1337. NANGI O GWISAMULA.

Unangi o gwisamula ali ng’walimu uyo agabhakomelejaga abhanhu gutumama nimo bho nguzu mhya. Ung’walimu ng’wunuyo abhakomelejaga abho bhali ng’wilika lyakwe kutumama milimo bho nguzu chiza ulu obhabhona bhandya gugogoloha kunguno ya wigulambija bhokwe ubho gutumama milimo chiza chiniko umuwikaji bhokwe. Hunagwene abhanhu bhagang’witanaga giki, “nangi o gwisamula.”

Akahayile kenako kagalenganijiyagwa kuli munhu uyo agabhalangaga abhanhu bha ha kaya yakwe gwigulambija gutumama milimo chiza, umukikalile kakwe.  Umunhu ng’wunuyo agabhahugulaga abhanhu bhakwe ulu bhagogoloha ugutumama imilimo yabho kunguno ya bhukamu bhokwe ubho gwigulambija gutumama yakwe chiza bhunubho, umubhutumami bhokwe. Uweyi agapandikaga matwajo mingi aha kaya yakwe kunguno ya gubhakomeleja gutumama milimo chiza abhanhu bhakwe bhenabho, umuwikaji bhokwe.

Umunhu ng’wunuyo agikolaga nuyo abhakomeleja abhanhu bha ng’wilika lyakwe kutumama milimo bho nguvu mhya, kunguno nuweyi agabhakolelejaga abhanhu bha ha kaya yakwe gwigulambija gutumama milimo yabho chiza, ulu bhanogaga, umuwikaji bhokwe. Hunagwene abhanhu bhagang’witanaga giki, “nangi o gwisamula.”

Akahayile kenako kalanga bhanhu higulya ya gwikomeja gutumama milimo yabho bho bhukamu bhutale kugiki bhadule kupandika matwajo mingi, umuwikaji bhobho bhunubho.

Yeremia 6: 22.

Waebrania 12:12-15.

Yohana 11:11.

KISWAHILI: MFUNDISHAJI WA KUTIA HAMASA.

Mfundishaji wa kutia hamasa ni mwalimu yule ambaye huwahimiza watu kufanya kazi kwa nguvu mpya. Mwalimu huyo huwahimiza wale walioko kwenye lika lake kufanya kazi kwa nguvu zaidi kila anapoona dalili za wao kuanza kuchoka, kwa sababu ya bidii yake hiyo ya kufanya kazi vizuri, maishani mwake. Ndiyo maana watu humuita jina la “mfundishaji wa kutia hamasa.”

Msemo huo hulinganishwa kwa mtu yule ambaye huwafundisha watu wanaoishi kwenye familia yake kujibidisha kufanya kazi vizuri, katika maisha yake. Mtu huyo, huwatia hamasa watu wake hao ya kujibidisha kufanya kazi zao vizuri kila wanapoonesha dalili za kuchoka, kwa sababu ya bidii yake hiyo ya kufanya kazi vizuri, maishani mwake.  Yeye hupata mafanikio mengi katika familia yake kwa sababu ya kuwahimiza watu wake kufanya kazi vizuri, katika maisha yake.

Mtu huyo, hufanana na yule aliyewahimiza watu wa kwenye lika lake kujibidisha kufanya kazi kwa nguvu mpya, kwa sababu naye huwahimiza watu wanaoishi kwenye familia yake kujibidisha kufanya kazi zao vizuri, maishani mwake. Ndiyo maana watu walimuita jina la “mfundishaji wa kutia hamasa.”

Msemo huo, hufundisha watu juu ya kujibidisha kufanya kazi zao vizuri na kwa badii kubwa zaidi kuliko ile ya mwanzo, ili waweze kupata mafanikio mengi, katika maisha yao.

Yeremia 6:22.

Waebrania 12:12-15.

Yohana 11:11.

kenya-school

differential-calculus-2820672_1280

teacher-476342_1280

ENGLISH: A MOTIVATIONAL TEACHER.

A motivational teacher is an educator who encourages students to work with renewed energy. This educator encourages those who in his class to work harder whenever he sees signs of them starting to get tired, because of his own hard working life. That is why people call him a “motivational teacher.”

This saying is related to a person who teaches people who live in his family to work hard enough to fulfill their responsibilities well. Such person encourages his people enough to work hard in doing their labors whenever they show signs of getting tired, because of his creativity in his life. He achieves a lot of success in his family because of encouraging his people to work well in his life.

This person resembles the one who encouraged students in his class to work hard with renewed strength, because he also encourages people who live in his family to work hard enough to fulfill their duties well. That is why people called him the “motivational teacher.”

This saying imparts in people an idea of working hard enough to finish their jobs with a greater change than it was before, so that they can achieve more success in their lives.

Jeremiah 6:22.

Hebrews 12:12-15.

John 11:11.

Leave a comment

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.