Aho kale ulihoyi munhu uyo agikuga hela. Aho ojikuga ohela jinijo, umunhu ng’wunuyo, agajituula kumhinda ya kunuma ukunu ajile umulendo lokwe lunulo. Gashinaga abhiye bhamona aho ajilituula umumhinda yakwe ya kunuma yuniyo, bhujisola bho nduhu ugumana uweyi.
Ogashiga ikaya ujikagayiwa umhinda yakwe yiniyo, ubhawila abhiye giki, ojimijaga hela ijo oliojikugaga umunzila ujituula mmhinda ya kunuma. Hunagwene abhiye bhenebho bhagang’wila giki, “mhiya ya gwikuga udituula mmhinda ya numa.”
Ulusumo lunulo, lugalenganijiyagwa kuli munhu uyo agapandikaga sabho ujikenagula sagala umukikalile kakwe. Umunhu ng’wunuyo, agajitumilaga isabho ijo agajipandikaga bho gujigulila maginhu ayo gadina solobho yose yose kunguno ya gugayiwa witegeleja umukatumile ka sabho jakwe jinijo. Uweyi agajimalilaga isabho jakwe kuma mihayo ga sagala bho guileka ikaya yakwe igukoyaga na nzala, umuwikaji bhokwe.
Umunhu ng’wunuyo, agikolaga nuyo agikuga hela ujituula sagala mpaga nose jujimila, kunguno nuweyi agajipandika isabho ujimalila mmamihayo ga sagala mpaga ikaya yakwe yayukosa ya nzaga, umukikalile kakwe. Hunagwene abhanhu bhagang’wilaga giki, “mhiya ya gwikuga udituula mmhinda ya numa.”
Ulusumo lunulo, lolanga bhanhu higulya ya gubhiza na witegeleja bho gujitumamila chiza isabho ijo bhagajipandikaga umubhutumami bhobho, kugiki jidule gubhambilija ugujibheja chiza ikaya jabho, umuwikaji bhobho.
Luka 12:16-18.
KISWAHILI: FEDHA YA KUOKOTA USIIWEKE KWENYE MFUKO WA NYUMA.
Hapo zamani alikuwepo mtu aliye okota pesa. Alipoziokota hivyo, mtu huyo, aliziweka kwenye mfuko wake wa nyuma huku akiendelea na safari yake. Kumbe wenzake waliomuona alipokuwa anaziweka pesa hizo kwenye mfuko wake huo wa nyuma wakazichukua bila ya yeye kuelewa.
Alipofika nyumbani alizikosa pesa zake hizo kwenye mfuho huo wa nyuma, akawaambia wenzake kwamba, amepoteza pesa alizoziokota njiani akaziweka kwenye mfuko wake huo wa nyuma. Ndiyo maana wenzake hao walimwambia kwamba, “fedha ya kuokota usiiweke kwenye mfuko wa nyuma.”
Methali hiyo, hulinganishwa kwa mtu yule ambaye huzitumia hovyo mali anazozipata, katika maisha yake. Mtu huyo, huzitumia mali anazozipata kwa kununulia vitu visivyo na faida yoyote ile kwa sababu ya kukosa umakini katika matumizi ya mali zake hizo. Yeye huzimalizia mali zake kwenye mambo ya hovyo na kuiacha familia yake katika matatizo ya njaa kwa sababu ya kukosa umakini katika matumizi ya mali zake hizo, maishani mwake.
Mtu huyo, hufanana na yule aliyeokota pesa akaiweka hovyo mpaka ikapotea, kwa sababu naye huzimalizia kwenye mambo ya hovyo mali anazozipata mpaka familia yake hufikia hatua ya kukumbwa na tatizo la njaa, katika maisha yake. Ndiyo maana watu humwambia kwamba, “fedha ya kuokota usiiweke kwenye mfuko wa nyuma.”
Methali hiyo, hufundisha watu juu ya kuwa na umakini wa kuzitumia vizuri mali wanazozipata katika utekelezaji wa majukumu yao, ili ziweze kuwasaidia katika kuziendelea vizuri familia zao, maishani mwao.
Luka 12:16-18.
ENGLISH: DO NOT PUT THE PICKED UP MONEY IN YOUR BACK POCKET.
Once upon a time there was a man who picked up money. When he picked them up, he put them in his back pocket while continuing with his journey. However, his colleagues who saw him putting the money in his back pocket took it without him knowing.
When he got home, he lost his money in the back pocket, he told his colleagues that he had lost the money he had picked up on the way and put it in his back pocket. That is why his colleagues told him that, “do not put the picked up money in your back pocket.”
This proverb is compared to a person who uses the wealth he gets carelessly in his life. Such person uses the assets he gets by buying things that do not have any benefit because of lack of attention in using his assets. He spends his wealth on frivolous things and leaves his family in hunger problems because of lacking attention in using his wealth in life.
This person is like the one who picked up money and kept it carelessly until it was lost, because he spends the wealth he gets in careless things until his family reaches the point of experiencing famine problems in his life. That is why people tell him that, “do not put the picked up money in your back pocket.”
This proverb teaches people to be careful enough to use nicely their assets in fulfilling their duties, so that they can help them in developing their families in their lives.
Luke 12:16-18.

