1294. NG’WEJI GUDAPILILAGWA.

Imbuki ya kahayile kenako ihoyelile bhupiji bho nzala bho bhanhu bhalebhe. Abhanhu bhenabho bhakoyaga na nzala iyo igigela hikanza lya muchu. Abhoyi bhagayuhaya giki “ung’weji uyo gulifuma dugulya jiliwa jipya ja gwingila mu migunda yise.” Aliyo ung’weji gunuyo gugabhita duhu ni jiliwa jidina pya. Hunagwene abhanhu bhagayomba giki, “ng’weji gudapililagwa.”

Akahayile kenako kagalengajiyagwa kuli munhu uyo agisagilagwa ginhu ijo adinajipandika umukikalile kakwe. Umunhu ng’wunuyo agisagilagwa ginhu ijo adinajipandika bho gugatula pye amiganiko gakwe mu ginhu jinijo giti giki alinajo umumakono gakwe kunguno ya gukija gwiganika chiza, umumasala gakwe. Uweyi agisangaga ojigayiyagwa ijo uliojisagilagwa na wandya gukoya na nzala aha kaya yake kunguno ya gwisagilwa ginhu ijo adinajipandika, umuwikaji bhokwe bhunubho.

Umunhu ng’wunuyo agikolaga nabho bhahayaga giki bhagulya jiliwa jipya ja gufumila mumidunda yabho ug’weji uyo guliza bhuduma ugujipandika ijiliwa jinijo, kunguno nuweyi agisagilagwa ginhu ijo adinajipandika umuwikaji bhokwe. Hunagwene abhanhu bhagang’wilaga giki, “ng’weji gudapililagwa.”

Akahayile kenako kalanga bhanhu higulya ya guleka gwisagila ginhu ijo jidamanyikile akapyile kajo, bho gwiganika chiza, kugiki bhadule gupandika nzila ja gugamala wangu amakoye gabho, umuwikaji bhobho bhunubho.

Yakobo 4:14a.

Mathayo 6:34.

Matendo ya mitume 1:7.

KISWAHILI: MWEZI HAUTASAIDIA KUPONA.

Chanzo cha msemo huo huongelea kupona njaa kwa watu fulani. Watu hao walikuwa wakisumbuliwa na tatizo hilo la njaa hiyo lililotokea wakati wa kiangazi. Wao walisema kwamba, “mwezi ujao tutakula chakula kipya cha kutoka kwenye mashamba yetu.” Lakini mwezi huo ulipita bila kukipata ya chakula hicho. Ndiyo maana watu walisema kwamba, “mwezi hautasaidia kupona.”

Msemo huo hulinganishwa kwa mtu yule ambaye huweka matumaini yake yote kwenye kitu kile ambacho hajakipata katika maisha yake. Mtu huyo, hutumainia kitu hicho ambacho hajakipata kwa kuyaweka matumaini yake yote  kwenye kitu hicho kana kwamba anacho mikononi mwake kwa sababu ya kutofikiri vizuri katika akili zake. Yeye hujikuta akisumbuliwa na tatizo la kukosa chakula kwenye familia yake kwa sababu ya kuyaweka matumaini yake yote kwenye kitu hicho ambacho hana uhakika wa kukipata, maishani mwake.

Mtu huyo, hufanana na wawe waliosema kwamba, wangekula chakula cha kutoka kwenye mashamba yao mwezi uliofuata, ukapita mwezi huo bila kukipata chakula hicho, kwa sababu naye huyaweka matumaini yake yote kwenye kitu kile ambacho hana uhakika wa kukipata, maishani mwake. Ndiyo maana watu humwambia kwamba, “mwezi hautasaidia kupona.”

Msemo huo hufundisha watu juu ya kuacha kuyaweka matumaini yao yote kwenye kitu kile ambacho hawajakipata, ili waweze kufikiri vizuri namna ya kupata njia za kutatua matatizo yao kwa haraka, maishani mwao.

Yakobo 4:14a.

Mathayo 6:34.

Matendo ya mitume 1:7.

moon-7362632_1280

ENGLISH: THE MOON DOES NOT HELP TO RECOVER.

The cradle of the above saying speaks of a retrieval of hunger for some people. These people suffered from a difficult of hunger that happened during summer time. They said that, “next month we will eat fresh food from our fields.” But that month passed without getting that food. That is why people said that, “the moon does not help to recovery.”

This saying is related to a person who puts all his hopes on something that he has not found in his life. Such person hopes for that thing that he has not found by placing all his hopes on it as if he has it in his hands because of not thinking well in his mind. He finds himself suffering from problems of food shortage in his family because of putting all his hopes on that thing that he is not sure of getting in his life.

This person is like those who said that they would eat food from their fields the following month, and that month passed without getting that food, because also he puts all his hopes on something that he is not sure of getting, in his life. That is why people tell him that, “the moon does not help to recovery.”

This saying conveys to people a message of stopping putting all their hopes on something that they have not found so that they can deeply think enough to find ways of quickly solving their problems, in their lives.

James 4:14a.                                           

Matthew 6:34.

Acts 1:7.

Leave a comment

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.