Akahayile kenako agawilaga munhu uyo ali masala magehu. Umunhu ng’wunuyo, agawilagwa na bhanhu abho bhagamhonaga akikalile kakwe ako kagolechaga chene kunguno ya miito gakwe. Abhoyi bhayombaga bho gunkelela uweyi kugiki adizumana umo bhaling’wilila. Hunagwene bhagayombaga giki, “atomokile ung’wana b’uya.”
Akahayile kenako kagalenganijiyagwa kuli munhu uyo alina nhungwa ja bhub’i umukikalile kakwe. Umunhu ng’wunuyo agitakaga mihayo ya sagala aha kaya yakwe, kunguno ya nhungwa jakwe ija bhub’i jinijo. Uweyi agidumanga na bhanhu bhingi aha kaya yakwe kunguno ya nhungwa jakwe ija bhub’i jinijo, umuwikaji bhokwe.
Umunhu ng’wunuyo, agikolaga nu omalaga magehu kunguno nuweyi agitaka mihayo ya bhub’i umukikalile kakwe. Hunagwene abhanhu bhagang’wilaga giki, “atomokile ung’wana b’uya.”
Akahayile kenako, kalanga bhanhu higulya ya guleka gwita mihayo ya bhub’i bho gwita ya wiza, kugiki bhadule gujilanhana chiza kaya jabho, umuwikaji bhobho.
Zaburi 32:9.
Mithali 7:7.
Mithali 9:4.
Mithali 11:12.
Mithali 11:22.
KISWAHILI: MTU MWENYE AKILI PUNGUFU.
Msemo huo huambiwa mtu mwenye akili pungufu. Mtu huyo, huambiwa na watu wanaomuona namna yake ya kuishi kwa sababu ya matendo yake yanayoonesha hivyo. Watu humsema hivyo kwa njia ya fumbo ili asielewe kinachoongelewa juu yake. Ndiyo maana wao humwambia kwamba ni “mtu mwenye akili pungufu.”
Msemo huo, hulinganishwa kwa mtu yule ambaye ana tabia mbaya katika maisha yake. Mtu huyo, hutenda mambo ya hovyo kwenye familia yake, kwa sababu ya tabia yake hiyo mbaya. Yeye hukosana na watu wengi kwenye familia yake kwa sababu ya tabia yake hiyo mbaya maishani mwake.
Mtu huyo, hufanana na yule mwenye akili pungufu, kwa sababu naye hufanya mambo mabaya katika maisha yake. Ndiyo maana watu humwambia kwamba ni “mtu mwenye akili pungufu.”
Msemo huo, hufundisha watu juu ya kuacha tabia ya kutenda maovu kwa kutenda mema ili waweze kuzilinda vizuri familia zao, maishani mwao.
Zaburi 32:9.
Mithali 7:7.
Mithali 9:4.
Mithali 11:12.
Mithali 11:22.
ENGLISH: A PERSON OF LIMITED INTELLIGENCE.
This saying is said to a person who has restricted cleverness. Such person is told by people who see his way of living and discover that is contrary to normal life because of his actions that show such situation. People say so to him in a mystical way so that he does not understand what is being said about him. That is why they tell him that he is “a person of limited intelligence.”
This saying is matched to a person who has wicked deeds in his life. Such person does reckless things to his family, because of his ruthless manners. He is at odds with many people in his family because of his evil deeds in his life.
This person resembles the one who had partial cleverness, because he also does wicked deeds in his life. That is why people call him “a person of limited intelligence.”
This saying imparts in people an idea of giving up customs of doing evils by doing good ones so that they can soundly protect their families in their lives.
Psalm 32:9.
Proverbs 7:7.
Proverbs 9:4.
Proverbs 11:12.
Proverbs 11:22.
