Akahayile kenako kahoyelile munhu uyo olumagwa shinhu giti Nghomi, Nzoka na jingi jingi ijo jili na bhusungu. Ulu munhu ulung’wa shinu giti jinijo agatemagwa salago kugiki bhudule gufunyiwa ubhusungu bhunubho kunguno bhudulile nulu gumhulaga umunhu ng’wunuyo ulu bhudafunyiwe wangu. Hunagwene umunhu ulung’wa shinu jinijo agayombaga giki, “nhemage wangu wangu.”
Akahayile kenako kagalenganijiyagwa kuli munhu uyo agajaga kusitali wangu ulu osadaga, umukikalile kakwe. Umunhu ng’wunuyo, agagudililaga chiza umili gokwe bho guguchala kusitali wangu ulu osadaga kunguno ya witegeleja bhokwe ubho gugulanhana chiza umili gokwe gunuyo, umuwikaji bhokwe. Uweyi agabhambilijaga gupila wangu abhanhu bha aha kaya yakwe bho gubhanguhya gubhachala gusitali ulu bhasadaga kunguno ya witegelega bhokwe bhunubho umukikalile kakwe kenako.
Umunhu ng’wunuyo, agikolaga nuyo agalung’wa shinu wanguha kuteng’wa salago mpaga upila wangu, kunguno nuweyi aganguhaga guja kusitali ulu osadaga ogalagulya mpaga opila chiza, umuwikaji bhokwe. Hunagwene agayombaga giki, “nhemage wangu wangu.”
Akahayile kenako kalanga bhanhu higulya ya gubhiza na witegeleja bho gwanguha guja kusitali ulu bhasadaga kugiki bhadule gulagulwa wangu bhapile, umuwikaji bhobho.
Ayubu 20:26.
Zaburi 52:4-5.
Mathayo 11:28-29.
KISWAHILI: NICHANJE HARAKA HARAKA.
Msemo huo huongelea mtu aliyeumwa na mdudu kama Nje, Nyoka na wengine wengi walio na sumu. Mtu akiumwa na wadudu kama hao huchanjwa chale ili kuweza kutoa sumu ya mdudu huyo, kwa sababu inaweza kuhatarisha maisha ya mtu huo isipotolewa mapema. Ndiyo maana mtu huyo aliyeumwa na yule mdudu alisema kwamba, “nichanje haraka haraka.”
Msemo huo hulinganishwa kwa mtu yule ambaye huenda kutibiwa hositalini haraka akiumwa, katika maisha yake. Mtu huyo, huujali vizuri mwili wake kwa kuwahi kwenda hositalini kila anapougua, kwa sababu ya umakini wake huo wa kuujali mwili wake huo, maishani mwake. Yeye huwasaidia kupona haraka watu wanaoishi kwenye familia yake kwa kuwahisha kwenda kutibiwa hosipitalini wanapougua kwa sababu ya umakini wake huo, maishani mwake.
Mtu huyo, hufanana na yule aliyeumwa na mdudu akawahi kuchanjwa mpaka akapona haraka, kwa sababu naye huwahi kwenda kutibiwa hosipitalini akiumwa, maishani mwake. Ndiyo maana yeye husema kwamba, “nichanje haraka haraka.”
Msemo huo, hufundisha watu juu ya kuwa na umakini wa kuwahi kwenda kutibiwa hospitalini kila wanapoumwa ili waweze kupona haraka, maishani mwao
Ayubu 20:26.
Zaburi 52:4-5.
Mathayo 11:28-29.



ENGLISH: QUICKLY CUT ME.
This saying refers to a person who has been bitten by an insect such as a snake, and several others which are poisonous. When a person is bitten by such insects, they are vaccinated to be able to remove the poison from such person, because it can endanger the life of that person if it is not removed early. That is why the person who was bitten by the insect said that, “quickly cut me.”
This saying is paralleled to somebody who goes to the hospital quickly after getting sick in his life. This person takes good care of his body by going to the hospital every time when he gets sick, because of his thoughtfulness of caring for his body in his life. He supports individuals who live in his family to recover quickly by sending them to the hospital when they get sick because of his responsiveness in his life.
This person is comparable to the one who was vaccinated until he recovered quickly after being bitten by an insect, because he also goes to the hospital when he gets sick in his life. That is why he says, “Quickly cut me.”
This saying imparts in persons a clue of being so cautious enough to go to the hospital whenever they are sick so that they can recover quickly in their lives
Job 20:26.
Psalm 52:4-5.
Matthew 11:28-29.