Imbuki ya kahayile kenako ilolile ng’wanya go ng’wa munhu nebhe. Ung’wanya gunuyo guli nimo ntale uyo oliogupanga munhu gugwita ulu lyushiga ilikanza ilo alihayile. Umunhu ng’wunuyo agibhegelejaga chiza ulu alililindila ilikanza linilo kunguno atogilwe agumale chiza unimo gokwe gunuyo ululyushiga ilikanza lya gugutumama. Hunagwene aho lyashiga ilikanza lya nimo gokwe agayomba giki, “goshiganaga ung’wana gone.”
Akahayile kenako kagalenganijiyagwa kuli munhu uyo agibhegelejaga chiza ugutumama imilimo yakwe umukikalile kakwe. Umunhu ng’wunuyo agikalaga nzuguru matu ulu alina nimo bho gwifuma gugutumama chiza mpaka ogumala kunguno ya bhukamu bho gutumama milimo yakwe yiniyo, umuwikaji bhokwe. Uweyi agasabhaga majikolo mingi aha kaya yakwe kunguno ya bhukamu bhokwe bhunubho ubho gutumama milimo mpaga oimala chiza, umukikalile kakwe.
Umunhu ng’wunuyo, agikolaga nuyo agibhegeleja mpaga ugutumama chiza unimo gokwe, kunguno nuweyi agibhegelejaga ulu alina nimo mpaga ogutumama chiza ululyashiga ilikanza lyago, umuwikaji bhokwe. Hunagwene agayombaga giki, “goshiganaga ung’wanya gone.”
Akahayile kenako kalanga bhanhu higulya ya gubhiza na bhukamu bho gwigulambija guitumama chiza imilimo yabho, kugiki bhadule gupandika matwajo mingi, umuwikaji bhobho bhunubho.
Mathayo 25:1.
Mathayo 22:8-9.
KISWAHILI: UMEFIKA MUDA WA SHUGHULI YANGU.
Chanzo cha msemo huo huangalia shughuli ya mtu fulani. Shughuli hiyo ni kazi kubwa aliyoipanga mtu huyo kuifanya ukifika muda ule alioupanga. Mtu huyo, hujiandaa vizuri anapousubiri muda huo kwa sababu anapenda kuimaliza vizuri shughuli yake hiyo ukifika wakati wake. Ndiyo maana unapofika wakati huo mtu huyo husema, “umefika muda wa shughuli yangu.”
Msemo huo, hulinganishwa kwa mtu yule ambaye hujiandaa vizuri kuyatekeleza majukumu yake, katika maisha yake. Mtu huyo, huwa tayari kuyatekeleza majukumu yake hayo muda ukifika kwa kujitoa vizuri kwa sababu ya bidii yake hiyo ya kufanya kazi zake, maishani mwake. Yeye hutajirika kwa kupata mali nyingi kwenye familia yake, kwa sababu ya bidii yake hiyo ya kuyatekeleza vizuri majukumu yake, katika maisha yake.
Mtu huyo, hufanana na yule aliyejiandaa kuitekeleza kazi yake mpaka akaimaliza vizuri, kwa sababu naye huwa tayari kuyatekeleza majukumu yake vizuri, maishani mwake. Ndiyo maana yeye husema kwamba, “umefika muda wa shughuli yangu.”
Msemo huo, hufundisha watu juu ya kuwa na bidii ya kuyatekeleza majukumu yao vizuri unapofika wakati wake, ili waweze kupata mafanikio mengi, maishani mwao.
Mathayo 25:1.
Mathayo 22:8-9.
ENGLISH: IT IS TIME FOR MY WORK.
The origin of this saying looks at person’s work. Such work was a big cerebration that person has planned to do during the waited time. Such person prepared well when he waited that time because he wanted to finish his work well. That is why when that time came, such person said, “it is time for my work.”
This saying is equated to a person who prepares well enough to carry out his responsibilities in his life. This person is ready to carry out his responsibilities when the time comes by fulfilling it well because of his diligence in doing his work, in his life. He becomes rich by acquiring a lot of wealth in his family, because of his diligence in carrying out his responsibilities well, in his life.
This person resembles the one who prepared to carry out his work until he finishes it well, because he is also ready to carry out his responsibilities well in his life. That is why he says “it is time for my work.”
This proverb teaches people about being diligent enough to fulfill their duties when the time comes, so that they can achieve great success in their lives.
Matthew 25:1.
Matthew 22:8-9.
