1377. OKONILE NYAYANDA.

Akahayile kenako kanholelile ningi uyo agalema gwikinda na lilingi litale kulebha ubheyi. Uningi ng’wunuyo agawilwa gwikinda na lilingi ilo lyaliliduja gulebha uweyi ulema, kunguno agamana igiki agukindwa duhu. Hunagwene abhanhu bhagang’wila giki, “okonile nyayanda.”

Akahayile kenako kagalenganijiyagwa kuli munhu uyo agatumamaga imilimo iyo alinabhudula nayo umukikalile kakwe. Umunhu ng’wunuyo, agitaga bhukengeji bho milimo yakwe haho atali ugwandya uguitumama mpaga obhona isolobho yayo na oyitumama lulu, kunguno ya witegeleja bhokwe bhunubho umuwikaji bhokwe. Uweyi agapandikaga sabho ningi noyi aha kaya yakwe kunguno ya gutumama milimo yakwe na witegeleja bhunubho, umukikalile kakwe.

Umunhu ng’wunuyo agikolaga nuyo agalema ugwikinda nu ningi uyo olinduja gulebha uweyi, kunguno nuweyi adaitumamaga imilimo iyo adaidulile umuwikaji bhokwe. Hunagwene abhanhu bhagang’wilaga giki, “okonile nyayanda.”

Akahayile kenako kalanga bhanhu higulya ya gubhiza na witegeleja bho guitila bhukengeji imilimo yabho haho bhatali uguitumama kugiki bhadule gupandika matwajo mingi umumilimo yabho yiniyo, umuwikaji bhobho.

Mwanzo 21:17.

Hesabu 12:8-9.

Kumbukumbu la Torati 11:21.

KISWAHILI: AMEKATAA KITOTO.

Msemo huo humwongelea manju ambaye ni kiongozi ya mchezo wa ngoma  aliyekataa kushindana na mwingine aliyekuwa mkubwa kupita yeye. Manju huyo, aliambiwa ashindane na manju huyo aliyekuwa maalufu zaidi kuliko yeye, akataa, kwa sababu alielewa kwamba atashindwa tuu. Ndiyo maana watu walimwambia kwamba, “amekataa kitoto.”

Msemo huo hulinganishwa kwa mtu yule ambaye ana umakini wa kuyatekeleza majukumu yale anayaweza tu, katika maisha yake. Mtu huyo, hufanya utafiti wa kumwezesha kufahamu faida ya kazi anazotaka kuzifanya na kujirithisha kwamba anao uwezo wa kuzifanya, ndipo anaanza kuzitekeleza, kwa sababu ya umakini wake huo maishani mwake. Yeye hupata mali nyingi sana kwenye familia yake kwa sababu ya kuyatekeleza majukumu yake hayo, baada ya kuyafanyia utafiti wa kutosha kuyafahamu vizuri, kwa sababu ya umakini wake huo, katika maisha yake.

Mtu huyo, hufanana na yule aliyekataa kushindana na kiongozi wa ngoma mwenzake aliyekuwa na uwezo mkubwa kuliko wake, kwa sababu naye huyatekeleza majukumu yale aliyoyafanyia utafiti wa kumwezesha kuyafahamu vziuri. Utafiti huo humwezesha kuacha kuzifanya kazi zile ambazo haziwezi, maishani mwake. Ndiyo maana watu humwambia kwamba, “amekataa kitoto.”

Msemo huo hufundisha watu juu ya kuwa na umakini wa kuzifanyia utafiti kazi zao kabla hawajaanza kuzitekeleza, ili waweze kupata mafanikio mengi katika kazi zao, maishani mwao.

Mwanzo 21:17.

Hesabu 12:8-9.

Kumbukumbu la Torati 11:21.

ENGLISH: HE HAS REFUSED CHILDISHLY.

This saying refers to a man who is a leader of a traditional dance group who refused to compete with another one who was older than him. This leader when asked to compete with such leader who was more famous than him, refused, because he understood that he would only lose. That is why people told him that, “he has refused childishly.”

This saying is paralleled to a person who is focused on carrying out tasks that he can only sort out, in his life. Such person, does researches which can enable him to understand benefits of tasks which he wants to make sure of and convince himself that he has an ability of sorting them out, then he starts to carry them out, because of his focus in his life. He earns a lot of wealth in his family because of carrying out his tasks, after doing enough decent researches to apprehend them well, because of his focus, in his life.

This person resembles the one who refused to compete with a fellow traditional dance group leader who was more capable than him, because he also carries out the tasks that he has studied enough to comprehend them better. This study enables him to stop doing tasks that he is not capable of, in his life. That is why people say to him that, “he has refused childishly.”

This saying teaches people about being careful enough to study their tasks before they start implementing them, so that they can achieve great success in their works, in their life.

Genesis 21:17.

Numbers 12:8-9.

Deuteronomy 11:21.

Leave a comment

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.