicely carry them out in their lives.
Exodus 3:13-14.
2 Kings 5:6.
Isaiah 61:1.
Mark 6:7.


