Akahayile kenako kalolile mitugo ijo jigadimagwa hangitili iyo idinahaya guding’waa nulu kamo. Imitugo jinijo aho jashiga umungitili iliyo jigigulambija gudima bho bhuyegi kunguno jali jatuubha noyi. Hunagwene abhanhu bhagayomba giki, “gagwa mangetule.”
Akahayile kenako kagalenganijiyagwa kuli munhu uyo agatubhaga opandika majiliwa mingi umukikalile kakwe. Umunhu ng’wunuyo, agapandikaga amajiliwa genayo wigulambija kugalya bho bhukamu bhutale kunguno ya gwikala alinzala gufumile likanza lilihu umuwikaji bhokwe bhunubho. Uweyi agajilyaga mpaga ojimala ijiliwa ijo agajipandikaga jinijo kunguno ya gwikala shigu ningi adalile, umukikalile kakwe kenako.
Umunhu ng’wunuyo agikolaga ni mitugo ijo jalijituubhile jigulambija gulya maswa mpaga jiguta aho jachalwa ukungitili, kunguno nuweyi apandikaga jiliwa ulu otubhaga wigulambija gujilya mpaga wiguta, umuwikaji bhokwe bhunubho. Hunagwene abhanhu bhaganhayaga giki, “gagwa mangetule.”
Akahayile kenako kalanga bhanhu higulya ya gubhiza na witegeleja bho gujilamhana chiza ijiiwa ijo bhagajipandikaga kugiki jidule gubhambilija chiza aha shigu jahabhutongi, umubhulamu bhobho bhunubho.
Walawi 26:10.
Mwanzao 43:23.
Mithali 6:8.
KISWAHILI: IMEANGUKA BAHATI.
Msemo huo, huangalia mifugo waliochungia kwenye hazina ya nyasi nyingi ambazo hawajachungua mifugo hata mara moja. Mifugo hao, walipofika kwenye nyasi hizo nyingi, walijibidisha kula kwa furaha kwa sababu walikuwa wana njaa ya kukosa chakula kwa muda wa siku nyingi. Ndiyo maana watu walisema kwamba, “imeanguka bahati.”
Msemo huo, hulinganishwa kwa mtu yule aliye na njaa akapata chakula kingi katika maisha yake. Mtu huyo, hupata chakula hicho na kujibidisha kula kwa nguvu sana kwa sababu ya kukaa bila kula kwa muda mrefu, maishani mwake. Yeye hula chakula alichokipata mpaka anakimaliza, kwa sababu ya kukaa muda mrefu bila ya kula chakula, katika maisha yake.
Mtu huyo, hufanana na wale mifugo waliokuwa na njaa kwa muda mrefu wakapata nyasi na kujibidisha kuzila mpaka wakazimaliza, kwa sababu naye hupata chakula akiwa na njaa na kukila mpaka akakimaliza, maishani mwake. Ndiyo maana watu humwambia kwamba, “imenguka bahati.”
Msemo huo, hufundisha watu juu ya kuwa na umakini wa kukitunza vizuri chakula wanachokipata ili kiweze kuwasaidia katika siku zao za mbeleni, maishani mwao.
Walawi 26:10.
Mwanzao 43:23.
Mithali 6:8.
ENGLISH: LUCK HAS FALLEN.
This proverb refers to cattle that grazed in a treasure of a lot of grasses which they have never grazed before. When these cattle reached those grasses they happily ate it all because they were hungry for not having eaten for several days. That is why people said that, “luck has fallen.”
This proverb is equated to a hungry man one who finds a lot of food in his life. This person finds food and forces himself to eat very hard because of not eating for a long time in his life. He eats such food until he finishes it because of being hungry for a long time in his life.
This person is like those cattle that ate grasses which they found after being hungry for a long time because he also finds food when he is hungry and eats it until he finishes it in his life. That is why people say to him, “luck has fallen.”
This proverb teaches individuals on how to be cautious to take virtuous care of food which they get so that it can help them in their future days in their lives.
Leviticus 26:10.
Genesis 43:23.
Proverbs 6:8.


