Unsaji ali munhu uyo alina masala magehu umukikalile kakwe. Olihoyi munhu uyo agikenya na nsaji kunguno oliadandebhile umo gali amasala gakwe. Umunhu ng’wunuyo agiganika chiza mpaka unhebha kunguno ya agagakwija amasala. Hunagwene abhanhu bhagayomba giki, “gulwa na nsaji gukwija masala.”
Akahayile kenako kagalenganijiyagwa kuli munhu uyo agagatumilaga chiza amasala gakwe mpaga otumama nimo ndamu, umukikalile kakwe. Umunhu ng’wunuyo, agiganikaga chiza ulu aliitumama imilimo yakwe imidamu yiniyo mpaga uimala kunguno ya witegeleja bhokwe bhunubho umuwikaji bhokwe. Uweyi agapandikaga solomo nhale aha kaya yakwe kunguno ya gugatumamila chiza amasala gakwe bho gutumama milimo midimu mpaga oimala chiza, umubhutumami bhokwe bhunubho.
Umunhu ng’wunuyo agikolaga nuyo agikenya na nsaji ukwija amasala mpaga unhebha, kunguno nuweyi agagatumamilaga amasala gakwe bho gutumama milimo midamu mpaga oimala chiza, umuwikaji bhokwe bhunubho. Hunagwene agayombaga giki, “gulwa na nsaji gukwija masala.”
Akahayile kenako kalanga bhanhu higulya ya gubhiza na witegeleja bho gutumila masala mingi ayo gadulile gubhambilija ugutumama mpaka bhuimala chiza imilimo yabho, kugiki bhadule gupandika matwajo mingi, umuwikaji bhobho bhunubho.
Matendo ya mitume 26:18.
1Petro 5:8-9a.
KISWAHILI: KUPAMBANA NA KICHAA KUWA NA AKILI NYINGI.
Kichaa ni mtu mweye akili pungufu katika maisha yake. Alikuwepo mtu aliyegombana na kichaa kwa sababu alikuwa hajazifahamu zilivyo akili zake. Mtu huyo alifikiri vizuri mpaka akamshinda kwa sababu ya kuwa na akili nyingi kuliko zake. Ndiyo maana watu walisema kwamba, “kupambana na kichaa kuwa na akili nyingi.”
Msemo huo, hulinganishwa kwa mtu yule ambaye huzitumia vizuri akili zake mpaga anaweza kufanya kazi ngumu, katika maisha yake. Mtu huyo, huyatekeleza majukumu yake yakiwemo yale ya kufanya kazi ngumu kwa kufikiri vizuri mpaka anayamaliza kwa sababu ya umakini wake huo wa kuitumia vizuri akili yake, maishani mwake. Yeye hupata faida kubwa sana katika familia yake hiyo kwa sababu ya umakini wake huo wa kuzitumia vizuri akili zake, katika utekelezaji wa majukumu yake hao, maishani mwake.
Mtu huyo, hufanana na yule aliyemzidi akili yule kichaa aliyegombana naye mpaka akamshinda, kwa sababu naye huyatekeleza majukumu yake hayo magumu kwa kuzitumia vizuri akili zake, maishani mwake. Ndiyo maana husema kwamba, “kupambana na kichaa kuwa na akili nyingi.”
Msemo huo hufundisha watu juu ya kuwa na umakini wa kuyatekeleza majukumu yao kwa kuzitumia vizuri akili zao, ili waweze kupata mafanikio mengi katika maisha yao.
Matendo ya mitume 26:18.
1Petro 5:8-9a.

ENGLISH: TO FIGHT A MADNESS IS TO HAVE A LOT OF INTELLIGENCE.
A madness is a person who is mentally retarded in life. There was a person who fought with a madman because he did not know that such such has mental illness his mind. Such person thought well until he defeated him because he was more intelligent than him. That is why people said that, “to fight a madness is to have a lot of intelligence.”
This saying is related to a person who uses his mind well to the point of managing to do tough tasks in his life. Such person carries out his duties, including those of doing tough tasks, by thinking well until he completes them because of his focus on using his awareness well in life. He gains a lot of benefits in his family because of his effort of using his cognizance well in fulfilling his duties in life.
This person resembles the one who overcame such madman whom fought with until he defeated him, because he also carries out his hard tasks by using his awareness well in life. That is why people say that, “to fight a madness is to have a lot of intelligence.”
This saying imparts in people an idea of being attentive enough to carry out their duties by using well their intelligence, so that they can achieve great success in their lives.
Acts 26:18.
1Peter 5:8-9a.