1346. UNENE NALIMPEJA OMUNDUKA.

Olihoyi munhu uyo oli na nimo go gupeja munduka. Umunhu ng’wunuyo oipejaga chiza noyi imunduka yiniyo, kunguno oliagudebhile chiza noyi unimo gunuyo. Uweyi agagutumama unimo gunuyo ku likanza lya ma miaka mingi noyi kunguno oliagutogilwe noyi unimo gunuyo, umuwikaji bhokwe. Hunagwene obhawilaga abhanhu giki “unene nalimpeja omunduka.”

Akahayile kenako kagalengajiyagwa kuli nkima uyo agailanhanaga chiza ikaya yakwe umukikalile kakwe. Unkima ng’wunuyo, agabhazugilaga jiliwe chiza abhanhu bhakwe kunguno ya witegeleja bhokwe ubho gugudebha chiza unimo gokwe gunuyo, umuwikaji bhokwe. Uweyi agabhalelaga chiza abhanhu bha ha kaya yakwe kunguno ya witegeleja bhokwe bhunubho ubho gubhazugila jiliwa chiza abhanhu bhakwe bhenabho, umukikalile kakwe kenako.

Umunhu ng’wunuyo agikolaga nu ng’wendesha o munduka uyo wiyendeshaga chiza imunduka yakwe yiniyo, kunguno nuweyi agailanhanaga chiza ikaya yakwe bho gubhazugila jiliwa chiza abhanhu bhakwe bhenabho, umuwikaji bhokwe. Hunagwene agayombaga giki, “unene nalimpeja omunduka.”

Akahayile kenako kalanga manhu higulya ya gudebha gujilanhana chiza ikaya jabho bho gubhatongela chiza abhanhu bhabho, kugiki bhadule gujilela chiza ikaya jabho jinijo, umuwikaji bhokwe bhunubho.

Zaburi 50:23.

Mithali 31:10-31.

Mithali 14:1-17.

KISWAHILI: MIMI N DREVA WA GARI.

Alikuwepo mtu aliyekuwa na kazi ya kuendesha gari. Mtu huyo aliiendedesha gari hiyo vizuri sana kwa sababu ya kuielewa vizuri kazi hiyo. Yeye alifanya kazi hiyo kwa muda wa miaka mingi sana kwa sababu aliipenda sana kazi hiyo, maishani mwake. Ndiyo maana aliwaambia watu kwamba, “mimi ni dreva wa gari.”

Msemo huo hulinganishwa kwa mwanamke yule ambaye huiongeza vyema familia yake katika maisha yake. Mwanamke huyo, huwapikia chakula vizuri watu walioko kwenye familia yake hiyo kwa sababu ya umakini wake huo, maishani mwake. Yeye huwalea vyema watu wa kwenye familia yake hiyo kwa sababu ya umakini wake huo wa kuwapikia watu wake chakula vizuri, katika maisha yake.

Mtu huyo, hufanana na yule aliyeendesha gari vizuri, kwa sababu naye huwaongoza watu wanaoishi kwenye familia yake vizuri, katika maisha yake hayo. Ndiyo maana yeye husema kwamba, “mimi ni dreva wa gari.”

Msemo huo, hufundisha watu juu ya kuwa na uelewa wa kuzitunza vyema familia zao kwa kuwaongoza watu wao vizuri, ili waweze kuzilea vyema familia zao hizo, maishani mwao.

Zaburi 50:23.

Mithali 31:10-31.

Mithali 14:1-17.

ENGLISH: I AM A CAR DRIVER.

There was a man who had a job working as a driver. He drove the car very well because he understood such work well. He did that job for several years because he liked it so much in his life. That is why he told people that, “I am a car driver.”

This saying is matched to a woman who adds well to her family in her life. This woman cooks decent food for societal members in her family because of her attention in her life. She rears individuals in her family well because of her responsiveness to the cooking of decent food for her persons in her life.

This woman is like the one who drove the car well, because she also leads the public by living peacefully in her family, in his life. That is why she says that, “I am a car driver.”

This saying teaches folks about having decent understanding enough to take good care of their families by leading their people well, so that they can nurture their families well in their lives.

Psalm 50:23.

Proverbs 31:10-31.

Proverbs 14:1-17.

watch-5063956_1280

Leave a comment

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.