Oliyohi munhu uyo aliobhucha iwe itale ukumabhega gakwe alichalile kukaya yakwe. Umunhu ng’wunuyo agalibhucha iliwe linilo mpaga wambilijiwa na munhu nhebhe uyo agang’wikija unigo gunuyo ukumabhega gakwe. Hunagwene abhanhu bhagayomba giki, “wikijiwa iwe.”
Akahayile kenako kagalenganijiyagwa kuli munhu uyo agatumamaga milimo midamu bho wiyumilija bhutale, umukikalile kakwe. Umunhu ng’wunuyo, alina nguzu ijo agajitumilaga bho gutumama milimo midito mpaga opandika majiliwa mingi kunguno ya wiyumilija bhokwe bhunubho, umuwikaji bhokwe. Uweyi agabhalangaga abhanhu bhakwe gutumama milimo midamu mpaga bhadula gung’wambilija gupandika sabho ningi aha kaya yakwe, umubhutumami bhokwe bhunubho.
Umunhu ng’wunuyo, agikolaga nuyo oliobhucha liwe litale mpaga wambilijiwa na ng’wiye, kunguno nuweyi agatumamaga milimo midito bho gubhalanga abhanhu bhakwe mpaga bhadule gung’wambilija chiza, a kaya yakwe. Hunagwene abhanhu bhagang’wilaga giki, “wikijiwa iwe.”
Akahayile kenako, kalanga bhanhu higulya ya gwiyumilija gutumama milimo yabho bho bhukamu bhutale mpaga bhadule gupandika sabho jagubhambilija chiza umuwikaji bhobho.
Yohana 12:40.
Mathayo 11:28-30.
KISWAHILI: AMESHUSHIWA JIWE.
Alikuwepo mtu aliyebeba jiwe kubwa kwenye mabega yake akilipeleka nyumbani kwake. Mtu huyo alilibeba kwa uvumilivu jiwe hilo mpaka akasaidiwa na mtu fulani aliyemshushia mzigo huo kutoka kwenye mabega yake. Ndiyo maana watu walisema kwamba, “ameshushiwa jiwe.”
Msemo huo, hulinganishwa kwa mtu yule ambaye hufanya kazi ngumu kwa uvumilivu mkubwa, katika maisha yake. Mtu huyo, ana nguvu anazozitumia katika kufanya kazi hizo nzito mpaka anapata mazao mengi ya chakula kwa sababu ya uvumilivu wake huo, maishani mwake. Yeye huwafundisha watu wake kufanya kazi hizo ngumu mpaka wanaweza kumsaidia kupata mali nyingi kwenye familia yake, katika maisha yake.
Mtu huyo, hufanana na yule aliyebeba jiwe kubwa mabegani mwake kwa uvumilivu mpaka akasaidiwa na mwenzake, kwa sababu naye pia hufanya kazi nzito kwa kuwafundisha watu wake mpaka wanaweza kumsaidia kutua mzigo mzito katika familia yake. Ndiyo maana watu husema kwamba, “ameshushiwa jiwe.”
Msemo huo, hufundisha watu juu ya kuvumilia kufanya kazi zao kwa bidii kubwa mpaka waweze kupata mali za kutosha kuwasidia vizuri katika maishani yao yote.
Yohana 12:40.
Mathayo 11:28-30.
ENGLISH: HE HAS BEEN STONED.
There was a man who carried a big stone on his shoulders to his home. This man patiently carried it until he was helped by someone who lowered the burden from his shoulders. That is why people said that, “he has been stoned.”
This saying is equaled to a person who works hard with great patience, in his life. That person has strength of using in doing those heavy tasks until he gets a lot of food crops because of his patience in his life. He teaches his people in doing hard works until they can help him in getting more wealth for his family, in his life.
This person is similar to the one who carried a big stone on his shoulders with patience until he was helped by his colleague, because he also does heavy works by teaching his people until they can help him to land heavy burdens in his family. That is why people say that, “he has been stoned.”
This saying teaches people to persevere in doing their works with great effort until they get enough wealth for supporting them well throughout their lives.
John 12:40.
Matthew 11:28-30.
