Imbuki ya kahayile kenako ilolile bhocha bho nyama ya bhanamhala. Olihoyi namhala uyo agang’winha nsumba nimo go gocha nyama ya bhanamhala iyo idaliwagwa na bhangi abho bhadinhiwa ubhunamhala.
Inyama yiniyo ili idako lya ndimu giti ng’ombe, mbuli na ng’holo. Iyoyi igazugagwa nulu gochiwa na munhu uyo osolanyiyagwa uyo adazunilijiwe uguilya. Hunagwene unamhala ng’wunuyo agang’wila unsumba uyo giki, “jochage udizujilya.”
Akahayile kenako kagalenganijiyagwa kuli munhu uyo agabhalangaga lilange lya wiza abhana bhakwe, umukikalile kakwe. Umunhu ng’wunuyo, agafunyaga lilange lya wiza lya gwikala ni kujo ukubhatale bhabho bho guzunya gutumama milimo yabho chiza kunguno ya bhutogwa bhokwe ukubhanhu bhakwe bhenabho, umuwikaji bhokwe. Uweyi agadujaga ugwikala na witogwi bhutale na bhiye aha kaya yakwe kunguno ya lilange lyakwe ilyawiza linilo ukubhana bhakwe, umukikalile kakwe kenako.
Umunhu ng’wunuyo agikolaga nu namhala uyo agang’wila nsumba gocha nyama ya bhanamhala bho ndugu uguilya, kunguno nuweyi agabhalangaga lilange lya wiza lya gwikala nikujo ukubhatale bhabho bho guzunya gutumama milimo yabho chiza, umuwikaji bhokwe. Hunagwene agayombaga giki, “jochage udizujilya.”
Akahayile kenako kalanga bhabyaji higulya ya gubhiza na bhutogwa ukubhanhu bhabho bho gubhalanga lilange lya wiza abhana bhabho, kugiki bhadule gwikala na witogwi bhutale umukaya jabho.
Mithali 15:33.
Mithali 18:12.
Mithali 20:3.
Mithali 21:21.
KISWAHILI: ZICHOME USIZILE.
Chanzo cha msemo huo, huangalia uchomaji wa nyama ya wazee. Alikuwepo mzee aliye mpatia kijana kazi ya kuchoma nyama ya wazee ambayo hairuhusiwi kuliwa na wengine ambao hawajapewa uzee.
Nyama hiyo ni ya tako la mnyama kama vile ng’ombe, mbuzi, na kondoo. Yenyewe hupikwa au kuchomwa na mtu yule aliyechakuliwa ambaye haruhusiwi kuila. Ndiyo maana mzee yule alimwambia yule kijana kwamba, “zichome usizile.
Msemo huo hulinganishwa kwa mtu yule ambaye hufundisha malezi mema kwa watoto wake, katika maisha yake. Mtu huyo, huwafundisha watoto malezi ya kuwaheshimu wakubwa wao kwa kukubali kufanya kazi zao vizuri, kwa sababu ya upendo mkubwa alio nao kwa watu wake hao, maishani mwake. Yeye hufanikiwa kuishi kwa upendo mkubwa na wenzake kwenye familia yake kwa sababu ya malezi hayo mema anayowafundisha watoto wake, katika maisha yake.
Mtu huyo, hufanana na yule mzee aliyempatia yule kijana kazi ya kuchoma nyama ya wazee bila kuila, kwa sababu naye huwafundisha watoto wake malezi mema ya kuwaheshimu wakubwa kwa kukubali kufanya kazi zao vizuri, maishani mwake. Ndiyo maana husema kwamba, “zichome usizile.”
Msemo huo hufundisha wazazi juu ya kuwa na upendo kwa watu wao kwa kuwafundisha malezi mema ya kuishi vizuri na wenzao, ili waweze kuishi kwa upendo katika familia zao.
Mithali 15:33.
Mithali 18:12.
Mithali 20:3.
Mithali 21:21.
ENGLISH: BURN THEM AND DO NOT EAT THEM.
The cradle of this saying looks at someone who had to burn meat of elders. There was an old man who gave a young man the work of burning meat of the elders which is not allowed to be eaten by others who have not been given old age.
Such meat is taken from a back of an animal such as: cow, goat, and sheep. It is cooked or burned by a chosen person who is not allowed to eat it. That is why the old man told the young man that, “burn them and do not eat them.”
This saying is paralleled to a man who teaches good upbringing to his children in his life. Such person, imparts in children upbringing of respecting their elders by assenting to do their jobs well, because of great love which he has for those people in his life. He succeeds in living peacefully with his family members because of the good upbringing which he gives to them in his life.
This man is like that old man who gave the young man a job of roasting meat of the elders without eating it, because he also teaches his children good upbringing enough to respect the elders by assenting to do their jobs well in his life. That is why he says that “burn them and do not eat them.”
This saying instills in parents love for their people which can support them in teaching children good upbringing enough to live well with their societal members, so that they can love each other in their daily lives.
Proverbs 15:33.
Proverbs 18:12.
Proverbs 20:3.
Proverbs 21:21.
