Akahayile kenako kahoyelile higulya ya bhabyaji abho bhali na ng’wana uyo olindamu ugubhigwa. Abhabyaji bhenabho, bhantumaga ung’wana obho ng’wunuyo, ukija ugubhadilila chiza kunguno ya bhugayiwa bhokwe bho likujo ukubhoyi chiniko. Hunagwene umo o bhabyaji bhakwe bhenabho, agayomba giki, “naponya ung’wana nusaja iheshi.”
Akahayile kaneko kagalenganijiyagwa kuli munhu uyo ali nambu ugubhigwa abhatale bhakwe, umukikalile kakwe kenako. Umunhu ng’wunuyo, agatumagwa guja gujutumama milimo na bhatale bhakwe bhenabho, ulema kunguno ya nhinda jakwe jinijo, umuwikaji bhokwe. Uweyi agadumaga ugwikala chiza aha kaya yakwe kunguno ya bhulambu bhokwe bhunubho, umukikalile kakwe.
Umunhu ng’wunuyo, agikolaga nuyo otumagwa gujutumama milimo na bhabyaji bhokwe okija ugubhadilila, kunguno nuweyi agatumagwa gujutumama milimo na bhatale bhakwe olema uguja, umukikalile kakwe. Hunagwene umo o bhatale bhakwe bhenabho, agayombaga giki, “naponya ung’wana nusaja iheshi.”
Akahayile kenako, kalanga bhanhu higulya ya kuleka nhungwa ja bhulambu bho bhulema gutung’wa na bhatale bhabho, kugiki bhadule gupandika mbango ya gubhiza na matwajo mingi, ga gujibheja chiza ikaya jabho, umuwikaji bhobho.
Mithali 20:11.
Mithali 22:6.
MIthali 23:13-14.
KISWAHILI: NILITUPA MTOTO NIKABAKIZA KONDO LA NYUMA.
Msemo huo, huongelea juu ya wazazi waliokuwa na mtoto aliyekuwa mgumu kuwatii. Wazazi hao, walikuwa wakimtuma mtoto wao huyo, bila ya yeye kuwajali vizuri, kwa sababu ya kukosa heshima kwake kwa wazazi wake hao. Ndiyo maana mmoja wa wazazi wake hao alisema kwamba, “nilitupa mtoto nikabakiza kondo la nyuma.”
Msemo huo, hulinganishwa kwa mtu yule ambaye ana kiburi katika kuwasikiliza wakubwa wake, katika maisha yake. Mtu huyo, hutumwa kwenda kufanya kazi na wakubwa wake hao bila ya kuwajali, kwa sababu ya kiburi chake hicho, maishani mwake. Yeye hushindwa kuishi vizuri nyumbani kwake kwa sababu ya kiburi chake hicho, katika maisha yake.
Mtu huyo, hufanana na mtoto yule aliyekosa utii kwa wazazi waliomtuma kwenda kufanya kazi, kwa sababu naye hukataa kuwatii wakubwa wake wanaomtuma kwenye kufanya kazi, katika maisha yake. Ndiyo maana mmoja wa wakubwa hao husema kwamba, “nilitupa mtoto nikabakiza kondo la nyuma.”
Msemo huo, huwafundisha watu juu ya kuacha kuwa na kiburi kwa wakubwa wao wanaowatuma kwenda kufanya kazi, kwa kuwa na utii kwao, ili waweze kupata Baraka za kuziendeleza vizuri, familia zao, maishani mwao.
Mithali 20:11.
Mithali 22:6.
MIthali 23:13-14.
ENGLISH: “I THREW THE BABY AWAY AND KEPT THE PLACENTA.”
This saying speaks of parents who had a child that had difficult in obeying them. Those parents sent their child to do something without him taking good care of them, because of his lack of respect to them. That is why one of his parents said that, “I threw the baby away and kept the placenta.”
This saying is equated to a person who has pride that prevents him from listening to his seniors, in his life. Such person is sent to work by his superiors without caring about them, because of his pride, in his life. He fails to live well in his home because of his pride, in his life.
This person is similar to the child who disobeyed his parents sent by not going to work, because he also refuses to obey his leaders who send him to work, in his life. That is why one of them says that, “I threw the baby away and kept the placenta.”
This saying teaches people about being obedient to their leaders who send them to work, by being humble to them, so that they can get blessings for bringing development to their families, in their lives.
Proverbs 20:11.
Proverbs 22:6.
Proverbs 23:13-14.


