Ugubelega ili gusenga lilale lya gulima ginhu jilebhe. Olihoyi nimi uyo agasenga lilale litale kunguno ohayaga kulima ngunda gutalile gete. Unimi ng’wunuyo agagulima chiza ungunda gokwe gunuyo mpaga upandika jiliwe jingi kunguno ya wigulambija bhokwe bhunubho ubho gusenga wangu lilale litale chiniko na gulilima chiza. Hunagwene agayomba giki, “unene nabelega.”
Akahayile kenako kagalenganijiyagwa kuli munhu uyo alina witegeleja bho gulidebha chiza ilikanza lya guitumama imilimo yakwe umuwikaji bhokwe bhunubho. Umunhu ng’wunuyo, agigulambijaga guitummama chiza imilimo yakwe mpaga uyimala, ulu lya shiga duhu ilikanza lyaho bho nduhu gwilendeja kunguno ya witegeleja bhokwe bhunubho umubhutumami bhokwe. Uweyi apandikaga sabho ningi noyi aha kaya yakwe kunguno ya witegelega bhokwe bhunubho ubho gwigulambija guitumama imilimo yakwe mpaga oyima chiza ulu lyashiga ilikanza lyaho, umuwikaji bhokwe.
Umunhu ng’wunuyo, agikolaga nu nimi uyo agalisenga mpaga ulimala chiza ililale lyakwe aho lyashiga ilikanza lyaho, kunguno nuweyi agigulambijaga guitumama imilimo yakwe mpaga oyimala chiza ulu lyashiga ilikanza lyaho, umuwikaji bhokwe. Hunagwene agayombaga giki, “unene nabelega.”
Akahayile kenako kalanga bhanhu higulya ya gubhiza na witegeleja bho gwigulambija guitumama chiza imilimo yabho bho nduhu ugukeleja ulu lyashiga ilikanza lya milimo yabho yiniyo, kugiki bhadule gupandika sabho ningi umubhutumami bhobho bhunubho.
Mathayo 3:12.
Yohana 15:1-2.
Luka 12:40.
KISWAHILI: MIMI NIMEFYEKA.
Kufyeka ni kukata miti kwa ajili ya kuandaa shamba la kulima. Alikuwepo mkulima aliyefyeta eneo kubwa kwa sababu ya kutaka kulima shamba kubwa kabisa. Mkulima huyo alililima vizuri shamba lake hilo mpaka akapata mazao mengi ya chakula kwa sababu ya kujibidisha kwake kufyeka mapema shamba lake hilo kubwa na kulilima vizuri. Ndiyo maana alisema kwamba, “mimi nimefyeka.”
Msemo huo hulinganishwa kwa mtu yule ambaye ana umakini wa kuuliewa vizuri muda wa kuyatekeleza majukumu yake, maishani mwake. Mtu huyo, hujibidisha kufanya kazi zake vizuri mpaka anazimaliza unapofika tu muda wake bila ya kuchelewa, kwa sababu ya umakini wake huo. Yeye hupata mali nyingi sana katika familia yake kwa sababu ya umakini wake huo wa kujibidisha kufanya kazi mpaka anazimaliza vizuri, kila unapofika wakati wake, maishani mwake.
Mtu huyo, hufanana na yule mkulima aliyefyeka shamba lake mpaka akalimaliza vizuri kwa sababu naye hujibidisha kuyatekeleza vizuri majukumu yake mpaka anayamaliza vizuri, maishani mwake. Ndiyo maana yeye husema kwamba, “mimi nimefyeka.”
Msemo huo, hufundisha watu juu ya kuwa na umakini wa kujibidisha kuyatakeleza vizuri majukumu yao kila unapofika muda bila ya kuchelewa, ili waweze kupata mali nyingi, maishani mwao.
Mathayo 3:12.
Yohana 15:1-2.
Luka 12:40.

ENGLISH: I HAVE CLEARED.
Clearing an area is wounding down shrubs with an aim of preparing a field for cultivation. There was a farmer who cleared a large area because he wanted to cultivate a very large field. Such farmer cultivated his field well until he got a lot of food crops because of his great effort enough to clear his large field early and cultivate it well. That is why he said, “I have cleared.”
This saying is paralleled to a man who is cautious enough to properly manage the time of carrying out his duties in his life. This person strives to do his works well until he finishes them within a required time without delaying, because of his thoughtfulness in life. He earns a lot of wealth in his family because of his responsiveness in working hard until he finishes his works well in his life.
This person is similar to the farmer who cleared his field until he finished it well in a required time because he also strives to carry out his duties well until he finishes them well in his life. That is why he says, “I have cleared.”
This saying imparts in individuals an idea of being cautious enough to do their duties well without delaying, so that they can gain numerous resources in their lives.
Matthew 3:12.
John 15:1-2.
Luke 12:40.